Matokeo ya Uchaguzi mdogo Igunga (matokeo ya awali)

Matokeo ya Uchaguzi mdogo Igunga (matokeo ya awali)

Status
Not open for further replies.
TBC1 wameongea na msimamizi wa uchaguzi wa Igunga, amesema matokeo yatatangazwa saa mchana
 
Kwa mujibu wa idhaa ya kiswahili ya bbc saa 12 asubuh hii matokeo ya uchaguzi wa igunga yatatangazwa leo mchana,wanasema bado kuna masanduku yakura hayajafika ktk kituo kikuu cha kuhesabia kura hapo igunga.
 
Hatutaki uzushi toka kwa Magamba kwani Jana vilifungwa saa nne so hakuna kura zozote zilizoingia so matokeo yatatolewa bdae,nyie akina Rejeo,ff,mwita25 kaeni kmya
 
Matokeo bado yanahesabiwa kwahiyo mnaotupa matokeo ya flani kashinda muache kiherehere tume itatangaza yenyewe haiitaji msaada wenu!!
Bado tu hamjakubali kushindwa?
Poor u
 
tunataka matokeo kutoka igunga kwenyewe au watu waliopo igunga sio watu mpo kinondoni mnatumiwa msg mnaanika uongo hapa
 
Huyu jamaa nimetokea kumpenda gafla kutokana na staili yake ya kampeni mwenye audi o ya hotuba yake ya kampeni atuwekehe hapa jamani
 
Hiyo attachment ya updates inaniacha hoi. Ina maana Tume haina karatasi rasmi? Vituo vimeandikwa kwa mkono, mwee!

Matokeo ya Igunga, vyovyote iwavyo yanalichimbia CCM kaburi 2015, Jeshi kubwa la vijana wa shule za Sekondari Kata na Vyuo wataingia kupiga kura na huo ndo mwisho wa CCM.
 
Vijana kipindi hiki ndio wameichagua CCM! By 2015 CDM itakuwa imekufa!
 
Nape analalamika kuna mtu anatumia jina lake vibaya hapa JF, hivyo hausiki na matokeo yaliyotolewa kwa ID ya "Nnauye Jr"
 
From channel ten,mkurugenz wa mawasiliano ccm,anadai ccm imeshinda.
 
matokeo ya awali.ccm wamepata kura elfu26,chadema wamepata kura elfu22 by songoro mkurugenzi wa mawasiliano ya umma wa ccm.kati ya kata26 ccm wameshinda kata17.na kiongozi kun kionozi wa chadema kakili kuzidiwa nguvu.chanzo channel10.
 
Nape analalamika kuna mtu anatumia jina lake vibaya hapa JF, hivyo hausiki na matokeo yaliyotolewa kwa ID ya "Nnauye Jr"

Mzushi huyu atakua ame confirm kwa wana Igunga kua matokeo hayapo hivyo kwani nyie wageni na huyu mtu?
 
ccm wamepata kura elfu26,chadema wamepata kura elfu22 by songoro mkurugenzi wa mawasiliano ya umma wa ccm.kati ya kata26 ccm wameshinda kata17.chanzo channel10.

Usitegemee kupata taarifa tofauti dhidi ya hawa Ccm,bosi wake(nape) anakataa hizo taarifa kua haziko sahihi nae anaongea nn?
 
Wananchi wa vijijini bado ndio wanazorotesha maendeleo ya nchi hii: wanaendelea kukumbatia MAGAMBA alafu baadae wanatoa vilio na mayowe kwamba maisha ni magumu, nimesikia kwa maeneo ya mjini CDM imefanya vizuri lkn Vijijini CCM imetakata:
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom