Magulumangu
JF-Expert Member
- Jan 7, 2010
- 3,051
- 462
masako ananihusu nini? na matokeo ya igunga si hoja yangu! nachota kujua hivyo vikalio vyako vina shamran au vipi?
Duh we noma...Vitako tuuuuuuuuuuuu
masako ananihusu nini? na matokeo ya igunga si hoja yangu! nachota kujua hivyo vikalio vyako vina shamran au vipi?
masako ananihusu nini? na matokeo ya igunga si hoja yangu! nachota kujua hivyo vikalio vyako vina shamran au vipi?
Vituo vyote vimefunga matangazo ya Igunga. Wapi tunapata latest updates.
Jamani naona kama mnaboa vile, hii mana inahusu matokeo ya uchanguzi Igunga ila mmetuhamisha hadi flow ya matokeo hatuipati tena, kwanini msitumie busara zenu, kama mnazo hayo yenu mtumiane via utaratibu mwingine?????Mmesababisha hii thread kupoteza mvuto kwa wanaofwatilia matokeo ya uchaguzi Igunga na kwingineko. Huu mtazamo wangu tu.
Mimi siaaamini mpaka nipate habari kamili kutoka kwa Mkulugenzi.Messenger anaweza kuchakachua.Ndgu wana jf, najua mapipoooooz power sasa hivi wanaharisha harisha, kwan mpaka sasa kutoka jikoni ofisi ya mkurugenzi ccm wanaongoza kw zaidi ya kura elfu 4 ya kata zote 26.....chadema puwaaaaaaa,,,nimeamini chadema ni wasindikizaji... bila kusahau ccm imeshnda kata 17 kati ya 22, kumbe watz bado wanakiamini chama cha mapinduzi!!! ccm oyeeeeed
nini kinaendelea huko ?????
Si afadhali mie na bwabwaja wengine wana hororoja kwa kushindwa, mnhh jamani. CCM inajuwa kutesa.Bora ukalale tu. Hapa kimebaki kizee chao FF kinabwabwaja tu!
CCM won 49% against Chadema 45%
Nakumbuka ulisema huna chama, kama ni hivyo tupe source ya habari yako, vinginevyo nitajua umeingia upande wa magamba wakati wenzako wanaukimbia.