jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 19,093
- 35,902
Nyie subirieni nje tutawaita..kwani nanyie ni madaktariNa sisi ma dds tukomenti wapi...?
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyie subirieni nje tutawaita..kwani nanyie ni madaktariNa sisi ma dds tukomenti wapi...?
Utumishi watasema utofauti wa mshahara ni kwasababu md anasoma miaka mingi kuliko nesi..ila kimsingi nesi ndio anapiga kazi asee..tuache utani.Specialist might deserve more hilo halina shida na sio mada, ila nurse na MD , sion sababu ya wao kupishana mshahara, hawa watu wanafanya kazi kubwa sana
Elimu yao huenda n nyepesi sana ila kwenye utendaji wa kazi n kama punda
Unaonyesha jinsi gani hata hiyo elimu haijakusaidia kukuomboa kifikra..nyie ndio mnaosoma mje kuajiriwa sio kuelimika..hujui kna wengi walimaliza olevo wakaenda diploma na walifalu vzr tu.Mjadala huu umeonesha jinsi vijana wanavyopenda kujikweza na kutetea upuuzi.
Kila kazi ina umuhimu wake na ngazi zake. Nitatoa mfano mdogo, katika Physics kuna Newton's laws of motion. Hii hufundishwa Olevel, Alevel, Bachelor, Masters hata PhD katika level tofauti tofauti.
Siamini kuwa kijana wa Olevel anaweza kusema ni mjuzi sawa na aliyefunzwa katika PhD level. Kama akiwa na fikira potofu kama hizo, basi hafai.
Vile vile, pamoja na kuwa Co anafunzwa Anatomy basi anaifahamu kuliko MD. La hasha, huyu anajifunza kutokana na level yake wakati MD anakwenda ndani zaidi na majukumu yake ni tofauti na CO. CO anafunzwa na MD, wakati MD anafunzwa na mtu mwenye masters. Inasikitisha hata jamaa hapo juu analinganisha Nurse na Daktari (MD), ni aibu ya mwaka kwani kila mmoja ana majukumu yake tofauti.
Heshimu profession za wenzenu na kubali aliyekuzidi amekuzidi. Mtu akimaliza six (PCB) akifaulu vizuri anajiunga na MD. Asipofaulu anarudi kusoma Clinical Medicine ili apate qualifications za kusoma MD baada ya kumaliza Diploma yake. Utawezaje kuwalinganisha watu hao kama kichwa chako hakina hitilafu. Kwaheri
Unaonesha kukurupuka tu. Acha kujibu kihisia, soma andiko ndipo ujibu. Ni wazimu mtu aliyeingia darasa kuandika sentenso hiyo nyekunduUnaonyesha jinsi gani hata hiyo elimu haijakusaidia kukuomboa kifikra..nyie ndio mnaosoma mje kuajiriwa sio kuelimika..hujui kna wengi walimaliza olevo wakaenda diploma na walifalu vzr tu.
Kuhusu md na nesi kiutendaji wanatofautiana ila kiufanyaji kazi nesi ndio wanamzigo mkubwa sana katika sekta y afya..sehemu gani hospitali nesi haingii kuanzia kumpokea mgojwa..hadi kumtoa mgonjwa nesi yupo..they deserve better wala sio kwa unafiki ndio ukweli.
N.b mds ni co aliyechangamka tu..majukumu ni yale yale..digrii isikupumbaze.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app
lecture anaemfunza MD n huyo huyo anae mfunza COMjadala huu umeonesha jinsi vijana wanavyopenda kujikweza na kutetea upuuzi.
Kila kazi ina umuhimu wake na ngazi zake. Nitatoa mfano mdogo, katika Physics kuna Newton's laws of motion. Hii hufundishwa Olevel, Alevel, Bachelor, Masters hata PhD katika level tofauti tofauti.
Siamini kuwa kijana wa Olevel anaweza kusema ni mjuzi sawa na aliyefunzwa katika PhD level. Kama akiwa na fikira potofu kama hizo, basi hafai.
Vile vile, pamoja na kuwa Co anafunzwa Anatomy basi anaifahamu kuliko MD. La hasha, huyu anajifunza kutokana na level yake wakati MD anakwenda ndani zaidi na majukumu yake ni tofauti na CO. CO anafunzwa na MD, wakati MD anafunzwa na mtu mwenye masters. Inasikitisha hata jamaa hapo juu analinganisha Nurse na Daktari (MD), ni aibu ya mwaka kwani kila mmoja ana majukumu yake tofauti.
Heshimu profession za wenzenu na kubali aliyekuzidi amekuzidi. Mtu akimaliza six (PCB) akifaulu vizuri anajiunga na MD. Asipofaulu anarudi kusoma Clinical Medicine ili apate qualifications za kusoma MD baada ya kumaliza Diploma yake. Utawezaje kuwalinganisha watu hao kama kichwa chako hakina hitilafu. Kwaheri
Kitu hujui nyamaza! Hawezi lecturer akamfundisha CO. Lecturer atamfundisha MD! CO anafundishwa na Tutorslecture anaemfunza MD n huyo huyo anae mfunza CO
Prof anae mfunza MD n huyo huyo anae mfunza CO
Hata hii mitihan iliyovuja, sehem ya watunzi n ma professor
Governing body ya MD n hiyo hiyo kwa CO's
Ukipitia conversation yote kwenye uzi huwez kuona lugha mbaya kwa mtu tofaut na ww, wajua n kwann? Wote walioshiriki hapa it's either ni MD , Specialist au CO's .. ndio maana huon hata hoja zikipingana sana , sehem wanaafikiana sehem hatuafikianKitu hujui nyamaza! Hawezi lecturer akamfundisha CO. Lecturer atamfundisha MD! CO anafundishwa na Tutors
bwana mdogo uelewa wako ni mfinyu sana,lecturer gani au professor gani apoteze muda wake kufundisha CO , CO wanafundishwa na MD Tanzania nzima.Ukipitia conversation yote kwenye uzi huwez kuona lugha mbaya kwa mtu tofaut na ww, wajua n kwann? Wote walioshiriki hapa it's either ni MD , Specialist au CO's .. ndio maana huon hata hoja zikipingana sana , sehem wanaafikiana sehem hatuafikian
Sasa ww sio mmoja wetu , ndio maana badala ya kuweka hoja mezani unaweka kichwa kilicho kitupu , mada yangu nawe imeishia hapa
Nakuambia sababu nimepita hukobwana mdogo uelewa wako ni mfinyu sana,lecturer gani au professor gani apoteze muda wake kufundisha CO , CO wanafundishwa na MD Tanzania nzima.
Kama hujui vitu uliza tukueleweshe usiongee ujinga hapa. na kwa taarifa yako kuna vyuo CO wanafundishwa na AMO , nchi ngumu sana hii.
MD ni degree inayojitosheleza na sio lazima MD asome medical specialist.....MD anaweza soma master yeyote ya science na akapractise chochote nje ya medicine....ndio mana akaitwa MD......unclassified degreeMD=general practitioner...hana tofaut na CO ..GP kaz yake kuandika referral kwenda kwa specialist.... kama MD unataka respect au kucompete na CO au kujifanya bora... kasome specialization...Over
Degree ya clinical officer haipo popote duniani....kuna sheria na miongozi ya kuanzisha degree.....waulizwe TCUYaan nyie mnaojiita madaktar ndio mliofanya figisu hadi degree ya clinical Officer ikafutwa Tanzania nyie....chuki tuu zimewajaa
CO kwa kiswahili no mganga,MD anaweza pia kua mganga(clinician).Ni nani? Na kwann ofisi yake iitwe ofisi ya Daktari?
I think alikosea, kulikua na mchakato huo, watu wa CO walitaka iwepo degree yao, wanaona n dharau kuungwa na watu wa MD kusoma upyaDegree ya clinical officer haipo popote duniani....kuna sheria na miongozi ya kuanzisha degree.....waulizwe TCU
Clinician/utabibu ni sehemu ya masomo ya MD,.....MD anaweza kua researcher,programme manager wa public health issues,scientist.....etc......CO yeye ni typical pure clinical officer......bado hujaona tofauti?Hakuna Tofaut yeyote kati ya MD na CO kwenye kufanya kazi
Wote ni watu wa kaunta , anachofanya CO kwenye zahanat au kituo cha afya n hicho hicho anafanya MD hospital au kituo cha afya, kazi zao ni general
Diagnosis ya Malaria atakayo kufanyia MD n hiyo hiyo anayokufanyia CO , na Jambo ambalo litashindikana kwa CO n nadra sana MD kua na ujanja nalo , yanapilitiza moja kwa moja kwa wenye uwezo wao
Unafahamu Mganga kwa kizungu ni Physician?? Na mwenzako kule juu alisema CO ni non- Physician ? ..CO kwa kiswahili no mganga,MD anaweza pia kua mganga(clinician).
Duniani ili uwe daktari.
1.Lazima usomee MD
2.upewe phD ya heshima kutoka chuo kikuu.
3.Usomee phD,.....baada ya kusoma degree nyingine mbili, tofauti na MD,na BVM
MD hasomi ili asishindwe na kitu.......hio ni complete packaje inayopatikana baada ya miaka 6 ya kumaliza masomo........na wala kua specialist si bora kuliko MD,.....ipo kwa ajili ya kutatua changamoto fulani,mfano ENT surgery hatibu BP,ila MD anatibu vizuri tu......hakuna ulinganisho wa kozi.Kitu kikimshinda CO ... most likely MD nae hafanyi kitu, hawa watu wamesoma general tu , hawana u specialist wowote
Labda ukute kaongeza vikoz vidogo vidogo vile
CO hasomi psychiatry, eg.kazi zinawezaje kua zile zile.......hujawahi ona matangazo ya kazi kuona majukumu ya MD na CO.........MD anaweza soma hata master ya journalism ......kitu ambacho hata kwa mtu mwenye degree ya maabara hawezi......ndio itakua CO?Shida ni digrii miaka mi5 ndio kinawatesa watu..na kujiona superior..wakati kazi ni zile zile..utadhani co kazi yake ni kuua watu.
#MaendeleoHayanaChama
Tutafute mtu wa tatu asaidieClinician/utabibu ni sehemu ya masomo ya MD,.....MD anaweza kua researcher,programme manager wa public health issues,scientist.....etc......CO yeye ni typical pure clinical officer......bado hujaona tofauti?
Hamna Diploma ya udaktari......udaktari hauna shortcut......ni lazima uwe MD au phD.........kuna Diploma ya utabibu.......utabibu ni moja ya kozi daktari ambazo anazisoma chuoniC.O ni daktari wa ngazi ya diploma,acha kukariri majina mzee.
C.O na M.D tofauti yao ni maarifa lakini wanatambulika katika dhima ile ile ya kutibu.
Huwezi fananisha ualimu,pharmacy na MD.....hizo ni fani tofauti zenye malengo tofauti.........mtu mwenye bachelor ya MD anaitwa doctor tayari,wakati education hadi uwe na PhD ndio uwe doctorMkuu watu wanaosema hivyo ni wajinga waliotunukiwa elimu.
Kama ambavyo kuna diploma ya pharmacy na ualimu basi ndivyo hivyo kwenye udaktari kuna diploma yake ambayo ndio hiyo clinical medicine