Mkushi w jani
JF-Expert Member
- Oct 2, 2021
- 1,896
- 1,698
Nimekula za uso mapema tu cha ajabu ata kwenye iyo ishu ya kugongana marks imetokea na amechkuliwa mmojaImekuwaje kwako
Nimekula za uso mapema tu cha ajabu ata kwenye iyo ishu ya kugongana marks imetokea na amechkuliwa mmojaImekuwaje kwako
Hizo scale zao za mishahara ni sh ngapi? Na benefit zingine ni zipi?Miak yetu wakti tunaomba kazi Airport kulikuwa hakuna mitihani ya kuandika.Hongereni.Mfanye kazi kwa bidii