we mzee wa ufipa katavi au kawajense au makanyagio au nsemulwa au ibindi au kasokola je wameshatangaza matokeo rasmi?kama una data za matokeo rasmi tumwagie.Hongereni CCM kwa ushindi, hongereni Chadema pia kwa kuwatoa jasho ccm.
Jamani hatujalala vipi bado matokeo rasmi hayajatangazwa na tume au vipi?mbona wanatuzingua tu? Igunga ni ndogo sana iweje uchaguzi umeisha zaidi ya masaa 14 sasa hawajatangaza matokeo rasmi?kunani pale nec igunga?tupeni matokeo baanaa!
Makanyagio......msimamizi wa uchaguzi hajatangaza matokeo rasmi, lakini haya yanayowekwa na wadau humu yanaonyesha ccm kushinda.we mzee wa ufipa katavi au kawajense au makanyagio au nsemulwa au ibindi au kasokola je wameshatangaza matokeo rasmi?kama una data za matokeo rasmi tumwagie.
asante mzee wakwetu katavi. Je madukani wapajua?je mpanda hoteli?azimio,katumba,milala,kasokola,mpn ndogo,ifukutwa,kibo,shanwe,msakila,majengo,misunkumilo,aaah nimekumbuka mbalisanaaa,Makanyagio......msimamizi wa uchaguzi hajatangaza matokeo rasmi, lakini haya yanayowekwa na wadau humu yanaonyesha ccm kushinda.
asante mzee wakwetu katavi. Je madukani wapajua?je mpanda hoteli?azimio,katumba,milala,kasokola,mpn ndogo,ifukutwa,kibo,shanwe,msakila,majengo,misunkumilo,aaah nimekumbuka mbalisanaaa,
bajabiri tumechoka tumekesha mpk sasa matokeo rasmi hakuna,wacha tujiliwaze kujikumbusha mambo ya kwetu Ufipa. Ugali kwa mlenda na migebuka.ngoja mchakato wa Igunga uishe ndo mkumbushane UFIPA
Bado wako busy na uchakachuaji maana namba zao hazikubaliani kabisa.