Matokeo ya Kidato cha Nne 2025 yatangazwa

Matokeo ya Kidato cha Nne 2025 yatangazwa

Zamani div 1 F4 zolikua kwa st tu.
Utakuta st wanafunzi 90 wote Div 1.
Lkn hivi hata Zanzibar zinapatikana.
NECTA ya ndalichako ni tofauti na hii ktk swala la ufaulu. Sijaangalia islamic school, lkn inaonekana nako mambo yamebadilika
Haya ndio matokeo ya Zanzibar unayoyasifia? Karibu wanafunzi wote shule nzima wanakula F ya mathematics
Screenshot_20260131-130513_1.jpg


Shule nyingine hii nayo wanafunzi karibu wote wana miswaki
Screenshot_20260131-130629_1.jpg


Nyingine hiyo
Screenshot_20260131-130833_1.jpg


Haya ndio matokeo unayasifia? Hata Arabic wanafeli.
 
Wakubwa kwa mtoto mwenye IV ya 31 anaenda chuo kweli kapiga c ya kiswahili na english ana D na biology ana D
 
Hizo one nyingi si za kujivunia, still wahitimu hawana uwezo wa ku sustain na kufanya analysis kwa maarifa yote waliyofundishwa. Kwanza peper lenyewe wanalofanya ni rahisi mno, wanatungiwa mtihani huo ili wafaulu. Paper la zamani ukiwapa hawa wototo wanafeli wote. Zamani mtihani ulitungwa kwa lengo la kufeli na kufaulu. Ukifaulu we ni kichwa kweli kweli! Paper lilikuwa lina mitego mingi mwanzo hadi mwisho, ukiliparamia tu kwa kuwa unajiona unamudu masomo utajikuta umefeli na wengi watashangaa umefeli vipi wakati darasani ulikuwa kinara! Paper la siku hizi ni maji sana ili watoto wafaulu
Wamepunguza pia grade

Mwaka 2013 form 6 yetu, Tanzania nzima hakuna A ya physics

T.O alianza na One ya 5

PCM-CAA

imagine
 
Yamebaki na umaarufu wa kuvuka kwenda form five tu, the rest is non sense. Siku hizi huwezi kujivunia una elimu ya sekondari kidato cha nne utaonekana mwehu akili haiko sawa. Sifa kubwa ya haya matokeo ni kuvuka kwenda form five tu !
Mkuu maisha hayarudi nyuma. Madogo kwa sasa wako vizuri kuliko enzi zetu. Wame-focus sana na elimu. Zile enzi za kuamka saa 9 usiku kufuata maji kilometa kadhaa kabla ya kwenda shule zimeshapita. Hata mashuleni hakuna mambo ya kwenda kulima shamba la mwalimu. Watoto wanasisitizwa kusoma tu.
 
Back
Top Bottom