Kusini pride
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 1,762
- 4,078
- Thread starter
- #21
Ndiyo ukweli wenyeweMzee nyerere alipenda sana chama kuliko taifa

Nyerere siyo baba wa Taifa mm nakataa hana hizo sifa
Kuendeleza tatizo ndio tatizo kubwa zaidiTatizo ni chanzo cha tatizo au tatizo ni kuendelea kuacha tatizo liendelee kuwa tatizo?
Mabadiliko yapi wakati mfumo unagomaTangu amekufa ni miaka mingapi?Nini kinakuzuia kufanya mabadiliko?
Kwa hiyo Nyerere ndiye anaufanya ukugomee?Mabadiliko yapi wakati mfumo unagoma
Historia iliyoandikwa kwa uongo mwingi ili kumfurahisha na kumtukuza mtu?Una umri Gani ?
Na historia nchi yako unaifahamu vizuri ?
Ukirudi shule kajifunze historia ya baba wa Taifa lako vizuri
Tuweke historia kidogo hapa. Sijasoma sehemu, tulikuwepo.Naungana na wewe mkuu,kama kweli angekuwa na mapenzi mema na Tanzania baada ya kuanzishwa mfumo wa vyama vingi angehakikisha katiba mpya inapatikana
Hiyo ya kwako ya kweli ni ipiHistoria iliyoandikwa kwa uongo mwingi ili kumfurahisha na kumtukuza mtu?
Hayo unayoita matatizo aliyoleta Nyerere ndiyo ynatufanya kuwa nchi yenye amani na utulivu kuliko nchi zote kwenye bara la AfrikaTuseme tu ukweli matatizo ya nchi hii wa kulaumiwa ni nyerere yeye ndiyo chanzo cha sisi kufika hapa kutokana na ubishi wake na udikiteta wake wa kutokubali kuambiwa ukweli na ukionekana unataka kumuambia ukweli anakuweka detention( korokoroni? Ndiyo maana alitofautiana na Ndugu Kambona kutokana kutoambilika kwake
Ukabila,ufisadi,uoga,udini, udikiteta,katiba mbovu yeye ndiyo chanzo lazima tuuseme ukweli aisee lakini yeye angekubali kukosolewa na hakika tusingefika aisee.Mtu amekaa madarakani miaka 24 ila nchi ilikuwa inasuasua tu na Sera zake ujamaa baada ya kuona mambo magumu akaamua ung'atuke ili amuachie msala mwenzio ila na yeye mwenzake alijitahidi ila na yeye alifeli bila shaka nchi nae ilimshinda japo alijitahidi
Nashangazwa na watu ambao wanampraise nyerere najiuliza amefanya kipi cha maana? Au huu kisa alipewa uhuru ambao hakuupigania? Ona mwenzie jomo kenyata alivyoipambania kenya mpaka leo kenya atleast unanitumia angalau ila sisi ndiyo tupo pale pale Nyerere ndiyo chanzo cha matatizo kwenye nchi hii.
Moderator acheni huu # we dare to talk openly as long as sijamtukana mtu wala kumbalaguza mtu#
Huu ukweli watu huwa hawatak kuusikia ila yule mzee kaharibu sana hii nchi laiti angeweka foundation nzuri tusingekuwa hapa leoTuseme tu ukweli matatizo ya nchi hii wa kulaumiwa ni nyerere yeye ndiyo chanzo cha sisi kufika hapa kutokana na ubishi wake na udikiteta wake wa kutokubali kuambiwa ukweli na ukionekana unataka kumuambia ukweli anakuweka detention( korokoroni? Ndiyo maana alitofautiana na Ndugu Kambona kutokana kutoambilika kwake
Ukabila,ufisadi,uoga,udini, udikiteta,katiba mbovu yeye ndiyo chanzo lazima tuuseme ukweli aisee lakini yeye angekubali kukosolewa na hakika tusingefika aisee.Mtu amekaa madarakani miaka 24 ila nchi ilikuwa inasuasua tu na Sera zake ujamaa baada ya kuona mambo magumu akaamua ung'atuke ili amuachie msala mwenzio ila na yeye mwenzake alijitahidi ila na yeye alifeli bila shaka nchi nae ilimshinda japo alijitahidi
Nashangazwa na watu ambao wanampraise nyerere najiuliza amefanya kipi cha maana? Au huu kisa alipewa uhuru ambao hakuupigania? Ona mwenzie jomo kenyata alivyoipambania kenya mpaka leo kenya atleast unanitumia angalau ila sisi ndiyo tupo pale pale Nyerere ndiyo chanzo cha matatizo kwenye nchi hii.
Moderator acheni huu # we dare to talk openly as long as sijamtukana mtu wala kumbalaguza mtu#
Haya maelezo yako ungebold kabisa. Kutuachia hii katiba ni kosa kubwa saana ambalo alilifanya.Naungana na wewe mkuu,kama kweli angekuwa na mapenzi mema na Tanzania baada ya kuanzishwa mfumo wa vyama vingi angehakikisha katiba mpya inapatikana
Hasa katiba.Huu ukweli watu huwa hawatak kuusikia ila yule mzee kaharibu sana hii nchi laiti angeweka foundation nzuri tusingekuwa hapa leo
Umelaaniwa na hujitambuiTuseme tu ukweli matatizo ya nchi hii wa kulaumiwa ni nyerere yeye ndiyo chanzo cha sisi kufika hapa kutokana na ubishi wake na udikiteta wake wa kutokubali kuambiwa ukweli na ukionekana unataka kumuambia ukweli anakuweka detention( korokoroni? Ndiyo maana alitofautiana na Ndugu Kambona kutokana kutoambilika kwake
Ukabila,ufisadi,uoga,udini, udikiteta,katiba mbovu yeye ndiyo chanzo lazima tuuseme ukweli aisee lakini yeye angekubali kukosolewa na hakika tusingefika aisee.Mtu amekaa madarakani miaka 24 ila nchi ilikuwa inasuasua tu na Sera zake ujamaa baada ya kuona mambo magumu akaamua ung'atuke ili amuachie msala mwenzio ila na yeye mwenzake alijitahidi ila na yeye alifeli bila shaka nchi nae ilimshinda japo alijitahidi
Nashangazwa na watu ambao wanampraise nyerere najiuliza amefanya kipi cha maana? Au huu kisa alipewa uhuru ambao hakuupigania? Ona mwenzie jomo kenyata alivyoipambania kenya mpaka leo kenya atleast unanitumia angalau ila sisi ndiyo tupo pale pale Nyerere ndiyo chanzo cha matatizo kwenye nchi hii.
Moderator acheni huu # we dare to talk openly as long as sijamtukana mtu wala kumbalaguza mtu#
Nyerere siyo baba wa Taifa mm nakataa han