kisokolokwinyo20
JF-Expert Member
- Apr 15, 2019
- 472
- 424
Weka Aeroplane Mode
message ikiingia unajibu........ushapoteza concetration
message ikiingia unajibu........ushapoteza concetration
sawa boss nimekuelewa vzur ila mi huwa naamin shetani hana akil ya kuunda vitu vya teknolojia ila maarifa yote ni kwa MUUMBA WA MBINGU NA ARIDHAnother mistake brother. Tunampa bure shetani utukufu bila kujua. Maendeleo ya mwanadamu yanatokana na nguvu iliyo ndani yake ya uumbaji ambayo inatokana na Mungu mwenyewe ambaye sisi wanadamu ni sura na mfano wake!
Hata teknolojia ni sehemu ya kazi ya Mungu kupitia wanadamu! Leo unaweza kupima magonjwa, kutumia masaa machache kwenda sehemu yoyote duniani n.k uwepo wa ibilisi kupitia teknolojia si sababu ya teknolojia! Ibilisi yupo popote ikiwemo humo kwenye teknolojia! Tukiacha kutumia teknolojia sababu ya ibilisi basi ibilisi ameshinda!!
Unajua wapo watu wengi ambao hata hizo bible app hawana kwenye simu lakini ni mabingwa wa kufungua simu kanisani kuchungulia kidogo mitandaoni hasa whatsapp? Hii ni tabia tu, mimi nafungua bible app wakati wa neno tu na huwa naweka simu kwenye flight mode.Unaweza jikuta upo kanisani mahubiri yakawa marefu au hayavutii au hayasikiki vizuri,ukaona bora uingie photo gallery kuangalia picha hasa za mchepuko.nk
Bado nadhani kuna umuhimu mkubwa wa kutumia hard copy bible.
watu wanasoma biblia siku wakiwa hawana MB[emoji23][emoji23][emoji23]Teknolojia isitufanye tujisahau kiasi hicho! Simu uko nayo wiki nzima na ina hiyo app na hujawahi isoma, hiyo ya kwenda na simu kanisani sababu tuu ya app sidhani kama ni sahihi!
Simu ina vishawishi vingi sana! Beba Bible yako kwani utapungukiwa nini!
Hahaha hahaha hahaha hahaha hahahawatu wanasoma biblia siku wakiwa hawana MB[emoji23][emoji23][emoji23]
Kabisamessage ikiingia unajibu........ushapoteza concetration
Yani kanisani kwenda ni ugomvi lakin utakuta sim imejaa app za din lakin hata siku moja hazijawah kufunguliwa tangu zitoke play storeHahaha hahaha hahaha hahaha hahaha
Nimecheka mnooo jamaniii!
Na bado anataka abebe simu akaitumie kanisani!Yani kanisani kwenda ni ugomvi lakin utakuta sim imejaa app za din lakin hata siku moja hazijawah kufunguliwa tangu zitoke play store
Kweli maana inawezekana dunia ya miaka 1000 ijayo haya makaratasi yasiwepo kabisa na yakapigwa marufuku kama mifuko ya plastiki! Wapunguze kutuchamba bana dah [emoji41][emoji41][emoji41]Ni matatizo ya kimtazamo tu na namna tunavyoyaangalia mambo. Sababu hata hii Biblia tunayoisoma leo hii iliyopo kwenye makaratasi historia yake ni kwamba ilikuwa imeandikwa kwenye vipande vya Magome ya Miti! Hivyo basi anaepinga Biblia kwa kwenye mfumo wa Application ya Simu binafsi namuona ni mtu mwenye uwezo mdogo sana wa kufikiri na kuyaona mabadiliko ya jinsi dunia inavyokwenda.
Hahahahahah umeona eenh...tatizo lao ni uzito wa kufikiri na kuangalia how things works.Kweli maana inawezekana dunia ya miaka 1000 ijayo haya makaratasi yasiwepo kabisa na yakapigwa marufuku kama mifuko ya plastiki! Wapunguze kutuchamba bana dah [emoji41][emoji41][emoji41]
mtu akipandwa pepo sogea na simatphone yako yenye APP ya biblia uanze kukemea huku unamwekea sim kichwani uone utamu wa YESUNa bado anataka abebe simu akaitumie kanisani!
Asante kuna point nimedaka hapa. Kubeba bible ni sehemu ya uinjilishaji, popote unapopita watu wanajua unakwenda/umetoka kwenye ibada. Ila kwenye distraction za simu sikubaliani nayo maana ukiweka flight mode hutapata sms, call na hata mobile data itakuwa off.Kuna respect fulani tunayo kwenye Biblia hardcopy ambayo kwenye simu haipo. Simu ina distractions nyingi sana huwezi kuwa na utulivu kiasi hiko na sio wote na wakati wote mtu utaweka airplane mode kuna kujisahau pia.
Pia tuwaze hizi app ziko nyingi sana tunajuaje kama app unayotumia ni maandiko sahihi what if imechakachuliwa[emoji276][emoji17][emoji17] maana shetani hayuko mbali. Nyingine zina viswahili sijui vya google ukisoma tabu tupu.
Kwangu mimi bible ya simu inanisaidia pale sina access na Bible yangu ya kawaida ila siwezi kwenda nayo kanisani.
chukua biblia y kwenye sim ukaitumie kumuombea mwenye pepo[emoji23][emoji23][emoji23]Kweli maana inawezekana dunia ya miaka 1000 ijayo haya makaratasi yasiwepo kabisa na yakapigwa marufuku kama mifuko ya plastiki! Wapunguze kutuchamba bana dah [emoji41][emoji41][emoji41]