trachomatis
JF-Expert Member
- Jun 7, 2011
- 3,758
- 746
kwa kifupi basi hadi sasa Igunga ipo vp? Updates..
Naona leo wote jazba mpaka tunduni, pumuwa kidogo. Kwenye stress wanasema huwezi ku relax, jitahidi kupumuwa ni njia moja ya ku relax na kupunguza munkar. Matokeo utayapata tu, tutakapoamuwa kuyatoa. Kwa kukupunguzia fikra: usifikiri hata kidogo kuwa mnaweza kushinda, sahau.
Juventus inaongoza 1-0 kwa Ac Milan
habari nilizopta muda c mrefu kata moja anayotoka kashindye chadema 2757 ccm 1801
By Saint Ivuga![]()
![]()
Breaking News: Matokeo mpaka sasa ni: KATA CCM CDM
Ntoro 730 (CCM) 302 (CDM); Nguvumali 694 (CCM) 284(CDM); Nkinga 1479 (CCM) 1085 (CDM); Itumba 1079 (CCM) 590 (CDM); Nanga 897(CCM) 645(CDM); Igurubi 925(CCM) 592(CDM); Mbutu 1186(CCM) 1426(CDM); Kinungu 505 (CCM) 263 (CDM); Mwisi 926 (CCM) 992 (CDM); Chabutwa 545(CCM) 581(CDM); Ziba 1053(CCM) 860(CDM); Nyandekwa 691(CCM) 613(CDM)
Hizo ni kata 12... katika hizo 9 CCM imeshinda mpaka sasa CDM ni 3 tu... bado kata 14 ili zifike 26..... Kwa sasa CCM inakula 10710... CDM 8233.
Usikereke darling, Igunga CCM inaongoza kwa mujibu wa Saint Ivuga.
Kwa mujibu wa hizo hesabu zako ina maana mpaka sasa watu wa Igunga bado wanamkubali Rostam Aziz.
Kwa mujibu wa hizo hesabu zako ina maana mpaka sasa watu wa Igunga bado wanamkubali Rostam Aziz.
marschisio katupia zote!ila tuondoke hapa si mahala pake!hapa Igunga mwa mwi!Nani kafunga goli mkuu?
Joseph Shilindye amekuwa mbunge wa Igunga hii ni ktokana na kumshinda mgombea wa karibu kutoka ccm dr kafumu
Kwa vile magamba mmezoea kushinda kwa kuchakachua huna budi kuongea hivyo!
toka umalize mtihani wa darasa la 7 now upo free so unapost upupu tuWana ccm tangu saa moja tunasherekea ushinda.
Watasema CCM ndio walioileta mvua kwa makusudi ili waibe kura, utaona, sasa hivi wataanza.