Matokeo ya CO mwaka wa pili yashikiliwa NACTE Tanzania nzima

C.O anafanya kazi gani tofauti na M.D ?

Zingatia nazungumzia kazi sizungumzii kiwango cha elimu,kwa sababu m.D atakuwa na kiwango kikub2a cha elimu kuliko C.O.

Ninachotaka kujua kwamba C.O katika kituo anasimama kufanya kazi gani ?
Kama hujui kazi ya MD na CO hadi sasa,ni veme ukajifunza,ubishi hautakusaidia
 
Tena C.O akiwa mjanja mjanja wa kujisomea na kukuza ufahamu na akawa ni mtu anayeelewa sana concept katika masomo anayosoma na akawa anajifunza vitu vipya basi anaweza kuwa vizuri sana akadiagnose magonjwa ambayo hata mtu wa MD atashindwa.

BTW nakubali kwamba MD unasoma mambo mengi kuliko CM hiyo ipo wazi.
Kuwa na uwezo wa kufanya hata operation ya kuunga nerves,hakumfanyi CO awe MD........wapo MD kibao hawajui hata kukamua jipu............
 
WEWE UNAONEKANA NI MFAMASIA AMBAYE HAPENDI KUONA MA CO KUITWA MADAKTARI ..TOFAUTI KUBWA YA MD/NA CO NI KATIKA KUINGIA DEEP KWENYE KUSOME , ,MD WANASOMA DEEP ZAIDI KULIKO CO ILA VITU NI VILE VILE NDIO MAANA WOTE NI MADAKTARI TOFAUTI NI LEVEL ZA ELIMU
Tofauti ya kwanza..........MD ni daktari,CO ni tabibu
 
CO hasomi psychiatry, eg.kazi zinawezaje kua zile zile.......hujawahi ona matangazo ya kazi kuona majukumu ya MD na CO.........MD anaweza soma hata master ya journalism ......kitu ambacho hata kwa mtu mwenye degree ya maabara hawezi......ndio itakua CO?
Mkuu itakua umesoma zaman sana

Psychiatric CO wanasoma , again big difference kati ya CO na MD ipo kwenye "wanasoma kwa kiwango gani" hii hata nursing wanasoma , tunajua MD anasoma kiundani zaid, hata nurses wanasoma deep sana hii
 
Nakushauri nenda kasome utaona utofauti.
Hata mimi nilipokuwa CO niliona hakuna utofauti,ila baada ya kwenda shule dah.! Tofauti kubwa sana.
Now,napambania MMed iishe.
Utofaut wa Kielimu mbona tushakubaliana huko juu zamani tu

Ila wote n watu wa kaunta
 
Ina maana hatuwezi kujua tofauti ya C.O na MD mpaka kuwe na tofauti kati ya mchungaji na katekista ?

Kama tofauti ya MD na C.o ipo katika dhima ya kutibu kwa nini ije mifanyo mingine sasa .

Kama kuna tofauti ya engineer na technician hiyo haifanyi kuwe na tofauti kati ya C.o na MD katika dhima ya kutibu(sio wingi wa maarifa)

Katika ishu ya kutibu hawa wote wanastahiki kuitwa madaktari.

Lakini katika utofauti wa maarifa MD anakuwa amesoma mambo mengi kuliko CO
MD haitwi,daktari sababu anatibu.......ni sababu amesomea hio fani.........doctor ni awarded unclassified degree.......
 
MD anafanya procesure nyingi kubwa kuliko C.O (ila sio kuliko specialist) mfano MD anafanya caesarean section CO hafanyi.
Kwani kua specialist ni kufanya procedure nyingi?...........what about psychiatrist,pediatrician,community medicine..............the same as MD kua daktari na CO kua tabibu sio suala la kutibu .......MD ni fani kongwe na ina mizizi yake,..........
 
Mkuu sote humu tunakubali humu kwamba MD lazima kuna mambo ya ziada anayajua kuliko C0.

Lakini katika dhima lao ni moja,wote watafanya kumsikiliza mgonjwa,watafanya diagnosis na watakuandikia dawa utaenda pharmacy kuchukua.

MD na CO katika hospitali hizo ni katika kazi zao huwezi kuwatofautisha katika yale wanayoyafanya pamoja.

Udaktari una diploma na degree,kama zilivyo kozi zingine za ualimu n.k

Huwezi kuniambia mwalimu wa diploma anayefundisha tusimuite mwalimu eti kwa kuwa bado ana diploma wakati anafanya kazi ile ile ya kuwafundisha wanafunzi.

Hhivyo mwalimu wa diploma na wa degree wanaofundisha shuleni wote wapo katika dhima moja ya kufundisha wanafunzi.

Watatofautiana maarifa tu lakini wadhifa wao ni mmoja katika jamii.
Udaktari hauna Diploma.......wewe kutokuja haina maana kua ni sahihi.
Ili mtu awe doctor(daktari),duniani ni lazima awe na MD au PhD fullstop.....sasa utakuja useme siku nyingine PhD ina Diploma,
 
Siwezi soma ujinga kama huo mimi mkuu. Niambie daktari gani mwenye hela hapa Tanzania.
Mimi labda nisome uchumi, siasa, uhasibu au sheria au teknolojia za computer huko. Wasomi waliosomea hizi ndio watu wenye hela Tanzania.
Hivi nikiwa daktari nitaiba mashuka ya wagonjwa au vibox vya panadol. Mwenzako anakua meneja wa shirika la ndege, shirika lina hold billions of moneys mwenzangu namimi unahold thousands of patients.
Wanaosomea hizo issue za UCO na Udaktari ni wale wenye njaa ili wapate kazi haraka wapunguze ukali wa maisha wenye akili zao wanapiga political science huko ndio wanaongoza nchi.
Daktari hasomi ili ajilinganishe na fani ingine anasoma kwa matakwa yake binafsi......MD anaweza asiwe na hela lakini anaweza kua na pesa pia kama mtu anayeponda MD wakati alishindwa kusoma hio akaishia fani nyingine kujifariji,na akatoboa ama akaferi pia.
Ni ngumu sana kumkuta MD serikalini analipwa chini ya M,ila ni rahisi sana kukuta watu wa fani ingine serikalini wenye degree wana mshahara chini ya milioni ........yah MD ni masikini
 
Wenzako wanapoteza billions of money bandarini huko, mwingine Anapoteza vibox vya panadol hahahaaa. Wenzako wanachomoa noti kwenye shirika wanajenga maghorofa Masaki mwenzangu unachomoa vibox vya dawa unafungua kifamasi mtaani. Wenzako vikoti vyeupe tumevaa sana Maabara za physics tukiwa sekondari huko.
Ni MD wengi sana wameajiria mara elfu yawafanyakazi wa Bandarini........hata Bandarini,jeshini,B.O.T ,internation agencies MD wapo ......hio haifuti hoja kua CO sio daktari
 
Ukweli mchungu...daktari ni pesa ya kula na kuvaa.
Doctor of medicine is among the high paying job in America and Tanzania.
Muajiri mkubwa Tanzania ni TAMISEMI..........ni rahisi sana kumkuta MD anakula milioni TAMISEMI kuliko mtu wa degree nyingine walioajiriwa sawa .........
 
MD hafanyi upasuaj, anaefanya ni hawa wa MBBS
MD,MBSS ni kitu kimoja kulingana na nchi na chuo............all are medical doctor........kuna haja ya kusoma sana kabla ya kuonesha ukilaza hapa jukwaani
 
MD,MBSS ni kitu kimoja kulingana na nchi na chuo............all are medical doctor........kuna haja ya kusoma sana kabla ya kuonesha ukilaza hapa jukwaani
Hiyo taaluma ya MBBS isingekuwepo hapa nchini kama ingekua n kitu kimoja
 
Na mshahara ni mmoja etii???
Wengi wanaochangia kusupport huu ujinga either ni wajinga ama watoto sana.........serikalini hata mshahara wa CO uzidishe mara mbili bado,atakua anadaiwa zaidi ya laki 3 na MD.......na hii ni kwasababu CO sio daktari
 
Back
Top Bottom