NACTVET wabadilishe utaratibu wa utoaji wa matokeo ya wahitimu wa mwaka wa tatu

Mkoba wa Mama

Senior Member
May 5, 2021
113
45
Mwaka wa tatu wanaomaliza fani za afya ngazi ya stashahada matokeo yao yanachelewa sana kutoka hivyo kupelekea wahitimu wanaohitaji kuendelea na vyuo vikuu kushindwa kupata udahili kwa mwaka huo na hivyo kusubiri takribani mwaka mzima ili waje kuomba mwaka unaofuata.

NACTVET wabadilishe utaratibu huu, ni kero na kikwazo kwa wahitimu wanaotarajia kuunganisha moja kwa moja na elimu ya juu, lakini pia kuwachelewesha watu na malengo yao.

Naomba hili suala liwafikie NACTVET, Wizara ya afya, wizara ya elimu na wote wanaohusika. Wanaweza kufanya yafuatayo;

Mwaka wa tatu wawe wanaanza mitihani yao ya mwisho mapema zaidi ili matokeo yao yaandaliwe na yatolewe mapema kabla ya udahili wa vyuo vikuu kufungwa.

Au kama rasilimali za kufanya hivyo hazitoshi, basi mitihani inapomalizika, mitihani ya mwaka wa tatu iwe inaanza kusahihishwa kwanza kabla ya mwaka wa pili na wa kwanza ili matokeo yake yatolewa mapema zaidi ili wanaohitaji kuunganisha na elimu ya juu wapate fursa ya kuomba vyuo na kuwaepushia kero na usumbufu kwa kukaa mtaani mwaka mzima bila kazi ya kufanya.

La sivyo uwekwe utaratibu wa kufunguliwa kwa dirisha maalumu la udahili kwa wanafunzi waliomaliza stashahada pindi matokeo yanapotoka, ili kusiwepo na kikwazo kwa wale wanaohitaji kuunganisha chuo kikuu.
 
Hivi unaweza kuunga chuo kikuu bila kupata AVN number au hata cheti?

Sasa utakaaje mtaani bila kazi wakati umehitimu chuo? Au huko chuo ulienda kufanyeje?

Kwani huko unakotaka kwenda chuo kikuu kwenye unadhani mtaani utapakwepa?

Kaka! mtaa haukwepwi. Mtaani ndo shulee original achana na hiyo ya darasani.
 
Naona umejibu bila kuelewa namaanisha nini, kwanza sio kila anayemaliza diploma anahitaji ajira au kujitolea, wengine wana malengo tofauti.

Pili, kwenye hoja zangu sidhani kama kuna sehemu nimezungumza habari ya kwamba ukimaliza chuo kikuu ndio hautarudi mtaani, mimi nimezungumza suala la kumkalisha mtu mwaka mzima kusubiri udahili wa mwaka unaofuata wakati yeye malengo yake ni kuunganisha chuo kikuu.

NB; tusiwe tunajibu hoja kwa mazoea.
 
Mbona sijajibu bali nimeuliza.

Halafu unaposema malengo yako. Ingali utaratibu ulisha pangwa kitambo. Mimi naona ulikosea kwenda kusoma diploma, ungeenda advance ukaunganisha mpaka chuo kikuu bila ya kuungaunga.

Kwa hiyo unataka wabadirishe utaratibu Kwa sababu ya malengo yako? Huo ni utaratibu ambao ulishawekwa tayari. Ungekuwa una malengo yako ungeenda advance then directly chuo kikuu.
 
Be humble chief kukatisha vijana tamaa haipendezi

Sent from my CPH2349 using JamiiForums mobile app
 
Huo mfumo hauna shida yoyote ... kulingana na ratiba za mtihani , kusahihisha , kuprocess matokeo kuandaa vyeti na AVN, kama unataka kuunganusha subiri mwaka unaofuata.

Haya mambo ya kuharakisha matokeo ndio maana usahihishaji unakuwa mbovu
 
Mwaka wa tatu wanaomaliza fani za afya ngazi ya stashahada matokeo yao yanachelewa sana kutoka hivyo kupelekea wahitimu wanaohitaji kuendelea na vyuo vikuu kushindwa kupata udahili kwa mwaka huo na hivyo kusubiri takribani mwaka mzima ili waje kuomba mwaka unaofuata.

NACTVET wabadilishe utaratibu huu, ni kero na kikwazo kwa wahitimu wanaotarajia kuunganisha moja kwa moja na elimu ya juu, lakini pia kuwachelewesha watu na malengo yao.

Naomba hili suala liwafikie NACTVET, Wizara ya afya, wizara ya elimu na wote wanaohusika. Wanaweza kufanya yafuatayo;

Mwaka wa tatu wawe wanaanza mitihani yao ya mwisho mapema zaidi ili matokeo yao yaandaliwe na yatolewe mapema kabla ya udahili wa vyuo vikuu kufungwa.

Au kama rasilimali za kufanya hivyo hazitoshi, basi mitihani inapomalizika, mitihani ya mwaka wa tatu iwe inaanza kusahihishwa kwanza kabla ya mwaka wa pili na wa kwanza ili matokeo yake yatolewa mapema zaidi ili wanaohitaji kuunganisha na elimu ya juu wapate fursa ya kuomba vyuo na kuwaepushia kero na usumbufu kwa kukaa mtaani mwaka mzima bila kazi ya kufanya.

La sivyo uwekwe utaratibu wa kufunguliwa kwa dirisha maalumu la udahili kwa wanafunzi waliomaliza stashahada pindi matokeo yanapotoka, ili kusiwepo na kikwazo kwa wale wanaohitaji kuunganisha chuo kikuu.
1).Hii kwakweli ina umuhimu wa kufanyiwa kazi kwa mapendekezo haya mazuri.
2) Tunaomba matokeo ya wanafunzi wa diploma yatoke mapema na baraza la NACTVET nalo ikae mapema kuyaidhinisha.
3)Kama nia ipo yote yanawezekana
4)Tunashukuru mkiangalia ombi hili la wadau
 
Ni muhimu sana matokeo ya mwaka wa tatu kutoka mapema na kidhinishwa mapema ili wanafunzi wapate fursa ya kuendelea na vyuo vikuu kwa wale wenye nia ya kufanyahivyo
 
Mbona sijajibu bali nimeuliza.

Halafu unaposema malengo yako. Ingali utaratibu ulisha pangwa kitambo. Mimi naona ulikosea kwenda kusoma diploma, ungeenda advance ukaunganisha mpaka chuo kikuu bila ya kuungaunga.

Kwa hiyo unataka wabadirishe utaratibu Kwa sababu ya malengo yako? Huo ni utaratibu ambao ulishawekwa tayari. Ungekuwa una malengo yako ungeenda advance then directly chuo kikuu.
Nikisema haujielewi nitakua nakosea, lakini naomba nikuambie tu, si kila suala unapaswa kuchangia, mengine acha yapite kukusaidia pia kuficha ujinga ulionao.

Ukisoma hapo, kuna sehemu yeyote nimeandika kuhusu malengo yangu binafsi?

Na pia unaposema utaratibu umeshawekwa una maana gani? kwa hiyo utaratibu ukishawekwa hauwezi kubadilishwa kulingana na mabadiliko ya wakati au mahitaji? Nakushauri uwe unafikiri kwanza kabla ya kuandika/kuzungumza, itakusaidia sana.
 
Huo mfumo hauna shida yoyote ... kulingana na ratiba za mtihani , kusahihisha , kuprocess matokeo kuandaa vyeti na AVN, kama unataka kuunganusha subiri mwaka unaofuata.

Haya mambo ya kuharakisha matokeo ndio maana usahihishaji unakuwa mbovu
Ndiyo maana nimeweka options hapo chini ya nini kifanyike kwa mwaka wa 3 ili mda upatikane wa kutosha kuandaa matokeo na kuyatoa, sijazungumzia habari za kusahihisha mitihani haraka haraka. Na usipende kutoa conclusion kwenye hoja ya mtu utafikiri wewe ndio mwenye mamlaka.
 
Nikisema haujielewi nitakua nakosea, lakini naomba nikuambie tu, si kila suala unapaswa kuchangia, mengine acha yapite kukusaidia pia kuficha ujinga ulionao.

Ukisoma hapo, kuna sehemu yeyote nimeandika kuhusu malengo yangu binafsi?

Na pia unaposema utaratibu umeshawekwa una maana gani? kwa hiyo utaratibu ukishawekwa hauwezi kubadilishwa kulingana na mabadiliko ya wakati au mahitaji? Nakushauri uwe unafikiri kwanza kabla ya kuandika/kuzungumza, itakusaidia sana.
Wewe ndiye hujielewi. Unacho jali ni Kwa kuwa umeshafaulu una ona una haki ya ku apply na kujoin University. Na ndo maana WAZO lako limekuja after matokeo kutoka. Ficha upumbavu wako.

Hapo unaposema wawe wanawahisha, Matokeo yakija mabaya watu wana anza kulalamika kuwa wana sahihisha harakaharaka inmradi wamalize.

Eti Mwaka wa tatu wafanye mtihani mapema ,fala kwelii

Hujielewi na ndo maana WAZO hilii limekuja baada ya wewe kuhitimu fala wewe. Ungekuwa unajielewa ungetoa WAZO before,,,ACHA upumbavu.

Mwaka wa tatu wapewe muda wao wa kudahili,,, bloila mweusi wewe
Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
 
Una uhakika matokeo yametoka? Una uhakika mimi nimehitimu/nimesoma diploma?

Na hata kama mimi nimehitimu, unafikiri hoja hii ikiwafikia wahusika na wakaamua kuifanyia kazi, itawezekana kufanyiwa kazi kwa waliohitimu mwaka huu? Hili suala hata haliwahusu waliohitimu mwaka huu, ni suala ambalo linaweza kufanyiwa kazi hata baada ya miaka 2 na kuendelea.

Namna tu unavyo jibu na lugha unazotumia zinadhihirisha wazi kuwa wewe ni mtu wa aina gani na nimegundua kuendelea kukuelewesha wewe ni changamoto kubwa, acha nichutame.
 
1) Jamani hamna haja ya kutukanana
2) Nia hapa ni njema kwa kila mmoja
3) La muhimu hapa ni kuangalia ni jinsi gani usahihishaji wa karatasi za Theory za Mwaka wa tatu unapewa priority na matokeo yake kuwahi admission cycle ya vyuo vikuu bila kuharibu quality ya usahihishaji nk
4) Hii ni kwasababu baadhi ya wanafunzi huamua kupitia route hii ya diploma ndio waunge shahada;
4) Nadhani nia ikiwepo hili linawezekana kabisa bila hata kuharibu ubora
 
Nikisema haujielewi nitakua nakosea, lakini naomba nikuambie tu, si kila suala unapaswa kuchangia, mengine acha yapite kukusaidia pia kuficha ujinga ulionao.

Ukisoma hapo, kuna sehemu yeyote nimeandika kuhusu malengo yangu binafsi?

Na pia unaposema utaratibu umeshawekwa una maana gani? kwa hiyo utaratibu ukishawekwa hauwezi kubadilishwa kulingana na mabadiliko ya wakati au mahitaji? Nakushauri uwe unafikiri kwanza kabla ya kuandika/kuzungumza, itakusaidia sana.
Haujielewi! Laiti kama ungekuwa unajielewa hili wazo ungelitoa mapema. Ila Kwa sababu matokeo yametoka na umefaulu unaona Naam SERIKALI ingefanya hivi ingekuwa vizuri saana na usingekaa mtaani ungeendelea na University na Kwa Sasa hauko tayari kujitolea kutoa skill yako uliyo ipata chuoni.

Nakwambia hujielewi. Kwa sababu ulijua kabisa baada ya kumaliza miaka mitatu ya CMT Kuna muda utahitaji kukaa mtaani.

Lakini Kwa kutojielewa kwako ukakaza fuvu na Sasa matokeo yametoka unaona siyo sahihi Kwa SERIKALI kuweka huo utaratibu.

Ndo maana nikakwambia,kama ulitaka mambo yasiwe mengi. Ungeenda advance the uka apply ukaenda zako university ACHA upumbavu.

Kikubwa unacho ongelea hapo ni kukaa mtaani. Unaogopa mtaaa. Bora uendee shule kuliko kukaa mtaani,, kama unavyo sema wewe kupoteza muda mwingi mtaani.

KAMA UNGEKUWA UNAJIELEWA, USINGE ENDA CMT INGALI UNAJUA KUNA MUDA ITABIDI UCHILL NA NI MUOGA WA MTAA. UNGEENDA ZAKO STRAIGHT MPAKA UNIVERSITY.

Kuhusu kuchangia mada, Kaa ukijua mada ikiwa mezani kuwa tayari kwa comment YOYOTE. Ya dhihaka,kejeri,kukuumiza,faraja,kusapoti. ACHA kutoka povu kwenye matobo yaliyo mwilini wako.

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
 
Una uhakika matokeo yametoka? Una uhakika mimi nimehitimu/nimesoma diploma?

Namna tu unavyo jibu na lugha unazotumia zinadhihirisha wazi kuwa wewe ni mtu wa aina gani na nimegundua kuendelea kukuelewesha wewe ni changamoto kubwa, acha nichutame.
Thread zako za nyuma, hata thread hii inaonesha muhusika ni wewe kutokana na uandishi wako umekAA Kwa nafsi Mimi. Usidhani humu ndani kila MTU ni mtoto. ACHA ujingaa.
Kuhusu matokeo fatilia. Chuo kama Lugalo tayari

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
 
Ndiyo maana nimeweka options hapo chini ya nini kifanyike kwa mwaka wa 3 ili mda upatikane wa kutosha kuandaa matokeo na kuyatoa, sijazungumzia habari za kusahihisha mitihani haraka haraka. Na usipende kutoa conclusion kwenye hoja ya mtu utafikiri wewe ndio mwenye mamlaka.
Uwezo wako wa reasoning ni mdogo na upo kihisia zaidi halafu unataka usikilizwe ,hio mapema unayozungumzia wewe kama Suluhu ni ipi kwanza.

Maamuzi hayafanyiki kwa kukidhi haja za mwanafunzi mmoja mmoja bali kuna kitu kinaitwa a fair point decision , hayo mabaraza ya elimu hayapo kwa ajili ya kusimamia interest zao bali wanasimamia interest za wanafunzi wote kuanzia mwaka wa kwanza mpaka wa tatu, ofcourse NACTVET wana kasoro zao nyingi hususani kwenye wepesi wa kuprocess matokeo baada ya mtihani na kuyatoa.
Haiumizi kusubiri miezi nane mpaka tisa ndio uende chuo
 
Uwezo wako wa reasoning ni mdogo na upo kihisia zaidi halafu unataka usikilizwe ,hio mapema unayozungumzia wewe kama Suluhu ni ipi kwanza.

Maamuzi hayafanyiki kwa kukidhi haja za mwanafunzi mmoja mmoja bali kuna kitu kinaitwa a fair point decision , hayo mabaraza ya elimu hayapo kwa ajili ya kusimamia interest zao bali wanasimamia interest za wanafunzi wote kuanzia mwaka wa kwanza mpaka wa tatu, ofcourse NACTEVET wana kasoro zao nyingi hususani kwenye wepesi wa kuprocess matokeo baada ya mtihani na kuyatoa.
Haiumizi kusubiri miezi nane mpaka tisa ndio uende chuo
1Ninaamini umeona vyema kasoro ambayo NACTVET inaweza kuiboresha kwa kuongeza wepesi wa kuprocess matokeo baada ya mitihani na kuyatoa. Nami ninaamini kabisa NACTVET ikiamua kurekebisha hili itaweza kabisa na huu mjadala utakuwa umefungwa ;
 
Haujielewi! Laiti kama ungekuwa unajielewa hili wazo ungelitoa mapema. Ila Kwa sababu matokeo yametoka na umefaulu unaona Naam SERIKALI ingefanya hivi ingekuwa vizuri saana na usingekaa mtaani ungeendelea na University na Kwa Sasa hauko tayari kujitolea kutoa skill yako uliyo ipata chuoni.

Nakwambia hujielewi. Kwa sababu ulijua kabisa baada ya kumaliza miaka mitatu ya CMT Kuna muda utahitaji kukaa mtaani.

Lakini Kwa kutojielewa kwako ukakaza fuvu na Sasa matokeo yametoka unaona siyo sahihi Kwa SERIKALI kuweka huo utaratibu.

Ndo maana nikakwambia,kama ulitaka mambo yasiwe mengi. Ungeenda advance the uka apply ukaenda zako university ACHA upumbavu.

Kikubwa unacho ongelea hapo ni kukaa mtaani. Unaogopa mtaaa. Bora uendee shule kuliko kukaa mtaani,, kama unavyo sema wewe kupoteza muda mwingi mtaani.

KAMA UNGEKUWA UNAJIELEWA, USINGE ENDA CMT INGALI UNAJUA KUNA MUDA ITABIDI UCHILL NA NI MUOGA WA MTAA. UNGEENDA ZAKO STRAIGHT MPAKA UNIVERSITY.

Kuhusu kuchangia mada, Kaa ukijua mada ikiwa mezani kuwa tayari kwa comment YOYOTE. Ya dhihaka,kejeri,kukuumiza,faraja,kusapoti. ACHA kutoka povu kwenye matobo yaliyo mwilini wako.

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
Kwa hili gazeti tu nimegundua kumbe wewe ni chizi .....nakushauri kamuone daktari haraka
 
Back
Top Bottom