BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,769
- 288,331
Leteni matokeo rasmi haya ya Nape yana walakini!
Matokeo ya Nape yameshachakachuliwa na kile kitengo chao kingine cha Magamba kinachoitwa tume ya uchaguzi ya CCM, na hivyo si matokeo ya kweli ila yaliyojaa wizi mkubwa