safuher
JF-Expert Member
- Feb 11, 2019
- 11,161
- 15,836
Sahihi kabisa hiyo maana yake ni kuwa CO anafanya kazi kama daktari na ndio maana katika masomo yao mara nyingi wanafundishwa na MD.Angalau wewe una mwanga. Katika ufundishaji kuna ngazi zake. Na katika vyuo kuna matabaka.
i. Vyuo vyote ambavyo vinatoa diploma, kada zake ni Tutors. Na Tutor ni yule ambaye ana Bachelor Degree.
ii. Vyuo vinavyotoa degree, kada zake ni Lecturers na Lecturer lazima awe na PhD. Chini yake ni Assistant Lecturer (Masters) na juu yake ni Senior Lecturer (PhD with publications, Research and Consultancies). Associate na mwisho Full Prof.
Kwa vyovyote vile ni utovu wa nidhamu Prof kufundisha NTA level 4. Imagine mtu mshahara wake ni million 7 afundishe Clinical Medicine ambapo unapata karibu MD wanne! Aidha huyo Prof atakuwa anawaconfuse wanafunzi. Likely usisahau CO ni CBET na maprof wengi hii kitu ni ndoto kwao. Usisahau kuwa Moja wapo ya takwa la CBET ni kuwa mkufunzi lazima awe mbobezi kwa vitendo katika industry na kwa mantiki hiyo, mtu wa kufundisha CO lazima awe ashaboboa katika kutibu wagonjwa. Na CO wanaenda katika zahanati, ulishawahi kuona Prof anatibu katika zahanati huko igunga?
In fact hata CO anaweza kufundisha TU NTA level 4. Hawezi kufundisha NTA l5. Niendelee au?
Haiwezekani CO somo kama Physiology,au pathology au pediatric au gynacelogy eti aje afundishwe na mtu asiyekuwa anafanya katika hizo field.
Na hiyo ni ishara tosha kwamba Co anaenda kufanya kazi ya udaktari ndio maana anafundishwa mambo hhayo.