Matokeo ya Uchaguzi mdogo Igunga (matokeo ya awali)

Matokeo ya Uchaguzi mdogo Igunga (matokeo ya awali)

Status
Not open for further replies.
Jamani,Tumekaa mkao wa kushangilia muda mrefu sasa,Kweli nashindwa kujua habari za uhakika ni zipi maana, mara CDM mara CCM.Please yoyote mwenye habari za uhakika atupe na source.Please and please
 
Lengo la Matokeo ya Nape ni kumpa pressure msimamizi wa uchaguzi, ajue kuwa akitangaza sivyo then ukurugenzi hana.. ndo kawaida yao.. lakini siku si nyingi watajua kilicho myoa kanga manyoya!!
 
Ni mabomu ya machozi na risasi. Askari wameamriwa.

Matokeo leo mchana.

Watu wanakimbiza mali zao ikiwa ni pamoja na magari.

hakuna biashara, maduka yamefungwa.

Source: Wa Jikoni.

Pliz Pliz Mods msihujumu threads zangu.

Habari zangu ni za ukweli.

anayenipigia after all ni mtu neutral sana ambaye ilibidi nifanye kazi ya ziada kumshawishi ampigie mwalimu kura.
 
Shukurani mkuu kwa taarifa, sasa napata wasiwasi na haya matokeo tunayopata humu JF.
 
CDM CHALIIIIIIIIiiiiiiiiiiiiiiii na magwanda yao kama banyamulenge! Kupenda cdm ni kujitakia ugonjwa wa moyo ujanani
 
Ni mabomu ya machozi na risasi. Askari wameamriwa.

Matokeo leo mchana.

Watu wanakimbiza mali zao ikiwa ni pamoja na magari.

hakuna biashara, maduka yamefungwa.

Source: Wa Jikoni.

Pliz Pliz Mods msihujumu threads zangu.

Habari zangu ni za ukweli.

anayenipigia after all ni mtu neutral sana ambaye ilibidi nifanye kazi ya ziada kumshawishi ampigie mwalimu kura.
mie namwamini wa jikoni kwa hiyo mshindi ni nani?
 
zittokabwe : vijana wa chadema walikuwa wanakusanyika katika ofisi na kambi ya chadema kupata maelezo ya viongozi. Polisi wamekuja kusambaza
 
hakuna sababu ya mapambano kwani tumeona copy zote za matokeo ya kila kituo sasa kwenye kujumlisha ndio kusababishe mapigano ya taifa ili

tume inatakiwa kutangaza na vile vile wananchi hakuna sababu ya msingi kufanya fujo
 
Niliahidi kuvaa gwanda kama CDM wangeshinda Igunga, namshukuru Mungu na joto hili wabaki na magwanda yao. Kidumu Chama Cha Mapinduzi, popote duniani!
 
hakuna sababu ya mapambano kwani tumeona copy zote za matokeo ya kila kituo sasa kwenye kujumlisha ndio kusababishe mapigano ya taifa ilitume inatakiwa kutangaza na vile vile wananchi hakuna sababu ya msingi kufanya fujo
zittokabwe :irregularities nyingi sana
 
zittokabwe : vijana wa chadema walikuwa wanakusanyika katika ofisi na kambi ya chadema kupata maelezo ya viongozi. Polisi wamekuja kusambaza

Halafu huyu Zitto ni mpuuzi eeh?? Haka kajamaa kanafinafki sana haka, sasa kama kila wakala keshawasilisha hesabu ya kila kituo kwenu kwa nini usiseme idadi yake, kama vipi go to hell na matwita yako...
 
Polisi wanatumia gari lenye maji ya kuwasha na mabomu ya machozi kuwapiga makamanda wa Chadema, kunataarifa kwamba CDM wameshinda lakini unajua tena MKAPA anataka kufanya kama yale ya Zanzibar watu wakimbilie shimoni Mombasa. Ila ninachojua makamanda wa CDM hawahitaji kwenda shimoni isipokuwa polisi na usalama wa Taifa ndiyo watakimbilia Mtaroni Kenya. CDM wanakaba hadi penati!!!! Kudadadeki.
 
Hii hali lazima ilete utata kwa sababu inavyoonyesha hata mijini kwenyewa ambapo takwimu za jana zilikuwa zinaonyesha kama chadema ilikuwa juu bado mambo yamekuwa ndivyo sivyo,kwa mfano Igunga kwenyewe CHADEMA imepata kura 3358 wakati CCM imepata 3181,hii kidogo inasababisha vichwa vituume wakereketwa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom