Zanzibar 2020 MATUKIO KATIKA PICHA NA VIDEO: Yaliyojiri visiwani Zanzibar katika Uchaguzi Mkuu 2020

Kwa nini wewe kijana ukubali kutumiwa? Je wewe unayekubali kutumiwa unafanya CBA???
Kumbuka, atakayeteseka ni wewe unayekubali kutumiwa pamoja na familia yako..... Wakati huo wanakutumia watakuwa Ubelgiji .....

Acha hixo propaganda za Lumumba street! Una maana gani kutumiwa? Hii ni nchi yenye mfumo wa Multipartism Kwanini KIJANA anaye support Chama pinzani ndo aonekana anatumiwa lakini aliyeko CCM aonekana hatumiwi? Acha akili za matope brother. Watz siyo wajinga! They know each and everything WHAT CCM is doing to harrass opposition parties in both Tanzania Mainland and Tanzania Island!!!
 
Acha ubwege wako wewe.
Hivi unaweza kueleza ni kwanini USA wanatumia utaratibu wa KURA ZA AWALI? Marekani Ni nchi kubwa na inawapiga kura zaidi ya milioni

Acha ungese wa kutaka kulinganisha Democracy ya USA na Zanzibar! That's a total lunatic ideas! Unaweza kutuambia Kwanini USA wame-adopt utaratibu wa Kupiga kura siku tafautitafauti?
Population ya USA ni more than 320m + na registered voters Ni zaidi ya milioni 100!
USA mpaka Raia wakioko nje ya Marekani wanaruhusiwa kupiga kura kwa Utaratibu huo.
ZANZIBAR ina population ya watu 0.7 milioni(700,000) na Wapiga kura 0.4 milioni(400,000).Kwa idadi hiyo ya Watu na Wapiga kura iko wapi mantiki ya Watu kupiga kura kwa siku 2?
Tanzania Bara kwenye watu Milioni 55+ na Wapiga kura 29.1 Milioni(questionable) wanapiga kura siku 1 ya 28/10/2020!
Kwanini Zanzibar yenye Wapiga kura 400,000 Watumie siku 2?
Try to think big brother. Acha kurubuniwa akili na Makuwadi wa Kisiasa wa CCM!!!
Mtasema mpaka MAPOVU yatoke, lakini huo ndio utaratibu na hayo ya USA na hizo data ni zao na hayo ni ya kwao. Sisi tunaendela na kutekeleza maamuzi ya Tume ya Uchaguzi Zanzibar!
 
Kwa nini wewe kijana ukubali kutumiwa? Je wewe unayekubali kutumiwa unafanya CBA???
Kumbuka, atakayeteseka ni wewe unayekubali kutumiwa pamoja na familia yako..... Wakati huo wanakutumia watakuwa Ubelgiji .....
Hongera kwako wewe unaetumiwa na wafalme kwa kuwamiminia risasi raia..

Hongera sana kwako wewe hutokufa kamwe!
 
Baada ya kuuwa watu hivi, uchaguzi na wizi ukimalizika wanamkaribisha seifu ili waunde 'serikali ya umoja' kwa kweli akikubali na yeye tunamweka kwenye kundi la wauaji
 
Hongera kwako wewe unaetumiwa na wafalme kwa kuwamiminia risasi raia..

Hongera sana kwako wewe hutokufa kamwe!

Kwa Maulana sote tutarejea. Kila nafsi itaonja umauti. Hakuna ataishi milele hapa duniani. Basi ni Bora ufe pasipo DHAMBI YA MAUAJI ukakutane na Muumba wako kuliko kufa ukiwa na DHAMBI YA KUUA NA KUTESA BINADAMU WENZIO. Adhabu yake Ni MOTO WA JEHANAMU!!!
 
Kuna watu ni wajinga, hata kusingekuwa na askari bado wangeleta ujinga.
Hivyo wacha wapate haki yao, mimi ni upinzani mbona sibughuziwi?
Lkn sio kuuwa watu, kumwagwa damu za watu uchochea hasira na kuamsha umma ambayo itakuwa ni Vita kubwa Sana Kati ya Askari na raia ambayo Askari awatoimudu.Askari wasikanyage fyuzi ni vyema wawaache wanasiasa wanyukane wenyewe.
 
Maalim na TAL damu ya watoto wetu ikimwagika watahusika. TAL wanae wanakula maisha ulaya,huku anacheza na akili za watoto wetu. Maalim wanae sijui wako wapi,sidhani kama wapo zenji. Zikinuka maalim atakuja maisha bara,serena hotel.. Hivi ni lazima maalim awe Rais wa Zanzibar?? Eti lazima kulinda ushindi!! Kwani kura imepigwa?? Asicheze na akili za watu,amani italindwa kwa gharama yoyote,asilete ushenzi
Huwezi kuwa timamu na ukaongea hivi
 
Kuna watu ni wajinga, hata kusingekuwa na askari bado wangeleta ujinga.
Hivyo wacha wapate haki yao, mimi ni upinzani mbona sibughuziwi?

Wewe utakuwa ni MPINZANI fake......!! Nyie ndo kesho unahamia mtaa wa Mafisi ya Lumumba kwa lugha za kinafiki,"KUUNGA MKONO JUHUDI ZA JIWE"
 
Lkn sio kuuwa watu, kumwagwa damu za watu uchochea hasira na kuamsha umma ambayo itakuwa ni Vita kubwa Sana Kati ya Askari na raia ambayo Askari awatoimudu.Askari wasikanyage fyuzi ni vyema wawaache wanasiasa wanyukane wenyewe.

Swali ni: KWANINI HAWA MAPOLISI WA CCM WANATUNIA SILAHA ZA MOTO??
MABOMU YA MACHOZI NA MAJI YA KUWASHA SIKU HIZI IT HAWANA?
 
Swali ni: KWANINI HAWA MAPOLISI WA CCM WANATUNIA SILAHA ZA MOTO??
MABOMU YA MACHOZI NA MAJI YA KUWASHA SIKU HIZI IT HAWANA?
Hofu ya ndugu yao ccm kushindwa mabosi zao wengi watakosa shibe, kumbuka mabosi zao ndio wanufaika Hawa wa chini ni watii amri ili wasifukuzwe kazi
 
tusifike mahala tukamwaga damu kwani damu za watu ni laaana mbaya.tusitafute uongozi kwa kumwaga damu za watu.
tumuombe Mungu atuvushe salama ktk uchaguzi huu
 
Hao raia wa zenj wanawarushia mawe askari, unategemea nini?
Acha wapate wanachostahili
Lkn sio kuuwa watu, kumwagwa damu za watu uchochea hasira na kuamsha umma ambayo itakuwa ni Vita kubwa Sana Kati ya Askari na raia ambayo Askari awatoimudu.Askari wasikanyage fyuzi ni vyema wawaache wanasiasa wanyukane wenyewe.
 
Hongera kwako wewe unaetumiwa na wafalme kwa kuwamiminia risasi raia..

Hongera sana kwako wewe hutokufa kamwe!
Kijana tumia akili yako ikupasavyo!
Maisha ni ya kwako mwenyewe, sio ya chama
Hata huyu unayempambania akishinda usidhani kuwa mambo yako yatabadilika
Na utakapoumizwa usidhani ya kuwa atakupambania
Tumia akili, achana na hizo mob pschology za kitoto
 
Acha upumbavu wewe, unaakili ya kizamani sana na ya kinafki.

Sipo kwaajili ya kutegemea Ufadhili wa Teuzi kutoka popote, Hilo ulielewe.

NITAPINGA KWA NGUVU ZOTE UDHALILISHAJI WA RAIA KWA MASLAHI YA KIKUNDI CHA WATU WACHACHE WENYE UCHU WA MADARAKA KAMA WEWE
 
Hivi ni nani alikwambia masultani walikuwa wanawanyanyasa, kuwakata mapanga na kuwatoa matumbo wazanzibari? Wewe ni mmoja kati ya mnaoamini kuwa Beit al ajaib (Beti la jaibu) wakati linajengwa watu walikuwa wanawekwa wazima wazima kwenye nguzo zake!

Mbona jengo liliwahi kuporomoka na hakuna hata ushahidi wa mifupa iliyopatikana kwenye hizo nguzo? Kikubwa Zanzibar inabanwa kwasababu bila ya hivyo ingekuwa mbali sana kimaendeleo pamoja na mambo mengine.
Usijidanganye, Zanzibar haiwezi kuendelea kwa itikadi walizonazo...ondoa huu ujinga kichwani mwako. Watu hawataki kusoma eti wanaona ujiko kukariri Qur'an ila kusoma lugha yao hawajuwi. Nani atakuajiri kwa kukariri Qur'an tu? Vijana kazi hawataki kufanya eti wanataka kuwa mashoga na kubebab mizigo ya watalii ufukweni, si upuuzi huu?
 
Back
Top Bottom