Gift mzalendo
JF-Expert Member
- Dec 13, 2019
- 4,615
- 6,346
Nilifikiri unajitambuaHistoria
ya kupikwa? Takataka tu
Nilifikiri unajitambuaHistoria
ya kupikwa? Takataka tu
Wa pinzani walio weka na CCM yenyewe unakaa unapoteza mda kuwaamini?Punguza unafiki wa kuongelea kitu usichokijua. Nchi imeongozwa na TANU na CCM mpaka Leo, ila unapenda kuitaja upinzani kwenye ujinga wenu. Upinzani haijawahi kuongoza hii nchi hivyo kuitaja ni unafiki mkubwa. Wewe itaje CCM inayokuongoza kila siku.
Hahaha Kenya wanacho tushinda ni Kiingereza tu.Wanavyo vingi Kwani tz mnacho kipi Cha maana kuwazidi Kenya ukiachilia mbali rasilimali mlizojaliwa lakini Bado mmekumbwa na umasikini wa kunuka
Kweli kabisa.Adui wa Taifa hili sio umasikini,ujinga wala maradhi adui namba moja ni Nyerere ndiye aliyetufikisha hapa
Wapenda mabadiliko wako gerezani na makaburini hilo hujui,tuliyobaki tunawindwa kama digidigiTufanye alishindwa/hakufanya ukitakacho.Wewe nani kakuzuia kufanya mabadiliko unayoyataka?
Vaeni ngozi ya simba muogopwe.Wapenda mabadiliko wako gerezani na makaburini hilo hujui,tuliyobaki tunawindwa kama digidigi
Yo cant be serious bro😂Nimekaa sehemu fulani wanapita pita watoto wazuriiiii ila hawana matterco
Sio haya mengine kama Ukabila,ufisadi,uoga,udini, udikiteta, ambato mleta mada kayataja. uoga yawezekana katuletea hasa kuogopa yaliyowakuta akina KambonaHasa katiba.
Hii na namna nyingine ya kumtetea Chura Kiziwi? Mchonga alikuwa ni dictator huo ni ukweli, alitupoteza muelekea wa kisiasa na pia wa kiuchumi. Alikengeuka kwenye mambo mengi mpaka yale ya kutaifisha shule za taasisi za kidini kitendo ambacho kilichangia kudidimia kwa ubora wa elimu hadi nchi imejaa watu wasiojitambua, sasa swali la msingi sisi tuliopo tunafanya nini kurudi kwenye njia sahihi kuanzia mfumo wa muungano, CCM(hili nalo ni tatizo kubwa) pomoja na mengine yote yasiyo sahihi? Je kinafanyika nini kuyarekebisha yasiyo sawa? Au ndiyo tuendelee tu kulalamika na kumlalamikia Nyerere ambaye tangu amefariki miaka mingi imeshapita?Tuseme tu ukweli matatizo ya nchi hii wa kulaumiwa ni nyerere yeye ndiyo chanzo cha sisi kufika hapa kutokana na ubishi wake na udikiteta wake wa kutokubali kuambiwa ukweli na ukionekana unataka kumuambia ukweli anakuweka detention( korokoroni? Ndiyo maana alitofautiana na Ndugu Kambona kutokana kutoambilika kwake
Ukabila,ufisadi,uoga,udini, udikiteta,katiba mbovu yeye ndiyo chanzo lazima tuuseme ukweli aisee lakini yeye angekubali kukosolewa na hakika tusingefika aisee.Mtu amekaa madarakani miaka 24 ila nchi ilikuwa inasuasua tu na Sera zake ujamaa baada ya kuona mambo magumu akaamua ung'atuke ili amuachie msala mwenzio ila na yeye mwenzake alijitahidi ila na yeye alifeli bila shaka nchi nae ilimshinda japo alijitahidi
Nashangazwa na watu ambao wanampraise nyerere najiuliza amefanya kipi cha maana? Au huu kisa alipewa uhuru ambao hakuupigania? Ona mwenzie jomo kenyata alivyoipambania kenya mpaka leo kenya atleast unanitumia angalau ila sisi ndiyo tupo pale pale Nyerere ndiyo chanzo cha matatizo kwenye nchi hii.
Moderator acheni huu # we dare to talk openly as long as sijamtukana mtu wala kumbalaguza mtu#
Ni kawaida ya maskini wa akili hutafuta wa kumlaumu baada ya kutokuwa na hoja. Achana na baba wa Taifa letu amelifanyia mambo makubwa sn nchi yetu.Tuseme tu ukweli matatizo ya nchi hii wa kulaumiwa ni nyerere yeye ndiyo chanzo cha sisi kufika hapa kutokana na ubishi wake na udikiteta wake wa kutokubali kuambiwa ukweli na ukionekana unataka kumuambia ukweli anakuweka detention( korokoroni? Ndiyo maana alitofautiana na Ndugu Kambona kutokana kutoambilika kwake
Ukabila,ufisadi,uoga,udini, udikiteta,katiba mbovu yeye ndiyo chanzo lazima tuuseme ukweli aisee lakini yeye angekubali kukosolewa na hakika tusingefika aisee.Mtu amekaa madarakani miaka 24 ila nchi ilikuwa inasuasua tu na Sera zake ujamaa baada ya kuona mambo magumu akaamua ung'atuke ili amuachie msala mwenzio ila na yeye mwenzake alijitahidi ila na yeye alifeli bila shaka nchi nae ilimshinda japo alijitahidi
Nashangazwa na watu ambao wanampraise nyerere najiuliza amefanya kipi cha maana? Au huu kisa alipewa uhuru ambao hakuupigania? Ona mwenzie jomo kenyata alivyoipambania kenya mpaka leo kenya atleast unanitumia angalau ila sisi ndiyo tupo pale pale Nyerere ndiyo chanzo cha matatizo kwenye nchi hii.
Moderator acheni huu # we dare to talk openly as long as sijamtukana mtu wala kumbalaguza mtu#
Nani amekuambia kwamba mimi sina hela? ShitholeTafuta hela maskini wewe acha visingizio.stupid ass
Si sio masikini na sijawahi kuwa masikini namshukuru Mungu kwa hilo labda wewe na ukoo wenu hukoNi kawaida ya maskini wa akili hutafuta wa kumlaumu baada ya kutokuwa na hoja. Achana na baba wa Taifa letu amelifanyia mambo makubwa sn nchi yetu.
mjinga na mpumbavu ni baba yako aliyezaa mshenzi kama weweSuala lolote linalomhusu Mwl. Nyerere siongei na wajinga na wapumbavu wasiomjua. Kama unamjua sana, poa. Kaongee na wenzako wanaomjua kama wewe.
i lazima usemwe kwa upumbavu wakeUmemaliza Mkuu. Kuna mijitu akili zao ni battery very low.
Yeye anafuata misingi ya muasisi wa huo upumbavuMnaacha kumlaumu Rais aliyepo kwa ujinga anaoufanya mmebakia kulaumu mtu aliyestaafu miaka 40 iliyopita na kufariki miaka 26 iliyopita. Tatizo la Gen Z wanadhani wanajua kila kitu na kuanza kubweka. Mnashindwa kudai mabadiliko na kuwa chawa wa CCM halafu mnakuja hapa kupiga kelele bila aibu. Nyerere ndio chanzo Cha matatizo. Very stupid
asa kwanini mnalaumu Rais aliyeko madarakani kwa mambo yake anayoyafanya?Watu waoga, magoigoi na wasiojali lolote juu ya nchi yao wamekalia kumlaumu mtu ambaye hata mfupa wake leo hii ni wakutafuta hapa duniani.
Mtu atakuja amchukue mwanamke wako ndani na afanye nae ngono mbele yako umlaumu mzee Nyerere. Pambaneni, acheni ujinga.
te kwani ni Rais pekee wa nchii hii mpaka alaumiwe yeye pekee yake?Kuhusu Katiba mpya mlaumu Kikwete.