Matukio ya kutengenezwa ya kujiteka

Matukio ya kutengenezwa ya kujiteka

Ni saa ngapi mtu atatekwa tuamini na ni saa ngapi mtu atatekwa tupuuze wakati kuna waliotekwa na wakatoweka hadi leo hawajaonekana!

Nahisi ni hawa hawa watekaji ndio wanacheza na akili za watu wakitumia advantage ya serikali kutokufanya uchunguzi japo kwa serikali tukio lolote wanatakiwa kulichukulia seriously.

Kwa kuwa wanaotekwa ni watu wanaoonekana kuikosoa serikali hii inatufanya tuamini kuwa ni wao ndio washukiwa wakuu wa uhalifu huu.
Mkuu haya mambo sio ya kujadili juujuu tu.
Kuna siri nzito ambayo mimi na wewe hatuijui.

Tuombee taifa letu amani tu.
 
Mleta uzi umeonyesha ujinga sana. Iwe wamejiteka au otherwise. Police hawakwepi lawama. Intelligensia iko wapi. Which measures do they take kwa tabia hii mbaya inayojengeka ya kujiteka au kutekana. Bado pia Serikali ina lawama.
 
kiki kiki kiki kiki

hicho kijamaa cha UD ninatakiwa kikapimwe mkojo na kikigundulika hakikufanywa chochote kipelekwe jela.
 
Maandamano yalianza usiku (baada ya saa 12 jioni.) Kinyume cha sheria walizojiwekea wenyewe vyama vya siasa.

Maandamano hayakuwa na kibali cha polisi. Sheria ya kikatiba. Ibara ya 20(1) ya Katiba ya JMT ya 1977.

CDM walivunja sheria 2 pale. Ulitaka polisi wafanye nini?

Waandamanaji walikuwa na silaha za mawe. Polisi kadhaa walijeruhiwa.
Asante Sana kwa taarifa na hata ukanipa na Art ya katiba inayokataza maandamano bila kibali. Hoja yangu, nipe tena kifungu kilichokufanya tume ya uchaguzi kuwanyima mawakala wa Chadema barua za utambulisho kama wasimamizi siku ya kupiga kura. Na kama tume ilikataa kutoa barua, Chadema walitakiwa wafanye kitu gani au wafuate utaratibu upi tofauti na kuandamana. Kumbuka pia tukio lilitokea Tare 16/2 na uchaguzi ulifanyika Tare 17/2.
 
Binafsi tangu yule dereva wa rip Chacha Wangwe aliyejulikana kwa jina la Malya alipoonekana akiwa katika msafara fulani akielekea Libya nimekuwa siwaamini kabisa baadhi ya vijana wa Chadema. Hapa najiuliza tu Nyani Ngabu alijuaje kuwa Nondo hajatekwa bali kajiteka?!!....Ngabu nijibu tafadhali maana haya mambo yanatuchanganya sana!
 
nyani siku hizi ni pro- government hawezi kuwa na ubiased view kuhusu tukio lolote linalohusisha tuhuma dhidi ya gov. anatumia zaidi mapenzi na hisia kuliko reasoning.
 
Wanaotamani kuchukua dola ili watutawale kama wanaotutawala wanakazi rahisi na nyepesi sana. Wanachukua orodha ya uhalifu dhidi ya binadamu, wanaigiza au kuwalazimisha watawala kuyafanya ili waweze kutia vema kwenye kibona kinachowafaa na kuleta –JAMANI NJOONI MUONE

1. A physical element, which includes the commission of “any of the following acts”:

a. Murder ( );

b. Extermination ( );

c. Enslavement ( );

d. Deportation or forcible transfer of population ( );

e. Imprisonment ( );

f. Torture ( );

g. Grave forms of sexual violence ( );

h. Persecution ( );

i. Enforced disappearance of persons ( );

j. The crime of apartheid ( );

k. Other inhumane acts ( ).

2. A contextual element: “when committed as part of a widespread or systematic attack directed against any civilian population”; and

3. A mental element: “with knowledge of the attack”
 
Atakua ni yule mng’oa kucha na hii ni ac yake.
 
ww unajuaje kama alitekwa??
Binafsi tangu yule dereva wa rip Chacha Wangwe aliyejulikana kwa jina la Malya alipoonekana akiwa katika msafara fulani akielekea Libya nimekuwa siwaamini kabisa baadhi ya vijana wa Chadema. Hapa najiuliza tu Nyani Ngabu alijuaje kuwa Nondo hajatekwa bali kajiteka?!!....Ngabu nijibu tafadhali maana haya mambo yanatuchanganya sana!
 
Usimsumbue tafadhali, kwa muda huu yuko busy kuandaa thread nyingine ya kuiponda Chadema. Atakujibu jioni....Labda
 
Naanza kupatwa na mashaka kuwa huenda kuna watu wanaunda matukio flani flani ili kutimiza azma zao za kisiasa dhidi ya rais Magufuli.

Mtu anaenda kujificha kwa mjomba wake huko halafu wenzake wanasema kapotea au katekwa halafu lawama anaanza kupewa rais Magufuli.

Haya matukio ya kupotea potea watu inabidi tuyaangalie kwa jicho la tatu na si kumeza kila kitu tukisikiacho.

Msidanganyike kirahisi. Stukeni.
Lissu alijipiga risasi? Alphonce Mawazo alijiua kwa kujikata mwenyewe mapanga? Akwilina kajiua mwenyewe kwa kujipiga risasi? Diwani Luena kajiua mwenyewe kwa kujikata mapanga? Katibu wa Chadema kata ya Hananasifu alijiua mwenyewe?
 
Kwanini huyu kijana aokotwe Iringa tena na Kada wa Lumumba? Hapa ndipo POLISI inapotakiwa kuanzia! Huyo kada akamatwe ahojiwe kwa undani zaidi!
 
nyani siku hizi ni pro- government hawezi kuwa na ubiased view kuhusu tukio lolote linalohusisha tuhuma dhidi ya gov. anatumia zaidi mapenzi na hisia kuliko reasoning.
Ngabu huyu aliyekuwa anamshambulia mgombea wa CCM 2015 ni lini amehama Chadema?!!
 
Kuna jamaa alitenguliwa uteuzi wake akamuandaa mshikaji wa kumtolea bastola akishuka kwenye gari kuelekea kwenye press conference aliyohadaa kuwepo kwake, kumbe ukiangalia kwa jicho la TATU , alipanga kujiteka ili shutuma ziende kwa mteuzi......courtesy of CCMizi
Halafu huyo mshikaji baadaye akaja kuonekana ni Mlinzi wa wakuu fulani.
 
Sasa hivi jamaa yetu anatetewa na ndugu zake wa kanda pendwa. Msishangae
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom