Matokeo ya Uchaguzi mdogo Igunga (matokeo ya awali)

Matokeo ya Uchaguzi mdogo Igunga (matokeo ya awali)

Status
Not open for further replies.
Umekosea mpangilio kidogo tu kwa watu makini kutambua!
Kwa kuwa vyama vilivyoshiriki uchaguzi ni zaidi ya 7, kama hizi habari ni kutoka official source, wangeandika kwa utaratibu ambao ungewezesha vyama vyote kuwepo na matokeo yake hapo kwenye karatasi hiyo. Lakini kwa jinsi ulivyoandika wewe, hata vyama 4 havitoshelezei kwa font hiyo uliyotuonyesha. Pia mpangilio wa vyama kwenye uchaguzi huo haukuwa wa mtiririko huo
Maji ya chooni haya usipoteze muda wako kumuelezea ufyenze anaoufanya.
 
[TABLE="width: 421"]
[TR]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 143"]KATA[/TD]
[TD="width: 109"] CCM [/TD]
[TD="width: 105"] CDM[/TD]
[TD="width: 64"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Ntobo[/TD]
[TD="align: right"]730[/TD]
[TD="align: right"]302[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Nguvumoja[/TD]
[TD="align: right"]694[/TD]
[TD="align: right"]284[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Nkinga[/TD]
[TD="align: right"]1484[/TD]
[TD="align: right"]1079[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Itumbo[/TD]
[TD="align: right"]1079[/TD]
[TD="align: right"]590[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Nango[/TD]
[TD="align: right"]897[/TD]
[TD="align: right"]645[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Igurubi[/TD]
[TD="align: right"]1064[/TD]
[TD="align: right"]801[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Mwisi[/TD]
[TD="align: right"]926[/TD]
[TD="align: right"]992[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Mbutu[/TD]
[TD="align: right"]1335[/TD]
[TD="align: right"]1427[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Kinungu[/TD]
[TD="align: right"]855[/TD]
[TD="align: right"]756[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Bukoko[/TD]
[TD="align: right"]1136[/TD]
[TD="align: right"]931[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Nyandekwa[/TD]
[TD="align: right"]691[/TD]
[TD="align: right"]613[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Ndembezi[/TD]
[TD="align: right"]866[/TD]
[TD="align: right"]806[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Chabutwa[/TD]
[TD="align: right"]545[/TD]
[TD="align: right"]581[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Ziba[/TD]
[TD="align: right"]1053[/TD]
[TD="align: right"]860[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Igoweko[/TD]
[TD="align: right"]1051[/TD]
[TD="align: right"]808[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Mwamashija[/TD]
[TD="align: right"]806[/TD]
[TD="align: right"]590[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Sungwizi[/TD]
[TD="align: right"]1225[/TD]
[TD="align: right"]718[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Isakamaliwa[/TD]
[TD="align: right"]525[/TD]
[TD="align: right"]593[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Ngulu[/TD]
[TD="align: right"]622[/TD]
[TD="align: right"]412[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Choma[/TD]
[TD="align: right"]1227[/TD]
[TD="align: right"]918[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Kininginila[/TD]
[TD="align: right"]700[/TD]
[TD="align: right"]451[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Mwashiku[/TD]
[TD="align: right"]798[/TD]
[TD="align: right"]484[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Simbo[/TD]
[TD="align: right"]738[/TD]
[TD="align: right"]1016[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Itunduru[/TD]
[TD="align: right"]738[/TD]
[TD="align: right"]784[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Mwamashinda[/TD]
[TD="align: right"]1224[/TD]
[TD="align: right"]1421[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]JUMLA[/TD]
[TD="align: right"]23009[/TD]
[TD="align: right"]18862[/TD]
[TD]




TUONE MPAKA MWISHO HALI ITAKUWAJE.......[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Kata ya igunga vipi? Magamba ndio imefia hapo jamani!
 
Matokeo ya Igunga naona hivi sasa yamegeuka mambo ya utani tu; kila mtu huibuka na ya kwake mfukoni na tambo juu.

Kwa mfano naye huyu mtoto wa Nnauye naye kaibuka na ya kwake - haya tukayasome tukisubiri na matokeo kutoka kwa Mhe Tambwe Hizza.


Nape Nnauye

Matokeo Igunga.(Jumla kuu ni CCM 26266. CHADEMA 22443)
Na haya ni kata kwa kata...

Mboto CCM 730- CHADEMA 302
Nguvu moja CCM 694 CHADEMA 284

Nkinga CCM1479. CHADEMA 1085
Itumba CCM1079 CHADEMA 590

Nanga. CCM 897. CHADEMA 645
Igurubi CCM 925 CHADEMA 592

Mwisi CCM 926. CHADEMA 992
Mbutu. CCM 1186. CHADEMA 1426

Kinungu. CCM 505 CHADEMA 268
Ngulu CCM 622 CHADEMA 412

Igunga CCM 3181 CHADEMA 3358
Choma CCM 1227 CHADEMA 918

Kining. CCM 700 CHADEMA 451
Mwashiku. CCM 798 CHADEMA 484

Nsimbo CCM 738 CHADEMA 1016
Itunduru CCM 738 CHADEMA 784

Mwamashimba CCM 1224 CHADEMA 1421
Mbutu CCM 1335 CHADEMA 1427

Bukoko CCM 1136 Chadema 931
Nyandekwa CCM 691 Chadema 631

Ndembezi CCM 866 Chadema 806
Chabutwa CCM 545 Chadema 581

Ziba CCM 1053 Chadema 860
Igoweko CCM 1051 Chadema 880

Sungwizi CCM 1225 Chadema 718
Isakamaliwa CCM 525 Chadema 593

OHOOO PEOPLES POWER TENA KWISHNEI!!!!

[TABLE="width: 421"]
[TR]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 143"]KATA[/TD]
[TD="width: 109"] CCM[/TD]
[TD="width: 105"] CDM[/TD]
[TD="width: 64"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Ntobo[/TD]
[TD="align: right"]730[/TD]
[TD="align: right"]302[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Nguvumoja[/TD]
[TD="align: right"]694[/TD]
[TD="align: right"]284[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Nkinga[/TD]
[TD="align: right"]1484[/TD]
[TD="align: right"]1079[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Itumbo[/TD]
[TD="align: right"]1079[/TD]
[TD="align: right"]590[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Nango[/TD]
[TD="align: right"]897[/TD]
[TD="align: right"]645[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Igurubi[/TD]
[TD="align: right"]1064[/TD]
[TD="align: right"]801[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Mwisi[/TD]
[TD="align: right"]926[/TD]
[TD="align: right"]992[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Mbutu[/TD]
[TD="align: right"]1335[/TD]
[TD="align: right"]1427[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Kinungu[/TD]
[TD="align: right"]855[/TD]
[TD="align: right"]756[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Bukoko[/TD]
[TD="align: right"]1136[/TD]
[TD="align: right"]931[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Nyandekwa[/TD]
[TD="align: right"]691[/TD]
[TD="align: right"]613[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Ndembezi[/TD]
[TD="align: right"]866[/TD]
[TD="align: right"]806[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Chabutwa[/TD]
[TD="align: right"]545[/TD]
[TD="align: right"]581[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Ziba[/TD]
[TD="align: right"]1053[/TD]
[TD="align: right"]860[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Igoweko[/TD]
[TD="align: right"]1051[/TD]
[TD="align: right"]808[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Mwamashija[/TD]
[TD="align: right"]806[/TD]
[TD="align: right"]590[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Sungwizi[/TD]
[TD="align: right"]1225[/TD]
[TD="align: right"]718[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Isakamaliwa[/TD]
[TD="align: right"]525[/TD]
[TD="align: right"]593[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Ngulu[/TD]
[TD="align: right"]622[/TD]
[TD="align: right"]412[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Choma[/TD]
[TD="align: right"]1227[/TD]
[TD="align: right"]918[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Kininginila[/TD]
[TD="align: right"]700[/TD]
[TD="align: right"]451[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Mwashiku[/TD]
[TD="align: right"]798[/TD]
[TD="align: right"]484[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Simbo[/TD]
[TD="align: right"]738[/TD]
[TD="align: right"]1016[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Itunduru[/TD]
[TD="align: right"]738[/TD]
[TD="align: right"]784[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Mwamashinda[/TD]
[TD="align: right"]1224[/TD]
[TD="align: right"]1421[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]JUMLA[/TD]
[TD="align: right"]23009[/TD]
[TD="align: right"]18862[/TD]
[TD]



TUONE MPAKA MWISHO HALI ITAKUWAJE.......[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
jamani ukweli ndio huo magamba wameibuka kidedea, mimi nipo igunga hapa yani kwenye ofisi ya halmashauri ni kijani tupu zinashangilia hapa
 
Simple assessment bila kuangalia nani kashinda jimbo la Igunga, CDM wanastahili pongezi kubwa kwani wameonyesha ukomavu na kukua kwa demokrasia, kwani nguvu waliyoitumia CCM ni kubwa mno!!!! CCM wametumia fedha na raslimali za watz maskini, vitisho na siasa za hujuma dhidi ya vyama vya upinzani. CCM wametumia viongozi wa kitaifa Wastaafu na viongozi waliopo serikalini sasa kuwafanyia kampeni, yet CDM wameweza kuchuana vikali na chama kilichopo madarakani zaidi ya miaka 30.....shame! keep it up CDM and dont give it up the struggle! God bless u!!!
 
Kamata mwizi hapa chini,

MAGWANDWA NOMAAAAA kelele zote hizo aibu hii sasa inakuaje? kati ya kata 22 mmeambulia 3 CCM ikiibuka na 18 cuf moja tu, masikini

Kwanza kata ziko 26 na siyo 22 kama unavyodai.

Nape Nnauye
Matokeo Igunga.(Jumla kuu ni CCM 26266. CHADEMA 22443)
Na haya ni kata kwa kata...
Mboto CCM 730- CHADEMA 302
Nguvu moja CCM 694 CHADEMA 284
Nkinga CCM1479. CHADEMA 1085
Itumba CCM1079 CHADEMA 590
Nanga. CCM 897. CHADEMA 645
Igurubi CCM 925 CHADEMA 592
Mwisi CCM 926. CHADEMA 992
Mbutu. CCM 1186. CHADEMA 1426
Kinungu. CCM 505 CHADEMA 268
Ngulu CCM 622 CHADEMA 412
Igunga CCM 3181 CHADEMA 3358
Choma CCM 1227 CHADEMA 918
Kining. CCM 700 CHADEMA 451
Mwashiku. CCM 798 CHADEMA 484
Nsimbo CCM 738 CHADEMA 1016
Itunduru CCM 738 CHADEMA 784
Mwamashimba CCM 1224 CHADEMA 1421

Mbutu CCM 1335 CHADEMA 1427
Bukoko CCM 1136 Chadema 931
Nyandekwa CCM 691 Chadema 631
Ndembezi CCM 866 Chadema 806
Chabutwa CCM 545 Chadema 581
Ziba CCM 1053 Chadema 860
Igoweko CCM 1051 Chadema 880
Sungwizi CCM 1225 Chadema 718
Isakamaliwa CCM 525 Chadema 593
OHOOO PEOPLES POWER TENA KWISHNEI!!!!

Hapa CDM wameongoza kata 9 kutokana na list yako, na siyo tatu kama unavyodai, na vile vile kata list yako inakata 26 tofauti unavyodai hapo juu kuwa ni kumi,

na je mbona hizi kura zenu za Nsimbo CCM 738 & Itunduru CCM 738 ziko sawa, bahati mbaya?
 
Ngoja nikajilalie maana hapa naona limeibuka kundi la wahuni kila mtu anatangaza matokeo kadiri anavyoona yeye inampendeza. Kama ushindi upo upo tu.
 
Kamata mwizi hapa chini,

Kwanza kata ziko 26 na siyo 22 kama unavyodai.

Hapa CDM wameongoza kata 9 kutokana na list yako, na siyo tatu kama unavyodai, na vile vile kata list yako inakata 26 tofauti unavyodai hapo juu kuwa ni kumi,

na je mbona hizi kura zenu za Nsimbo CCM 738 & Itunduru CCM 738 ziko sawa, bahati mbaya?
Hata kata za Mbutu ziko mbili.
 
Nashangazwa sana na idara ya uenezi ya CDM (kama ipo).Habari za ugomvi tulikuwa tunapata papo kwa papo, leo uchaguzi hatumsikii Nanyaro, Zitto, Slaa, Mtema.... what happened?
 
mbona matokeo ya nape yana kata ya mbutu mara mbili na figures tofauti?
au ndo ule uchakachuzi???/

Matokeo inaonekana kama yatakuwa yenyewe basi wamefanya mchezo mchafu sana maana kata ya MBUTU zipo mbili kwa hesabu tofauti hapo so kipi ni kipi???
 
Matokeo inaonekana kama yatakuwa yenyewe basi wamefanya mchezo mchafu sana maana kata ya MBUTU zipo mbili kwa hesabu tofauti hapo so kipi ni kipi???
Wanachofanya ni kupata number kutoka kwa wawakilishi/wasimamizi wao, na kuziandika. CDM nao wangekuja na figures kutoka kwa wawakilishi wao. Halafu finally NEC ndio wanakuja na official results. Hay mambo ni ya kwaida na siyo official, bali yanatoa taswira ya matokeo kiaina.
 
Matokeo inaonekana kama yatakuwa yenyewe basi wamefanya mchezo mchafu sana maana kata ya MBUTU zipo mbili kwa hesabu tofauti hapo so kipi ni kipi???

mkuu, magamba wana spin tu mambo.
Tu wait makamanda wafunguke na data za ukweli then tume itangaze uongo waone mzuka wake.
Always cdm haikurupuki.
 
Duh hapa sasa ni chakachua nikuchakachua nakubwaga pwaaa. Mkilala tu hapo mtaambiwa ccm imeshinda kwa asilimia 65.
 
Nashangazwa sana na idara ya uenezi ya CDM (kama ipo).Habari za ugomvi tulikuwa tunapata papo kwa papo, leo uchaguzi hatumsikii Nanyaro, Zitto, Slaa, Mtema.... what happened?

CDM wanajua kuwa kutangaza matokeo ni jukumu la tume ya uchaguzi na sio idara za uenezi za vyama
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom