Kama hujui kazi ya MD na CO hadi sasa,ni veme ukajifunza,ubishi hautakusaidiaC.O anafanya kazi gani tofauti na M.D ?
Zingatia nazungumzia kazi sizungumzii kiwango cha elimu,kwa sababu m.D atakuwa na kiwango kikub2a cha elimu kuliko C.O.
Ninachotaka kujua kwamba C.O katika kituo anasimama kufanya kazi gani ?