Matukio ya kutengenezwa ya kujiteka

Unafikiria vizuri kabla ya kuandika kweli?

1. TAML alijimiminia risasi!
2. Azory yuko wapi mpaka leo?
3. Polisi wameshidwa hata kutoa report ya awali walau watuambie hicho unachokisema wewe.
Hujamuelewa. Yan hapo anashangaa kwamba watu wanasema amejiteka. So anauliza utajitekaje halafu hatahela ya tax ukose mfukon..??
 

Inawezekana unachokisema ni kweli kabisa mkuu, ila sasaaaaaa, Mbona mtuhumiwa wa haya matukio kwa maana ya serikali, Mbona hakani hizo tuhuma na hana hata dalili za kuwafungulia mashtaka wanaomchafua ???

Hapo ndipo alama ya kuuliza iliyokolezwa kwa wino mzito inapokuja inapokuja
 

We Ni mchochezi Na mpika maneno.

Hivi kuna uhusiano gani Kwa hii mifano ya kisiasa uliyotoa Na upoteaji wa huyu kijana ??
Mbona haviendani au mwenzetu unataarifa za undani zaidi kwani hata kijana hajasema bado alikuwa wapi Na polisi alipoenda kuripoti Kyle Iringa hawajasema amewaeleza nn.

Mwenzetu endelea kufunguka ili nasi tujue kinachoendelea chini ya carpet
 
Points zako zimekaa vizuri kabisa. Haya ndio malumbano ninayoyataka.

Mimi sikusema ninawasilisha UKWELI WA MAMBO. Nimesema hii ni DHANA au THEORY yangu.

Asante kwa mchango wako.
 
Weka ushahidi wa kwamba alijipoteza mwenyewe!
 
Na aliyemuokota ni Juma Dogan kada wa ccm anaeishi dar lakini kwa siku hiyo alikua Mafinga ndiyo kamuokota kijana huyo na kumpa nauli ya Tax aende kuripot kituo cha police hapo chacha

Swali la kujiuliza
Kama tukio la kutengenezwa

kwanini aokotwe na Kada wa ccm anaeishi dar lakini cha ajabu siku hiyo alikua Mafinga na yeye ndiyo kamukota huyo kijana?
 
Tufanye assumption kwamba hakuna raia waliotekwa wala kuuwawa tangu sizonje aingie madarakani,,still kuna mengi ya kumuondoa na kumfanya asifae kuniongoza mim kama mtanzania. Hali mbaya kiuchumi,kushuka kwa thamani ya pesa,mfumuko wa bei,kauli mbovu(poor relationship) kwa wananchi wake,ukabila kuvuruga au kushindwa kusimamia mihimili mikuu ya taifa hasa mahakama,na kutokuwepo kwa tume huru ya uchaguzi,,atoke tu rais wa hivi wa nini sasa
 
Wapinzani wana resources gani kufanya haya?serikali ina polisi tiss jwtz wote hawa wasiyaone haya uyaone wewe?
Usiwadharau "WALA-MOTO" wa kisiasa wanachoweza kufanya.

Wanaweza kuivuruga nchi kwa kauli zao tu.
 
Jamaa unaumiza kichwa!! Ukiunganisha dots utajua aliye nyuma ni Sizonje na mwanae Bashite!!
 
Mwanzo umeanza vema ila hizo point zilizofuata umevuruga
 
Mzee wa Buza siku hizi tena .

Ina maana huyaoni haya yanayoendelea kwa urahisi kabisa .

Anyway nipo kwa mzee jongo kule kwa chini napata mihogo ya kukaangs
 
Kama huyu Kijana ukifwatilia kwa umakini utaona kuna Usanii mkubwa sana

Rai kwa Vijana wenzangu

Kila jambo lina wakati wake
Kwa nini kama ni usanii,vyombo vya dola visitumie intelijensia yake kubaini?
Hebu acheni hizi propaganda zenu uchwara! Kuna genge la wahalifu serikalini linatekeleza huu uhuni. The obvious can not be proved!
 
Enderea usi ishie njiani kujipa matumaini hewa.
Ata walio mtolea bastola nape ni upinzani pia.yaani hawa wapinzani jamaa yangu wana matatzo sana.
Ata tundulisu wao ndiyo walihusika nakamera wakazing'oa.
Nazani umeflahi sana manana akili yako wenye akili tumesha kusoma.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…