Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,834
- 35,847
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Nonsense kweli kabisa. Uharo mavi
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Nonsense kweli kabisa. Uharo mavi
Kada ya afya na ualimu wengi wamekula ajiraajira zenyewe zipi hizo unazoziongelea tanzagiza? au unamaanisha boda boda uae, labda? …
hauwezi kuwa kilaza ukapata one ya 7 ukisikia ufaulu umeongezeka elewa zilizoongezeka ni four sio hizo 1.7Walishusha grade Mzee,
A ya zamani sio ya sasa , nadhani kwasasa kama una 71 basi ni A , sasa mtoto anayekariri vizuri kwanini asipate One ya 7
Kwa nini?Sina Imani na matokeo haya....
Duh!siku hizi huwezi kujivunia una elimu ya sekondari kidato cha nne utaonekana mwehu akili haiko sawa.
Ni lazima tuwe na gubu ..Ila tuliomaliza zamani tuna gubu sana
Kada ya afya na ualimu wengi wamekula ajira
Kwa nini?Ni lazima tuwe na gubu ..
Kuna dogo masomo mengine yote "F" Ila Kiswahili kapata "D English C........huyu sijui akasomee fani gani....maana nahisi mpira ndio umemfanya afeli..anapenda sana mpira but now kapumzika kuchezaMtumeee ngoja nimcheki mjomba wangu matokeo yakeI
sijui kama ulinielewa concern yangu??Fidel Castro Pemba
View attachment 3537443
Physics mchezo, ilo somo halizoeleki na halitaki mazoea kabisaa.pamoja na ufaulu mzuri ila hakuna A ya physics
😂😂😂😂😂 4 ya 31 umepeleke wapii? Zaidi ya VETA akachukue ujuzi aingie mtaani kusaka okoto.Wakubwa kwa mtoto mwenye IV ya 31 anaenda chuo kweli kapiga c ya kiswahili na english ana D na biology ana D
Mpeleke academy huko, akaendeleze kipaji chake.Kuna dogo masomo mengine yote "F" Ila Kiswahili kapata "D English C........huyu sijui akasomee fani gani....maana nahisi mpira ndio umemfanya afeli..anapenda sana mpira but now kapumzika kucheza
Kwasababu matokeo ni FAKEE...Kwa nini?
Tuache wivu mkuuKwasababu matokeo ni FAKEE...
anaenda ufundi agromachenicsMpeleke academy huko, akaendeleze kipaji chake.
😂😂😂😂😂