Matatizo ya nchi hii chanzo ni ndugu Nyerere

Ninyi watu
Wewe upo hai leo, yeye alishakufa toka 1999, hayupo tena, wewe umechukua hatua gani kupambana na kurekebisha hayo mapungufu?

Wanaume wenzenu wanapigwa mabomu, akina Lissu wanafungwa kwa makesi ya kijinga wakipambana kurekebisha hayo mapungufu, nyie vijana wadogo mpo mitandaoni kuangalia matako ya wanawake halafu upo hapa unamtukana mtu aliyefanya mambo yake kwa njia zake na kwa wakati wake.

Hivi unafahamu kazi ya kuanza jambo? Nyie ndio wale vijana hata kuandika barua ya kuomba kazi hamuwezi mpaka uwe na sehemu ya kunakili.

​
Wazima mlifanya nini? Sio kwamba ndiyo mlifanywa mazezeta na wapumbavu na Nyerere? Kizazi cha kishenzi sana ndiyo chenu
 
Tuseme tu ukweli matatizo ya nchi hii wa kulaumiwa ni nyerere yeye ndiyo chanzo cha sisi kufika hapa kutokana na ubishi wake na udikiteta wake wa kutokubali kuambiwa ukweli na ukionekana unataka kumuambia ukweli anakuweka detention( korokoroni? Ndiyo maana alitofautiana na Ndugu Kambona kutokana kutoambilika kwake

Ukabila,ufisadi,uoga,udini, udikiteta,katiba mbovu yeye ndiyo chanzo lazima tuuseme ukweli aisee lakini yeye angekubali kukosolewa na hakika tusingefika aisee.Mtu amekaa madarakani miaka 24 ila nchi ilikuwa inasuasua tu na Sera zake ujamaa baada ya kuona mambo magumu akaamua ung'atuke ili amuachie msala mwenzio ila na yeye mwenzake alijitahidi ila na yeye alifeli bila shaka nchi nae ilimshinda japo alijitahidi

Nashangazwa na watu ambao wanampraise nyerere najiuliza amefanya kipi cha maana? Au huu kisa alipewa uhuru ambao hakuupigania? Ona mwenzie jomo kenyata alivyoipambania kenya mpaka leo kenya atleast unanitumia angalau ila sisi ndiyo tupo pale pale Nyerere ndiyo chanzo cha matatizo kwenye nchi hii.

Moderator acheni huu # we dare to talk openly as long as sijamtukana mtu wala kumbalaguza mtu#
[/QUOT
akili hauna
 
Nchi zote Africa ni nyerere aliziongoza? Kuna wakati sio kwakuw unaweza andika basi uandike tu bila shahidi za kutosha.
 
Sawa,hao waliomfuatia kwa nini wasingerekebisha pale alipokosea?
 
Lazima alaumiwe
Saikolojia inashauri usiishi kwa yaliyopita (don't dwell on the past). Waliofuatia Nyerere walipaswa warekebishe. JK Kikwete hakuwa anamkubali Nyerere, haya alishindwa nini kurekebisha makosa ya Nyerere? Yeye alifanya yapi mazuri kumzidi Nyerere? Lakini pia wewe una nafasi ya kusahihisha makosa, fanya hivyo badala ya kulalama.
 
Nchi zote Africa ni nyerere aliziongoza? Kuna wakati sio kwakuw unaweza andika basi uandike tu bila shahidi za kutosha.
Ungo mtupu kwahiyo sierra leone l,Liberia,Mauritania, Madagascar na nchi nyingine nyingi ni nyerere ndiyo aliziongoza?
 
Ninyi watu
Wazima mlifanya nini? Sio kwamba ndiyo mlifanywa mazezeta na wapumbavu na Nyerere? Kizazi cha kishenzi sana ndiyo chenu
Na ukweli ni kwamba nyinyi vijana wa sasa ndo mna kizazi cha hovyo na kisichojitambua kuliko kizazi cha enzi za Nyerere. Au hawa UVCCM na wasiojulikana si ni vijana wadogo kabisa? Mbona wanaoonekana Hamnazo kabisa?
 
Ungo mtupu kwahiyo sierra leone l,Liberia,Mauritania, Madagascar na nchi nyingine nyingi ni nyerere ndiyo aliziongoza?
Huna akili ndo maana hujamwelewa aliyeweka hiyo comment. Wewe umemlaumu Nyerere, huyo jamaa akakujibu kwa namna fulani akikuonyesha kwamba Afrika karibu yote ina matatizo mengi;ya kimfumo, kuiuongozi,n.k. Je, ni Nyerere ndo alipeleka hayo matatizo na huko kwingine kama unaamini yeye ndo chanzo cha matatizo yetu? Sasa hapo umejianika kuwa hata kusoma between the lines hujui.
 
Hahahaha
 
Kizazi chenu cha kipuuzi s
Na ukweli ni kwamba nyinyi vijana wa sasa ndo mna kizazi cha hovyo na kisichojitambua kuliko kizazi cha enzi za Nyerere. Au hawa UVCCM na wasiojulikana si ni vijana wadogo kabisa? Mbona wanaoonekana Hamnazo kabisa?
ana nyie si ndiyo Nyerere aliwazuia kumiliki TV? Wanaume wazima mnajipanga mstari kwa ajili ya kununua sukari na kipande cha sabuni worst generation ever
 
Kizazi chenu cha kipuuzi s
ana nyie si ndiyo Nyerere aliwazuia kumiliki TV? Wanaume wazima mnajipanga mstari kwa ajili ya kununua sukari na kipande cha sabuni worst generation ever
Mbona hayo yana nafuu dogo. Bandari na hifadhi za nchi hii zimeuzwa kwa wageni (kwenye zama zako) upo tu umekaa kwa shemeji wako unakodoa macho, umefanya nini?
 
Tuseme tu ukweli matatizo ya nchi hii wa kulaumiwa ni nyerere yeye ndiyo chanzo cha sisi kufika hapa kutokana na ubishi wake na udikiteta wake wa kutokubali kuambiwa ukweli na ukionekana unataka kumuambia ukweli anakuweka detention( korokoroni? Ndiyo maana alitofautiana na Ndugu Kambona kutokana kutoambilika kwake

Ukabila,ufisadi,uoga,udini, udikiteta,katiba mbovu yeye ndiyo chanzo lazima tuuseme ukweli aisee lakini yeye angekubali kukosolewa na hakika tusingefika aisee.Mtu amekaa madarakani miaka 24 ila nchi ilikuwa inasuasua tu na Sera zake ujamaa baada ya kuona mambo magumu akaamua ung'atuke ili amuachie msala mwenzio ila na yeye mwenzake alijitahidi ila na yeye alifeli bila shaka nchi nae ilimshinda japo alijitahidi

Nashangazwa na watu ambao wanampraise nyerere najiuliza amefanya kipi cha maana? Au huu kisa alipewa uhuru ambao hakuupigania? Ona mwenzie jomo kenyata alivyoipambania kenya mpaka leo kenya atleast unanitumia angalau ila sisi ndiyo tupo pale pale Nyerere ndiyo chanzo cha matatizo kwenye nchi hii.

Moderator acheni huu # we dare to talk openly as long as sijamtukana mtu wala kumbalaguza mtu#

Hii nchi bila Nyerere ni kama uislam bila Mtume au Ukristo bila Yesu.

Nyerere ndiye nabîii wa kweli wa Watangayika na tutamkumbuka daima
 
Ukweli mchungu huu na katika watu ambao.wanaongea lugha kama yako ni TAL. Hayati Ally Kleist Sykes. Hayati Dr Bishota ameacha memoirs za katiba mpya huyu mzee alikuwa lecture udsm baade akawa Legal director African developement bank.

Dr Bishota ni mmoja ya wahaya wenye akili.nyingi sana na exposure ya kutosha duniani.
 
Hauni
Mbona hayo yana nafuu dogo. Bandari na hifadhi za nchi hii zimeuzwa kwa wageni (kwenye zama zako) upo tu umekaa kwa shemeji wako unakodoa macho, umefanya nini?
Tunakosoa na kupiga vita humu mtandaoni? Nyie hata kukosoa mlishindwa mkamuacha bwana wake au mume wenu Kambona ndiyo awasemee?
 
Naungana na wewe mkuu,kama kweli angekuwa na mapenzi mema na Tanzania baada ya kuanzishwa mfumo wa vyama vingi angehakikisha katiba mpya inapatikana
Aliogopa kutiwa ndani yule..kama huyu mzee wa msoga anavyotuharibia Taifa.
 
Hawa v
Tuweke historia kidogo hapa. Sijasoma sehemu, tulikuwepo.
1. Kama kweli Nyerere alikua hashauriki, why aliachia madaraka yeye mwenyewe kwa hiyari yake? Hakulazimishwa. October 1985 aliondoka Ikulu na kumpisha Mwinyi. Leo ni miaka 40 imepita. Tumeshindwa kubadirisha alioyaweka? Stupid
2. Mfumo wa vyama vingi, umeanza rasmi mwaka 1992 baada ya mzee Mwinyi kuunda tume ya jaji Nyalali, tume ilikuja na majibu kwamba, only 20% ya Watanzania ndio walitaka mfumo wa vyama vingi, 80% walitaka kuendelea na mfumo uliokuwepo. Kwanza hadi hapo, kosa la Nyerere liko wapi? It was him alikishauri chama chake kuachana na hao 80% waliotaka ccm kushika HATAMU. Bado tunamlaumu Nyerere? Walau akiwa hai, Police, Jeshi, Mahakama na hata bunge vilikua strong hasa baada ya mfumo wa vyama vingi and it was him alitapendekeza hata mgombea huru asie na chama akubaliwe kugombea, wahafidhina walimgomea hilo, mahakama pia ilimuunga mkono askofu Mtikila na Nyerere but Lumumba sports wamegoma hadi leo. Bado tunamlaumu Nyerere? Nonsense
Nyerere aliiacha nchi ikifuata mfumo wa ujamaa na kujitegemea, Azimio la Arusha pia...., tunavyo hivo vitu? Aliacha pia muungano wenye nchi 1 na serikali 2 but serikali moja ikiwa haina meno; leo hali ikoje? Kama tuliweza kubadiri mambo yake hayo mengi tu, tunashindwa nini kubadiri mengi aliofeli? Sawa sawa na wewe umezaliwa familia masikini, baba yako ni fukara lakini hadi watoto wako wanamlaumu babu yao kwa umasikini wao, huoni kama kunakua na upungufu wa akili kichwani? Miaka 40 bila Nyerere madarakani, miaka 33 bila Nyerere chamani na miaka 26 bila Nyerere duniani but still we blame him. Mleta uzi huna tofauti na viongozi wengi wa Africa wanaolalamikia umasikini wa nchi zao kwasababu ya kutawaliwa na wakoloni, wanasahau kama hata nchi zote za Asia except Japan nazo zilitawaliwa including China, now China ni nchi bora kiuchumi ikishika nafasi ya 2 duniani baada ya USA.
Hawa vijana sijui wamepatwa na nini siku hizi. Vimekalia kukurupuka tu hoja za kijinga kabisa.
Mzee wa watu aliwaachia viwanda vya kutosha meishia kuviua na kuuza kwa bei ya hasara. Alizuia uchimbaji wa madini kama dhahabu kwa sababu allitaka watanzania waelimike kwanza na wachimbe wenyewe. Leo mmegawa hovyo kwa mikataba ya kinyonyaji bado umlaumu Nyerere?
Kwamba wachina walipo leo ni sawa na enzi za Mao? Leo bila aibu mnahongana mapikipiki kisa uchaguzi halafu unamlaumu Nyerere.!!
 
Back
Top Bottom