Matokeo ya Kidato cha Nne 2025 yatangazwa

Matokeo ya Kidato cha Nne 2025 yatangazwa

S
ishu ni kwamba hiyo one ya saba haina msisimko kama zamani. Zamani mwanafunzi akipata hiyo nchi nzima mtamjua anatoka shule gani. Sasa hivi hata hao wahitimu hawana habari kujua hao waliopata hiyo one wanatoka shule gani na wakoje. Hizo one za siku hizi ni ceremonial tu
Zamani shule za kanisa zikiongoza, lkn siku hizi zimetupwa mbali kabisa
 
Mkuu maisha hayarudi nyuma. Madogo kwa sasa wako vizuri kuliko enzi zetu. Wame-focus sana na elimu. Zile enzi za kuamka saa 9 usiku kufuata maji kilometa kadhaa kabla ya kwenda shule zimeshapita. Hata mashuleni hakuna mambo ya kwenda kulima shamba la mwalimu. Watoto wanasisitizwa kusoma tu.
Siokweli Mzee
 
S
Zamani shule za kanisa zikiongoza, lkn siku hizi zimetupwa mbali kabisa
Bado zinaongoza Tena sana, shida imekuja paper limekuwa JEPESI, grade zimeshushwa sana

Kwahiyo ni kama unaona wapo mzani sawa

Kaangalie kwasasa unakuta darasa Zima Wana one ya 7 ,na A zote kila Somo ,kitu ambacho miaka ya nyuma ilikuwa ngumu
 
Ishu kama matokeo haitakiwi kuwa breaking nuzi.

Inakuaje breaking wakati yametangazwa na nekta na yamewekwa kwenye website??? How come ni breaking?

Breaking huwa ni habari ambayo haijakamilika hivyo watu hupewa taarifa vipande vipande tu kisha baadae ndio habari huja ki undani zaidi.

Je haya matokeo yamekuja nusu mpaka mseme ni breaking news?

Matumizi ya ule wino mwekundu yameshimiwe, mwenyewe nilivyoona breaking news nimestuka, kuja kucheki matokeo ya fm4
ni kweli kabisa mkuu upo sahihi.
 
Back
Top Bottom