Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 21,352
- 15,423
Suala lolote linalomhusu Mwl. Nyerere siongei na wajinga na wapumbavu wasiomjua. Kama unamjua sana, poa. Kaongee na wenzako wanaomjua kama wewe.We unaemjua amefanya nini cha maana?
Suala lolote linalomhusu Mwl. Nyerere siongei na wajinga na wapumbavu wasiomjua. Kama unamjua sana, poa. Kaongee na wenzako wanaomjua kama wewe.We unaemjua amefanya nini cha maana?
Amekuwa wapi? Labda kichwani kwako ndo unahesabu hivo 🤣🤣Kunywa sumu ufe
Ndiyo ashakuwa sasa
Watu alio waplant aliwaacha na mentality kama zake na ndio hao hao ambao Leo hii Wana maamuzi makubwa ktk taifa ,
Baba yangu ni baba yangu na Nyerere ni baba wa watoto wake siyo wa Taifa
1985 wakati anataka kungatuka au hata 1992 wakati wa vyama vingi angehakikisha anatupatia KATIBA bora.
Sasa haya mambo yote ni matokeo ya kutuachia chaka aka CCM ambalo linameza watu kila uchao kisa tu kuwakosoa.
Mkuu usimlazimishe mtu kutambua jambo ambalo lipo wazi ila yeye ataki maana yake akubaliani nalo.Unaelewa maana ya baba wa Taifa?. Kwanini anaitwa baba wa Taifa?. Muasisi wa nchi lazima aitwe Baba wa Taifa unaenda au hupendi.
Yeye alishindwa nini jufa
nya mabadiliko?
Kweli kabisa mie nilishasema tangu zanani. Nyerere ndiye aliyetunga katiba ya uraisi wa kifalme ubaotutesa hadi kesho
CCm must out muda ni sasa Tanzania ni yetu sote.Kuhusu Katiba mpya mlaumu Kikwete.
Mkuu Kenya wananini cha maana?Tuseme tu ukweli matatizo ya nchi hii wa kulaumiwa ni nyerere yeye ndiyo chanzo cha sisi kufika hapa kutokana na ubishi wake na udikiteta wake wa kutokubali kuambiwa ukweli na ukionekana unataka kumuambia ukweli anakuweka detention( korokoroni? Ndiyo maana alitofautiana na Ndugu Kambona kutokana kutoambilika kwake
Ukabila,ufisadi,uoga,udini, udikiteta,katiba mbovu yeye ndiyo chanzo lazima tuuseme ukweli aisee lakini yeye angekubali kukosolewa na hakika tusingefika aisee.Mtu amekaa madarakani miaka 24 ila nchi ilikuwa inasuasua tu na Sera zake ujamaa baada ya kuona mambo magumu akaamua ung'atuke ili amuachie msala mwenzio ila na yeye mwenzake alijitahidi ila na yeye alifeli bila shaka nchi nae ilimshinda japo alijitahidi
Nashangazwa na watu ambao wanampraise nyerere najiuliza amefanya kipi cha maana? Au huu kisa alipewa uhuru ambao hakuupigania? Ona mwenzie jomo kenyata alivyoipambania kenya mpaka leo kenya atleast unanitumia angalau ila sisi ndiyo tupo pale pale Nyerere ndiyo chanzo cha matatizo kwenye nchi hii.
Moderator acheni huu # we dare to talk openly as long as sijamtukana mtu wala kumbalaguza mtu#
Kwani mmekatazwa kubadilika? Mbona Wachina walibadilika baada ya Mao Tsetung kuondoka (kwa kifo). Nyie mmekatazwa hadi muendelee kumlaumu aliye mavumbini miaka mingi?Tuseme tu ukweli matatizo ya nchi hii wa kulaumiwa ni nyerere yeye ndiyo chanzo cha sisi kufika hapa kutokana na ubishi wake na udikiteta wake wa kutokubali kuambiwa ukweli na ukionekana unataka kumuambia ukweli anakuweka detention( korokoroni? Ndiyo maana alitofautiana na Ndugu Kambona kutokana kutoambilika kwake
Ukabila,ufisadi,uoga,udini, udikiteta,katiba mbovu yeye ndiyo chanzo lazima tuuseme ukweli aisee lakini yeye angekubali kukosolewa na hakika tusingefika aisee.Mtu amekaa madarakani miaka 24 ila nchi ilikuwa inasuasua tu na Sera zake ujamaa baada ya kuona mambo magumu akaamua ung'atuke ili amuachie msala mwenzio ila na yeye mwenzake alijitahidi ila na yeye alifeli bila shaka nchi nae ilimshinda japo alijitahidi
Nashangazwa na watu ambao wanampraise nyerere najiuliza amefanya kipi cha maana? Au huu kisa alipewa uhuru ambao hakuupigania? Ona mwenzie jomo kenyata alivyoipambania kenya mpaka leo kenya atleast unanitumia angalau ila sisi ndiyo tupo pale pale Nyerere ndiyo chanzo cha matatizo kwenye nchi hii.
Moderator acheni huu # we dare to talk openly as long as sijamtukana mtu wala kumbalaguza mtu#
Hahahaha, uzuri ni kwamba wa Tanzania karibia wote tuna tabia zinazo karibiana hata hao upinzani wanao Dhani watu wataongoza vzr ni hamna kitu.Bado hamjasema na mtasema yaani mpaka museme
Wanavyo vingi Kwani tz mnacho kipi Cha maana kuwazidi Kenya ukiachilia mbali rasilimali mlizojaliwa lakini Bado mmekumbwa na umasikini wa kunukaMkuu Kenya wananini cha maana?
Hahahaha, uzuri ni kwamba wa Tanzania karibia wote tuna tabia zinazo karibiana hata hao upinzani wanao Dhani watu wataongoza vzr ni hamna kitu.
Kwani mmekatazwa kubadilika? Mbona Wachina walibadilika baada ya Mao Tsetung kuondoka (kwa kifo). Nyie mmekatazwa hadi muendelee kumlaumu aliye mavumbini miaka mingi?
Umemaliza Mkuu. Kuna mijitu akili zao ni battery very low.Watu waoga, magoigoi na wasiojali lolote juu ya nchi yao wamekalia kumlaumu mtu ambaye hata mfupa wake leo hii ni wakutafuta hapa duniani.
Mtu atakuja amchukue mwanamke wako ndani na afanye nae ngono mbele yako umlaumu mzee Nyerere. Pambaneni, acheni ujinga.