Toka nyuma ya kibod kaongeze nguvuKuna mahali kama Taifa tunapatamani kweli kufika, ila tunaenda vizuri sana, tutapafika tu! Dola na uongozi kazaneni tumekaribia kupafika, ni juhudi kidogo tu zinatakiwa mwishoni hapa.
StakiToka nyuma ya kibod kaongeze nguvu
Hakuna mwaka wowote CCM ilishinda Zanzibar pia kuanzia mwaka 1992 CCM hawajawahi kushinda uchaguzi zaidi ya KUIBA
Maalum inafanywa na maaluni tu. Kama majini yote kazi yao ni kutumwa tu!Wameenda kwa kazi maalumu!
Mzee Mwinyi ulishapata urais wa Zanzibar na wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mwanao amekuwa mbunge na waziri kwa miaka mingi.
Leo hii majeshi yanaua watu Zanzibar ili mtawale. Mnataka nini ninyi kizazi cha nyoka?
Hizi video za tarehe 24 mara baada ya mkutano wa ACT na sio jana acha kuwaongopea watu weweView attachment 1612694
Video ikionyesha wananchi wakiwarushia mawe askari visiwani Zanzibar
View attachment 1612678
Video ikiwaonyesha askari wakimshushia kipigo Mwananchi kwa madai ya kuwarushia maneno
View attachment 1613114
View attachment 1613116
View attachment 1613118
View attachment 1613119
View attachment 1613113
CCM hebu kubalini yaishe jamani.... yote haya kwa nini lakini??
Nilikuwa mtwara mwezi june.. kule kuna JWTZ wameweka mpka rangi kwenye nywele kama Alikiba, rasta na ndevu kibao..Kuna mwanajeshi wa Tanzania anayesokota nywele hivyo? Binafsi Sijawahi kuona maana Sheria za jeshi haziruhusu
Aibu kweli kwa jeshi aisee.wanazidiwa hata na wa Malawi huwezi kuta wanalishughulisha na mambo ya siasa.Wao ukaa pembeni kuviacha vyama vichuane vyenyeweIna maana JWT nao wako mitaani kusimamia uchaguzi?
Hivi hawa wanaojaribu kupambana na dola kwa kuvunja sheria kwa makusidi huwa kweli mnafanya cost benefit analyis?
Cost = kufungwa / kupata kilema cha maisha / kufa
Benefit = ???
Tokea lini mlevi ameokoka na kuanza kuombea taifa letu?
Kwani waliompiga risasi akwelina hadi mauti yakamkuta walikuwa na sababu gani?Policcm ni wauwaji tu na hufurahia mauaji ya watanzania wasio na hatia.Huyo jamaa ni mpuuzi, we angalia hapo hiyo video yote katika hao wote wamemchomoa yeye tu. Huwezi kupigwa bila sababu
View attachment 1612680
Uchaguzi wa AWALI!!