Matokeo ya Uchaguzi mdogo Igunga (matokeo ya awali)

Matokeo ya Uchaguzi mdogo Igunga (matokeo ya awali)

Status
Not open for further replies.
Niliahidi kuvaa gwanda kama CDM wangeshinda Igunga, namshukuru Mungu na joto hili wabaki na magwanda yao. Kidumu Chama Cha Mapinduzi, popote duniani!

nyambafu uvae magwanda we kama nan! magwanda tunavaa magwanda 2! magamba hamruhusiwi
 
Taarifa hii ya mtoa mada ni kweli na hakika nipo igunga na hali ni mbaya polisi inaadhibu watu
 
mshindi ni mwalimu, ila Dr. Kafumu amegoma kusaini fomu ya kukubali kushindwa; anataka kura zihesabiwe upya.

What on earth is happening with these people? ...These people make me sick and tired na huu sasa ni mwanzo wa kufika kule watu wasikotaka......and they still call themselves chama kilichokomaa kisiasa.....STUPID
 
zittokabwe :irregularities nyingi sana

lazima kuwe na mapungufu mengi sana kwani ukiangalia wafanyakazi watume ya ujaguzi wamewekwa na ndugu zao tu na wengi wao hawana sifa wa hawajasoma ni namna gani mifumo ya chaguzi inafanya kazi


kwa mfano hakuna wataalamu wa kutosha kwenye kitengo cha IT ambacho uingiza matokeo kwenye database ili kujumlisha na kuwanyiwa michanganuo

pia tume haiko huru
 
Zito kakiri kuwa wao cdm 45% na ccm 49% sasa tunabisha nin
 
Habar ya polis kutumia nguvu ni dalil tosha ya kuichakachua chadema, lakin mapambano yataendelea daima. one day magamba na wiz wao utafikia mwisho.
 
kiukweli magamba wangeshinda matokeo yangeshatolewa toka jana usiku!!
 
lazima kuwe na mapungufu mengi sana kwani ukiangalia wafanyakazi watume yaujaguzi wamewekwa na ndugu zao tu na wengi wao hawana sifa wa hawajasoma ni namna gani mifumo ya chaguzi inafanya kazi


kwa mfano hakuna wataalamu wa kutosha kwenye kitengo cha IT ambacho uingiza matokeo kwenye database ili kujumlisha na kuwanyiwa michanganuo

pia tume haiko huru

kuwa makini kwenye red, hapo. tupunguze jazba
 
Propaganda zitawapeleka wengi motoni. Matokeo tumesha yaona na sijaona pingamizi la matokeo yaliyowekwa humu jf. Mimi nilitarajia kuona matokeo mubadara wa yale ya mwanzo. Mtu yeyote atakaye chochea vurugu na damu ikamwagika ajue damu hiyo itakuwa juu yake siku ya kiyama.
 
Kama huyo kibaraka haamini sisiemu imepigwa chini basi warudie uchaguz si wameamua kutupa mapesa ya umma hapo igunga!
 
  1. Hii imekaaje mgombea ubunge kutopiga kura katika jimbo lake? Tume ya uchaguzi ina utaratibu gani katika kuhamisha haki ya mgombea kutoka jimbo jingine kwenda kupigia kura jimbo analogombea? Mkanganyiko huu unatakiwa kufanyiwa kazi na tume hali kadhalika katiba ya nchi.

siyo wa IGUNGA, ndo maana kwenye uzinduzi akapombeka wakati wengine wako kwenye harakati za kujinadi
 
Hivi tume inafurahia kuona damu zinamwagika na watu kukimbia hovyo, Tangazeni matokeo hata kama bosi wenu kashindwa,ni upuuzi mtupu kuwafanya wakurugenzi wa wilaya kuwa ndio wawakilishi wa tume,
Siasa uchwara! hatufurahii hata kidogo kuona ndugu zetu wa igunga wana pata urest isiyo na sababu,nyamagana,Arusha,Ubungo hapakutosha kuwa somo?
Mungu ibariki Tanzania
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom