Matokeo ya Uchaguzi mdogo Igunga (matokeo ya awali)

Status
Not open for further replies.
ITV/Radio One: 11:45AM

Vijana wa Chadema na CCM wapambana vikali kwa mapanga na marungu. Maji ya kuwasha yamwagwa hovyo. Polisi wanawakamata watu hovyo. Igunga sasa ni hatari, maduka yote yamefungwa na watu wako mkao wa tahadhari. Vijana wa Chadema na CCM wote wanadai kushinda uchaguzi. Huko halmashauri milango bado imefungwa.

Wakati fujo ikiendelea, kiongozi mmoja wa FFU alithibitisha hakuna aliyejeruhiwa hadi sasa japo hali ilikuwa tete kidogo. Mpaka sasa hali hapo Igunga mjin
 
wachinjane na hiyo damu iwe juu ya ccm na tume kwa kushindwa kuwa wakweli..
 
sisi tunataka kujua mmoja tu, nani katangazwa na tume, mengine yatafuata mkondo.
hatutaki ubabaishaji.
 
Watangazi kielewekekama vijana waanze kazi basi na iwe hiyo.
Matumbo makubwa ya wanaccm yasiyoshiba yanatakiwa kutobolewa yatoe upepo kidogo.
 
nilisema humu kuwa ccm ni wabishi na ndio chanz cha matokeo kutokutoka
 
Zitto katika twitter amekiri CDM kushindwa, tuache ushabiki lets face the facts magamba kwa hapa wamesha shinda CDM ijipange upya
 
Mbona matokeo yanacheleweshwa jamani? Je ni Gamba au Combat? tunahamu ya kujua matokeo tumechoka na matokeo feki toka jana saa 7 mchana sijui wengine walikuwa wanayapata wapi wakati hata vituo havijafungwa. Tume fanyeni tuone basi tujue kusuka ama kunyoa.....
 
Hapa ninmapata uhakika kuwa chadema ni washindi kwani kwa ucheleweshwaji huu wa matokeo inmaonyesha kabisa magamba wanashjinmikiza kitu fulani hapa. hainipi shida saana kujua kuwa matokeo ni kuwa magamba wamelazwa chali tu ila wanachelewesha sherehe kama ilivyokuwa huko arusha ubungo na kawe. chama oyeeee.
 
kweli watanzania ni wadanganyika....yaani hadi sasa hivi hakuna lolote? R.I.P CCM na mungu awabanike wanachama wote..ila mtakufa siku si zenu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom