Matumizi ya Bible App Kanisani na mitazamo hasi

Matumizi ya Bible App Kanisani na mitazamo hasi

Ambao hawataki Bible App. Jibu swali hili rahisi

Kuna nchi ukionekana na Biblia ni jela ndeefu sana.

Kuna nyumba mtu anataka kusoma biblia lakini mazingira hayaruhussu .

watasomaje hawa watu ?

Kabla ya Kubuniwa karatasi wenzetu waliandika kwenye vitu vingine hameoni kama ni muendelezo wa ugunduzi wa teknolojia.

Je utakatifu upo kwenye kitabu su yalr maandishi, wapo watu wametengeneza lizra za kuvutia bangi karatasi laini za biblia.
Kweli mkuu, maandiko yaliandikwa kwenye magome ya miti sijui kuja kwenye karatasi ilipata upinzani kiasi gani. Sasa ni kutoka kwenye makaratasi kwenda softcopy tukubali tu mabadiliko
 
Labda kanisa la kijijini huko, mimi kanisani kwangu mchungaji mwenyewe anasoma bible kwenye Tablet
Safi huyo ameshakubali mabadiliko, hao wengine yatawakuta yale ya wale wazee wabishi serikalini kubadilika na teknolojia ikabidi waende course za computer kujifunza kutype [emoji41][emoji41][emoji41]
 
Unakuta una hiyo bible app then baada ya Siku kadhaa inakuambia inahitaji update,so najiuliza ya kwamba je?Luna mabadiliko ya baadhi ya mistari??
Ukienda kwenye play store utaona mabadiliko yaliyopendekezwa
 
Teknolojia isitufanye tujisahau kiasi hicho! Simu uko nayo wiki nzima na ina hiyo app na hujawahi isoma, hiyo ya kwenda na simu kanisani sababu tuu ya app sidhani kama ni sahihi!
Simu ina vishawishi vingi sana! Beba Bible yako kwani utapungukiwa nini!
Na simu tusiende nazo. Church au tuende nazo kwani cm. Ikiwa mfukoni. Sms au call ikiingia utajibu au utaacha mi sms ikiingia cm ipo mfukoni naitoa najibu fasta text labda kupokea ndo siwezi ila ikiwa cm ya mhimu natoka nje kupokea maana unaweza kuta ni ya lazima nk.. Hii ya kuponda utumiaji wa app bable kwenye simu ipo sana hapa kwetu Tz ulaya washazoea sana haya mambo.. Utakuta mtu yuko ma ipad hata not book ipo humo humo yaani kitu kimoja unakuwa na vitu vingi yanini kujipa mizigo kubeba mavitabu kibao simu au tablet au ipad yatosha sana tuache ushamba na wivu wa kijnga kama huna uwezo wa kununua cm au tablet au Ipad acha wenye uwezo wa enjoy life.
 
Kanakuja kashetani kanasema toa, hyo flight mode.

Binadamu sisi tunamadhaifu hatujakamilika, just why tunaenda church kura shule ya kiroho.
Mimi nikiwa kanisani sjawahi kuzima simu miaka yote napunguza tu sauti naweka variations basi hata plane mode siweki ya nn wkat ni cm yangu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji848][emoji848][emoji848] Aise nimechek. Kwa sauti ujue we jamaa sio poa. Kabisa sio kwa kicheko hiki aose
Unaweza jikuta upo kanisani mahubiri yakawa marefu au hayavutii au hayasikiki vizuri,ukaona bora uingie photo gallery kuangalia picha hasa za mchepuko.nk
Bado nadhani kuna umuhimu mkubwa wa kutumia hard copy bible.
 
Yani kanisani kwenda ni ugomvi lakin utakuta sim imejaa app za din lakin hata siku moja hazijawah kufunguliwa tangu zitoke play store
Nawe acha tabia ya kuchunguza maisha ya watu waache waishi waonavo[emoji848][emoji848][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wale wanaosoma comments za watu na. Kucheka tujuane basi maana sio kwa comments hizo nachka mpaka.basii[emoji23][emoji23][emoji848][emoji848][emoji848]
Tumieni manual bible bhana, achaneni na hivi vi app, maana unaweza ukawa church misa inaendelea unasoma mstari mzuri mara kanotification kanaingia "baby nijibu basi au nirudi" [emoji23][emoji23][emoji23] usipojibu hapo basi shetani atakuwa pekeyake motoni,
 
Hizi app zimechelewa sana kuja.

Mimi nakumbuka wakati niko Buguruni nilifadhaika wakati nipo nyumbani upande wapili wa barabara kulikuwa na mhadhara wa akina Mazinge kuna jamaa mmoja mkristo alichemsha sana, nikaamka nikaenda kumsaidia nikaomba mic, wale mashehe walikuwa wanne na mmoja wapo alikuwa Mwaipopo RIP, na Ustaadh Mazinge walikuwa na concordance na vitabu vya biblia version kadhaa. Ilikuwa rahisi wao kufungua fasta sehemu yeyote kwa kutumia concordance na zile biblia tulihojiana masaa 2.

Kwa kweli kwa wakati ule nilieweza kuhifadhi aya nyingi kichwani mpaka baada ya kutoka pale mezani hata mimi nilishangaa nimeongea masaa 2 sababu baada tu ya kukabidhi mic walitokea vijana wengi kunipa mkono wa pongezi nimeokoa jahazi. Ningekuwa na app wakati ule nadhani kazi ingekuwa rahisi.

Nakumbuka niliwaambia Biblia waiache kama ilivyo sababu yaliyomo hwawezi kuelewa nikinukuu. 1 kor 2:14 sasa kwa bahati mbaya sana hii Union Version kubwa ya kiswahili sijui kwanini wspiga chapa walikòsea, badala ya kuandika asili wameweka neno siri.Yaani ikawa inatamkwa sasa " Kwa maana hiyo mtu wa siri ........ badala ya asili

Mhadhara wote waliamka na kuzomea ooh mkristo anaikana Biblia yake, ikawa shida . Mimi nikaomba Biblia ya kiingereza KJV. Ikawa haipo akatumwa mtu kwenda kuitafuta, ambapo neno hilo limeandikwa the natural man...
Ilipopatikana nikawaelesha wakaelewa.

Sasa hivi naona app ni nzuri lakini imenipa uzembe kidogo wa kukariri sababu una search kitu unataka mara moja unapata.
 
Huu ni bonge la ushuhuda! Mapadre/wachungaji wanaotuponda kutumia Bible App Kanisani inabidi waelewe sasa maana wanatupa wakati mgumu sana bila sababu. Hizi si zama za kutembea na mavitabu bana.
 
Mimi nikiwa kanisani sjawahi kuzima simu miaka yote napunguza tu sauti naweka variations basi hata plane mode siweki ya nn wkat ni cm yangu.
Ni sawa kila mtu na stayle yake.
 
Mtazamo wako kuhusu technolojia bado upo mbali sana (hafifu). Hata biblia hiyo unayoiona ni product ya technolojia. Sema simu ni technolojia ya juu, wakati hardcopy ni ya chini. Kumbuka hata biblia hii unayoishika na kukemea mapepo (kama ulivyoandika), damu za watu zilimwagika wakati walijaribu kutranslate kutoka kwenye original language kwenda lugha zingine. so vitu vingine vimekaa kimtazamo zaidi, kwa sababu wewe umezaliwa umeikuta biblia ilivyo umafikiri ilianza hivyo no.
Labda tu nikwambie kiufupi ...maswala ya roho usiyaweke kwenye teknolojia ... ROHO na teknolojia ni tofaut teknolojia inatumiwa na ibilis kwa asilimia nyingi hvo kitu chenye roho ya MUNGU mfano biblia hakitaweza kuwa na nguvu ikiwa kikiwekwa sehem ambayo ibilisi ametawala asilimia kubwa

SIMU Inaweza beba video za ngono
simu hio hio umetumia kusema uongo
af baadae uweke biblia my friend hautaielewa

KEY POINT
Ukitaka uone kama biblia ya kwenye simu haina maana ...katika ROHO
Fanya yafuatayo
Siku ukiona mtu amepandwa pepo chukua simu yako yenye biblia ndan kisha sogea karibu yake uanze kusema ushindwe kwa jina la yesu ..na mwingine ashike biblia kama kitabu uone nani atakaekabwa shati na kupasuliwa simu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Umeandika point kubwa sana aisee.
Watu wanashindwa kutambua kwamba technolojia ni zao la uumbaji ambao Mungu ameweka ndani ya mtu. Watu wamekuwa na kawaida ya ku categorize vitu eti hiki cha Mungu hiki cha shetani. Bad enough Mungu wanampa vilivyo dhaifu shetani anachukua vitu vya maana. Tujifunze kuwa critical thinkers.
Another mistake brother. Tunampa bure shetani utukufu bila kujua. Maendeleo ya mwanadamu yanatokana na nguvu iliyo ndani yake ya uumbaji ambayo inatokana na Mungu mwenyewe ambaye sisi wanadamu ni sura na mfano wake!

Hata teknolojia ni sehemu ya kazi ya Mungu kupitia wanadamu! Leo unaweza kupima magonjwa, kutumia masaa machache kwenda sehemu yoyote duniani n.k uwepo wa ibilisi kupitia teknolojia si sababu ya teknolojia! Ibilisi yupo popote ikiwemo humo kwenye teknolojia! Tukiacha kutumia teknolojia sababu ya ibilisi basi ibilisi ameshinda!!
 
Sure. Ni kuwa na mawazo mgando yani.
Ni matatizo ya kimtazamo tu na namna tunavyoyaangalia mambo. Sababu hata hii Biblia tunayoisoma leo hii iliyopo kwenye makaratasi historia yake ni kwamba ilikuwa imeandikwa kwenye vipande vya Magome ya Miti! Hivyo basi anaepinga Biblia kwa kwenye mfumo wa Application ya Simu binafsi namuona ni mtu mwenye uwezo mdogo sana wa kufikiri na kuyaona mabadiliko ya jinsi dunia inavyokwenda.
 
Mtoa mada una maarifa mengi sana,basi na uyatumie kadiri utakavyoona inakupendeza wewe.
 
Kwa upande wa sisi weusi tatizo hilo hawezi weka flight mode tena anaweza weka data on, harafu ukifuatilia kwa makini Bible app hazijafika kiwango cha biblia, app nyingi mistari hupishana
 
Mkuu umeomba ushauri bado watu wanakwambia uhalisia unapinga.....kiufupi kunatofauti kubwa ya uvuvio bible app na hard copy....tusijifariji hizi technology yatupasa tuwe makini nazo sana...tuwe wajanja kama nyoka na wapole kama hua.
Another mistake brother. Tunampa bure shetani utukufu bila kujua. Maendeleo ya mwanadamu yanatokana na nguvu iliyo ndani yake ya uumbaji ambayo inatokana na Mungu mwenyewe ambaye sisi wanadamu ni sura na mfano wake!

Hata teknolojia ni sehemu ya kazi ya Mungu kupitia wanadamu! Leo unaweza kupima magonjwa, kutumia masaa machache kwenda sehemu yoyote duniani n.k uwepo wa ibilisi kupitia teknolojia si sababu ya teknolojia! Ibilisi yupo popote ikiwemo humo kwenye teknolojia! Tukiacha kutumia teknolojia sababu ya ibilisi basi ibilisi ameshinda!!
 
Mkuu umeomba ushauri bado watu wanakwambia uhalisia unapinga.....kiufupi kunatofauti kubwa ya uvuvio bible app na hard copy....tusijifariji hizi technology yatupasa tuwe makini nazo sana...tuwe wajanja kama nyoka na wapole kama hua.
Mkuu najifunza ila naeleza ninayofahamu ili myatoe muingize yenu lakini mpaka sasa bado hamjaondoa fikra zangu. Nipo tayari kujifunza kwa hoja.
 
wapinga teknolojia wapo toka zamani sana. wanaogopa mabadiliko bila sababu za msingi. Zamani wakati wa mapinduzi yyyya viwanda kuna waliokuwa wanaharibu mashine na kukwamisha innovations kuhofia viwanda kupunguza ajira. Muda si mrefu wachungaji wataanza kuziitumia madhabahuni.
 
Back
Top Bottom