Matokeo ya Uchaguzi mdogo Igunga (matokeo ya awali)

Matokeo ya Uchaguzi mdogo Igunga (matokeo ya awali)

Status
Not open for further replies.
kiukweli magamba wangeshinda matokeo yangeshatolewa toka jana usiku!!
Historia inaonyesha ukiona popote matokeo yamechelewa kutangazwa jua wameshindwa, kumbuka Mwanza, Arusha mjini, Segerea, Shinyanga mjini nk nk.
 
hamna hata aibu chama cha miaka 50 kujigamba "ushindi" wa kipande uzi mbele ya CDM...CDM haija shindwa imeshinda kwa sababu imeongeza umaarufu nchi nzima kupitia Igunga na imewatoa jasho kamasi na machozi mmejikokota kwenye finishing line mkiwa nyang'a nyang'a watu wazima na miaka yenu 50 aibuuuuu!!!!!. WHO NEXT!!!!!???

kazitafuteni zile ahadi mlizotoa mwaka jana mzifanyie kazi zote haraka sana mzitimize zote kabla ya 2015 la sivyo mtakiona kilichomfanya popo achimbie mchana


CDM allll the way!!!!!
 
Katiba Mpya! Katiba Mpya! Katiba Mpya! Inatakiwa Tz haraka sana. Kuanzia Tume (nec), mchakato wa kampeni, upigaji kura, zoezi la utangazaji wa matokeo vyote vina madudu. You can't go on like this unless we need Tz to blow-up.

Zambians took less than 72 hours to finish it. Kwa uwiano huu kama jimbo moja linachukua zaidi ya saa 24 then tunahitaji miezi 6 ktk uchaguzi wa nchi nzima. Aibu! Hatari sana, huu (nec + ccm) sasa ndio uvunjifu kamili wa amani & utulivu.
 
Whaaaaaaaat?!!? Majizi hayahaya tena?
I cant blv. Lazima yamechakachua tu. Tunaenda mahakamani sasa si tunao ushahidi?
 
Kimeanza sasa hivi, nasubiri ya zaidi toka kwa Fatma Almasi...
 
Ni mabomu ya machozi na risasi. Askari wameamriwa.

Matokeo leo mchana.

Watu wanakimbiza mali zao ikiwa ni pamoja na magari.

hakuna biashara, maduka yamefungwa.

Source: Wa Jikoni.

Pliz Pliz Mods msihujumu threads zangu.

Habari zangu ni za ukweli.

anayenipigia after all ni mtu neutral sana ambaye ilibidi nifanye kazi ya ziada kumshawishi ampigie mwalimu kura.
Updates:
  • Gari ya matangazo ya Chadema imekamatwa, imepelekwa polisi.
  • Igunga iko chini ya ulinzi na mabavu
  • CCM wanatekeleza ilani ya chama chao.
 
Whaaaaaaaat?!!? Majizi hayahaya tena? Kwa asilimia ngapi?
I cant blv. Lazima yamechakachua tu. Tunaenda mahakamani sasa si tunao ushahidi?
 
hata hivyo kadiri siku zinavyosonga ccm inazidi kupoteza idadi ya kura!mwaka tuu tangu uchaguzi uliopita,wananchi wameikataa ccm kwa wingi.nina uhakika ccm haitafika 2015 itakua imeondolewa na nguvu za wananchi
 
Hivi walikuwa na maana gani kusema tutapata matokeo ndani ya saa 24?
Bado sijajua walikuwa na maana gani... Kila kitu kwenye hii nchi kinafanywa kwa kubahatisha... Na usishangae hiyo sa8 wakaahirisha tena!
 
Maduka na biashara nyingi zimefungwa, nadhani wahusika wanaogopa vurugu.
 
kwa nini watu wasisubirie matokeo yatangazwe hii sera ya kwenda kwenye vituo vya kuhesabia kura na kujazana nje kushinikiza matokeo yatolewe hujui ni kama kuwateka wahesabu kura na pia kuwafanya wasiweze kufanya kazi yao kwa uhakika kwa kuhofia chochote kinaweza kuwatokea,,nafikiri hili la kuliangalia saana watu wasisogelee vituo vya kuhesabia kura kuepuka uvunjifu wa amani...
 
Kafumu ametoka katika ofisi ya msimamizi wa uchaguzi analalamika hakubaliani na matokeo!
 
anza kushangilia ushindi wa kishindo wa ccm acha longolongo cdm mshaolewa na cccm.
 
Wafuasi wa magamba na magwanda wote walianza kushangilia ushindi... ikawa ndo chanzo cha polisi kuingilia kati.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom