Hio screenshot inamfanya CO aitwe daktari sawa na mtu mwenye MD au PhD?Ile screenshot uliiona au nirudie tena? Manake ukipigwa kwenzi la utosi ina assume kama huon kabisa
Hio screenshot inamfanya CO aitwe daktari sawa na mtu mwenye MD au PhD?Ile screenshot uliiona au nirudie tena? Manake ukipigwa kwenzi la utosi ina assume kama huon kabisa
You are fucked up,more and more my sister.............walimu wa CO ni MD na AMO......specialist....... aache mambo yake aanze kudeal na vichwa maji CO kama weweNakuambia sababu nimepita huko
Hakuna AMO mwenye uwezo wa kumfundisha CEO , Hata MD n mmoja mmoja sana
Kwanza I think Nina module ya Anatomy.. ngoja nikupipigie picha uone walio iandaa, nikifika tu home, i think ipo
MD hawezi fanya kitu sawa na CO?.........MD ni daktari,CO ni tabibu tu......Hizi zote CO wanasoma pia, na sio kwamba CO anakua shallow, sio lugha sahihi, ni MD anakua little bit deeper , hilo hatukatai ila kwenye kazi wanafanya kitu kimoja
Tamisemi Co -680,000/=, Md 1,480,000/= tofauti laki 8Wengi wanaochangia kusupport huu ujinga either ni wajinga ama watoto sana.........serikalini hata mshahara wa CO uzidishe mara mbili bado,atakua anadaiwa zaidi ya laki 3 na MD.......na hii ni kwasababu CO sio daktari
Sasa unachoshangaa ni nini?! AMO anafundisha CO sema siku hizi AMO wamekuwa wachache sana sio kama zamani.Kwamba AMO akamfundishe CO?
Katika watu walio andika ujinga JF leo , unashika namba moja
Yani assistant medical officer awe bora kuliko Clinical officer kias cha kumfundisha.. alooo
Yaah ni kweli,laki nane ni ndogo sana aisee..........kwa miasha ya kitanzaniaTamisemi Co -680,000/=, Md 1,480,000/= tofauti laki 8
We umeiweka vizuri sana, ambacho najaribu kukielezea.MD na CO hawakaribiani hata kidogo. Muulize CO aliyesoma MD atakwambia.
Ma CO wengi hawajui msingi mzima wa elimu ya Afya. Ni kama watu wa kubahatishabahatisha ambao baada ya muda wanakuwa vizuri kutokana na uzoefu. Kuna mambo wanafanya na mtu anapona lakini msingi mzima wa elimu ya Afya hawana. Hekaya nyingi za kiafya nchi hii zimezalishwa na ma CO.
Kimsingi kuna makosa , CO hatakiwi soma miaka mitano anapotaka chukua degree, miaka miwil mitatu nyuma ilikuwepo hoja kwamba mtu kama amepitia CO basi wakat anaenda MD asome miaka mitatu na kama itakua ngumu basi waendelee na level zao hizo hizo za NTA levels
Upande wa Nurses nakubaliana nawe, nimeliona wakati niko clinical rotations, wanapiga kazi na wana uwezo mkubwa sana , alafu unakuta ana diploma tu ,sijui kwann wanalipwa mishahara midogo , wanapiga kazi sana hawa watu kuliko doctors
AMO wengi ni walimu wa C.O na miongozi inaruhusu AMO kufundisha C.O..............by the way unaonesha ujinga wapi waziwazi hapa jukwaani,AMO anaanza na TGHS C wakati C.O anaanza na B.......sio tu mshahara hata kieliemu A.M.O ni kama advanced DiplomaKwamba AMO akamfundishe CO?
Katika watu walio andika ujinga JF leo , unashika namba moja
Yani assistant medical officer awe bora kuliko Clinical officer kias cha kumfundisha.. alooo
AMO wengi ni walimu wa C.O na miongozo ya NACTE inaruhusu AMO kufundisha C.O..............by the way unaonesha ujinga wako waziwazi hapa jukwaani,AMO anaanza na TGHS C wakati C.O anaanza na B.......sio tu mshahara hata kieliemu A.M.O anamzidi C.O,A.M.O ni advanced DiplomaKwamba AMO akamfundishe CO?
Katika watu walio andika ujinga JF leo , unashika namba moja
Yani assistant medical officer awe bora kuliko Clinical officer kias cha kumfundisha.. alooo
Una maanisha amateur MD pamoja na amateur CO wanakua sawa?Umeongelea uzoefu... Na upo sahihi kabisa...amateur MD na CO watakua sawa sababu ya uzoefu
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
AMO ni CO aliyechangamka tu.Kama AMO ambayo ipo juu ya CO anafanya 5yrs kwanini unahisi kuna makosa yamefanyika kwa CO’s?
Umeelewa vibayaUna maanisha amateur MD pamoja na amateur CO wanakua sawa?
680,000 × 2 = 1,360,000Yaah ni kweli,laki nane ni ndogo sana aisee..........kwa miasha ya kitanzania
N.B.
Mshahara wa C.O uzidishe mara mbili,bado MD anakua anamdai C.O zaidi ya laki 3
Na kila mwenye akili anajua kua C.O sio daktari
MD haitolewi eti kwa sababu umesoma MUHAS,St JOSEPH au UDOM.......MD hutolewa kwa chuo chochote kile Tanzania kilichokizi vigezo vya T.C.U vya kutoa kozi ya MD.Natamani kuchangia hii mada ila naona imejaa ushabiki sana! CO na MD lao ni moja, majukumu ya kazi yanafanana, Bodi ya kuwasimamia ni moja, kiufupi kazini huwezi kuona tofauti yao wakiwa kwenye majukumu yao ya kawaida!
MD tofauti yake na CO ni Level ya Elimu na si vinginevyo! Kama ni issue ya uwezo wa kutimiza majukumu yake kwa ufanisi.... Pia kuna MD ambao ni vilaza wa kutupa na wakati huo huo kuna ambao wako vizuri sana, hivyo hivyo kwa CO kuna wenye uwezo mkubwa sana na vilaza wapo pia.
MD zenyewe hizi za St. Joseph, Kampala n.k unakuta ni tofauti sana na MUHAS, UDOM n.k
Pia CO anayetoka Bombo Tanga, kibaha, Machame, Sengerema mara nyingi unakuta wana tofauti kubwa na hawa wa City collage, Tabdabui , DECCA n.k
Na hii haibadilishi ukweli kua mshahara wa C.O uzidishe mara mbili bado MD atakua anamdai chenji C.O680,000 × 2 = 1,360,000
1,480,000 - 1,360,000 = 120,000
Acha ushabiki maandazi
Wamechelewa sana,wangefuta yote tu udanganyifu ni mwingi mno kwa wote waliofanya mitihani iliyopita. Mtu toka mwaka wa kwanza mpaka mwisho anapata karai kwenye kila somo,mtihani wa mwisho zote anapiga A tupu,kweli???Naona nacte wameanza kuwa wakali, yajayo yanasikitisha
Kiswahili CO anaitwa tabibuCO sio daktari, acha ujinga wewe mang'aa.