ABJ
JF-Expert Member
- Aug 29, 2017
- 4,990
- 13,940
Cm zina mambo mengi, Neno la Mungu lisichanganywe na mambo ya ki-dunia
Kwanini usiwepo mkuu?
Kwanini usiwepo mkuu?
Sanaa.....kuna app ukisoma ukalinganisha na Biblia yako unakuta lugha tofauti kabisaa.Hiyo ni hatari kubwa na kanisa limelala kwenye hili eneo.
Kuna flight mode.Shule ni je?
Ikiingia text kwa simu, utajibu au hoto jbu.
Kama mm lazima nitajibu, kuepusha hayo naenda church na kitabu.
U know this thing called flight mode? Very useful.Teknolojia isitufanye tujisahau kiasi hicho! Simu uko nayo wiki nzima na ina hiyo app na hujawahi isoma, hiyo ya kwenda na simu kanisani sababu tuu ya app sidhani kama ni sahihi!
Simu ina vishawishi vingi sana! Beba Bible yako kwani utapungukiwa nini!
Hapa pia nimeokota kitu. NajifunzaPia Unaweza ukawa na hio biblia hardcopy , ukatamani mtu kanisani au ukakumbuka rejesho vikoba ukapoteza concentration.
Mi naona kikubwa ni kuepuka dhambi.........mengine haya ni ya kutumia hekima.
Kanisani tunasali na watoto wakati mwingine au vijana wa umri flani ambao hawapaswi kumiliki simu.....hawa huwa wanajifunza mengi kutoka kwetu .
Ni kazi sana kuanza kumshawishi mwanao asome biblia ya karatasi wakati wewe anakuona unasoma kwenye simu.
Na bado simu unamkataza kumiliki.
Kama unaweza kuingiliwa na shetani kirahisi hivyo na upo kanisani you need deliverance immediately.Kanakuja kashetani kanasema toa, hyo flight mode.
Binadamu sisi tunamadhaifu hatujakamilika, just why tunaenda church kura shule ya kiroho.
Nilisikia mtumishi mmoja akisema hivi, mtu amesave mavitu ya ajabu alafu unafungua bible app ibadani! Likifunguka dude lako bahati mbaya [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Cm zina mambo mengi, Neno la Mungu lisichanganywe na mambo ya ki-dunia
Mkuu hii ishu tunaichukulia simple ila chukulia kwa generation base labda mwaka 2150 itakuwaje, mfano tu kama kungekuwa na sensa familia zinazomiliki biblia kwa wakristo kati ya mwaka 2000 na 2020 unakuta zinapungua, sasa watoto wa miaka 2010 kwendelea hawa wamezaliwa kwenye smart technology kwahyo matumiz yao makubwa yatakuwa kwenye apps, automatically kanisa nalo litaadopt technology ibada itaongozwa na kwa bible ya softcopy. Na kama world mission (N.W.O) kutengeneza free generation isiyokuwa na limitation yaani hofu ya Mungu, ni rahisi kupandikiza watu wao kanisani utashangaa unaambia kanisa kuu labda st.peter kwa wakatoliki limeungua moto au limepigwa bomb na hakuna kilichookolewa. Original scriptures zimepotea zooooteKanisa lina original manuscripts za vitabu vya Biblia hivyo issue ni kanisa kuwa na app zao ili kuzuia uchakachuaji.
pornography is an abomination before The Lord!Labda tu nikwambie kiufupi ...maswala ya roho usiyaweke kwenye teknolojia ... ROHO na teknolojia ni tofaut teknolojia inatumiwa na ibilis kwa asilimia nyingi hvo kitu chenye roho ya MUNGU mfano biblia hakitaweza kuwa na nguvu ikiwa kikiwekwa sehem ambayo ibilisi ametawala asilimia kubwa
SIMU Inaweza beba video za ngono
simu hio hio umetumia kusema uongo
af baadae uweke biblia my friend hautaielewa
KEY POINT
Ukitaka uone kama biblia ya kwenye simu haina maana ...katika ROHO
Fanya yafuatayo
Siku ukiona mtu amepandwa pepo chukua simu yako yenye biblia ndan kisha sogea karibu yake uanze kusema ushindwe kwa jina la yesu ..na mwingine ashike biblia kama kitabu uone nani atakaekabwa shati na kupasuliwa simu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Labda tu nikwambie kiufupi ...maswala ya roho usiyaweke kwenye teknolojia ... ROHO na teknolojia ni tofaut teknolojia inatumiwa na ibilis kwa asilimia nyingi hvo kitu chenye roho ya MUNGU mfano biblia hakitaweza kuwa na nguvu ikiwa kikiwekwa sehem ambayo ibilisi ametawala asilimia kubwa
SIMU Inaweza beba video za ngono
simu hio hio umetumia kusema uongo
af baadae uweke biblia my friend hautaielewa
KEY POINT
Ukitaka uone kama biblia ya kwenye simu haina maana ...katika ROHO
Fanya yafuatayo
Siku ukiona mtu amepandwa pepo chukua simu yako yenye biblia ndan kisha sogea karibu yake uanze kusema ushindwe kwa jina la yesu ..na mwingine ashike biblia kama kitabu uone nani atakaekabwa shati na kupasuliwa simu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nilisikia mtumishi mmoja akisema hivi, mtu amesave mavitu ya ajabu alafu unafungua bible app ibadani! Likifunguka dude lako bahati mbaya [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kuna flight mode.
Mkuu wewe ni atheist?Hahahaaaa...
Waumini wa Kiafrika wakiwa wanabishania vitabu vya makaburu na technologia..ambavyo vyote hawavielewi..
Rahaa sana nikiwa napitia think tank ya waumini kiukweli mawazo yenu ni chakavu, primitive na retarded..
Lakini na yaheshimu piaa...
Biblia haitoi pepo bali imani na nafasi yako kikuhani
Mkuu hizo nisheria ndogo ndogo tu, kama zinakukwaza acha kwenda kanisani.pornography is an abomination before The Lord!