Matatizo ya nchi hii chanzo ni ndugu Nyerere

Muaai
Hawa v

Hawa vijana sijui wamepatwa na nini siku hizi. Vimekalia kukurupuka tu hoja za kijinga kabisa.
Mzee wa watu aliwaachia viwanda vya kutosha meishia kuviua na kuuza kwa bei ya hasara. Alizuia uchimbaji wa madini kama dhahabu kwa sababu allitaka watanzania waelimike kwanza na wachimbe wenyewe. Leo mmegawa hovyo kwa mikataba ya kinyonyaji bado umlaumu Nyerere?
Kwamba wachina walipo leo ni sawa na enzi za Mao? Leo bila aibu mnahongana mapikipiki kisa uchaguzi halafu unamlaumu Nyerere.!!
sis ni nyerere na ccm yake hiyo
 
Hauni
Tunakosoa na kupiga vita humu mtandaoni? Nyie hata kukosoa mlishindwa mkamuacha bwana wake au mume wenu Kambona ndiyo awasemee?
Punguani waheed usiyejua hata Historia. Hivi hujui kuwa level ya ukosoaji enzi zile ilikuwa kubwa sana kuliko leo? Ukiwasikia Wazee wakina Warioba, Butiku, Jenerali Ulimwengu na wengineo leo jua hao ni wachache tu miongoni mwa kizazi chenye uthubutu mkubwa cha enzi zile. Walikuwepo akina Tuntemeke Sanga,Michael Kamaliza,Bibi Titi Mohammed,Dr.Kyaruzi,Gavana Edwin Mtei, na wengine kibao. Leo kuna Gavana wa kumkosoa Rais kama alivyofanya Mzee Mtei?

Kule jeshini walikuwepo Wanajeshi walioonyeshwa kukerwa na baadhi ya mambo na mwaka 1964, na 1982 wakajaribu kufanya jambo zito. Leo jeshini kwenu watu wa hivyo wapo?

Jana umemsikia Balozi Humphrey Polepole katema cheche, na huyu siyo kijana mwenzio kama unavyofikiri we poyoyo. Vijana wenzako wamejaa UVCCM wanajipodoa tu. Sasa basi, kitendo alichokifanya Balozi Polepole kiliwahi kufanywa na Balozi Christopher Kasanga Tumbo miaka ya Mwl.Nyerere. Imepita miaka mingapi nyie vijana wa hovyo hamjaweza kufanya hivyo?

Hapo sijagusia Wanafunzi wa Vyuo vikuu walioumiza kichwa serikali, akina Samuel Sitta. Leo kwenye Universities zenu kuna wanachuo wa aina hiyo? Usilinganishe kizazi kilichokuwa kinajitambua na hiki kisichojitambua.
 
Propaganda hizi

Baada ya Nyerere zimefata awamu 5 zilikuwa na uwezo wa kubadilisha mambo
 
Una umri Gani ?
Na historia nchi yako unaifahamu vizuri ?
Ukirudi shule kajifunze historia ya baba wa Taifa lako vizuri
Historia haiandikwi na Mwenye Haki bali Mshindi.
Nyerere ndiye kaandika Historia unayotaka watu waisome so usitemegemee kupata kitu negative kwa hiyo Historia.

Kusema Watu wakasome History kujua Nyerere ni nani ni sawa kusema Sikiliza hotuba za Nyerere utajua ni nani.
Misingi ya kufeli kwa ili Taifa iliwekwa na Nyerere.

Nyerere hakuwa na cha kupoteza endapo angeliamua kulitendea haki ili taifa badala yake akachagua Chama kwanza Taifa baadae.
 
Nyerere kang'atuka madaraki miaka 40 sasa tangu 1985 na amekufa 1999 miaka 26 imepita......mwacheni marehemu apumzike

Watu kama nyie ukifeli maisha unasingizia mzazi
uRais ni taasisi.watu hajadilli mabaya ya Nyerere kama mtu binafsi,wanamjadili kama taasisi.
Ingelikuwa watu wanamhoji Nyerere kama mtu binafsi leo kulinguwa na Mada nyingi zinazouliza "WHY" Nyerere alikuwa mnywa pombe!.
Nyerere ni laana ya ili Taifa.
 
Historia haiandikwi na Mwenye Haki bali Mshindi.
Nyerere ndiye kaandika Historia unayotaka watu waisome so usitemegemegee kupata kitu negative kwa hiyo Historia.

Kusema Watu wakasome History kujua Nyerere ni nani ni sawa kusema Sikiliza hotuba za Nyerere utajua ni nani.
Misingi ya kufeli kwa ili Taifa iliwekwa na Nyerere.

Nyerere hakuwa na cha kupoteza endapo angeliamua kulitendea haki ili taifa badala yake akachagua Chama kwanza Taifa baadae.
Taifa hili halijafeli? Kufeli ni relative term!! Je unalingaisha na Taifa gani lililopiga hatua ili tulinganishe data.!!
 
uRais ni taasisi.watu hajadilli mabaya ya Nyerere kama mtu binafsi,wanamjadili kama taasisi.
Ingelikuwa watu wanamhoji Nyerere kama mtu binafsi leo kulinguwa na Mada nyingi zinazouliza "WHY" Nyerere alikuwa mnywa pombe!.
Nyerere ni laana ya ili Taifa.
Nadhani wewe una laana ya wazazi wako. Kumlaumu Nyerere kwa umaskini wako ni UHAYAWANI
 
Tuseme tu ukweli matatizo ya nchi hii wa kulaumiwa ni nyerere yeye ndiyo chanzo cha sisi kufika hapa kutokana na ubishi wake na udikiteta wake wa kutokubali kuambiwa ukweli na ukionekana unataka kumuambia ukweli anakuweka detention( korokoroni? Ndiyo maana alitofautiana na Ndugu Kambona kutokana kutoambilika kwake

Ukabila,ufisadi,uoga,udini, udikiteta,katiba mbovu yeye ndiyo chanzo lazima tuuseme ukweli aisee lakini yeye angekubali kukosolewa na hakika tusingefika aisee.Mtu amekaa madarakani miaka 24 ila nchi ilikuwa inasuasua tu na Sera zake ujamaa baada ya kuona mambo magumu akaamua ung'atuke ili amuachie msala mwenzio ila na yeye mwenzake alijitahidi ila na yeye alifeli bila shaka nchi nae ilimshinda japo alijitahidi

Nashangazwa na watu ambao wanampraise nyerere najiuliza amefanya kipi cha maana? Au huu kisa alipewa uhuru ambao hakuupigania? Ona mwenzie jomo kenyata alivyoipambania kenya mpaka leo kenya atleast unanitumia angalau ila sisi ndiyo tupo pale pale Nyerere ndiyo chanzo cha matatizo kwenye nchi hii.

Moderator acheni huu # we dare to talk openly as long as sijamtukana mtu wala kumbalaguza mtu#
Andiko lenye Tafsiri ya upumbavu.

Andiko lenye Tafsiri ya ujinga
 
Tuweke historia kidogo hapa. Sijasoma sehemu, tulikuwepo.
1. Kama kweli Nyerere alikua hashauriki, why aliachia madaraka yeye mwenyewe kwa hiyari yake? Hakulazimishwa. October 1985 aliondoka Ikulu na kumpisha Mwinyi. Leo ni miaka 40 imepita. Tumeshindwa kubadirisha alioyaweka? Stupid
2. Mfumo wa vyama vingi, umeanza rasmi mwaka 1992 baada ya mzee Mwinyi kuunda tume ya jaji Nyalali, tume ilikuja na majibu kwamba, only 20% ya Watanzania ndio walitaka mfumo wa vyama vingi, 80% walitaka kuendelea na mfumo uliokuwepo. Kwanza hadi hapo, kosa la Nyerere liko wapi? It was him alikishauri chama chake kuachana na hao 80% waliotaka ccm kushika HATAMU. Bado tunamlaumu Nyerere? Walau akiwa hai, Police, Jeshi, Mahakama na hata bunge vilikua strong hasa baada ya mfumo wa vyama vingi and it was him alitapendekeza hata mgombea huru asie na chama akubaliwe kugombea, wahafidhina walimgomea hilo, mahakama pia ilimuunga mkono askofu Mtikila na Nyerere but Lumumba sports wamegoma hadi leo. Bado tunamlaumu Nyerere? Nonsense
Nyerere aliiacha nchi ikifuata mfumo wa ujamaa na kujitegemea, Azimio la Arusha pia...., tunavyo hivo vitu? Aliacha pia muungano wenye nchi 1 na serikali 2 but serikali moja ikiwa haina meno; leo hali ikoje? Kama tuliweza kubadiri mambo yake hayo mengi tu, tunashindwa nini kubadiri mengi aliofeli? Sawa sawa na wewe umezaliwa familia masikini, baba yako ni fukara lakini hadi watoto wako wanamlaumu babu yao kwa umasikini wao, huoni kama kunakua na upungufu wa akili kichwani? Miaka 40 bila Nyerere madarakani, miaka 33 bila Nyerere chamani na miaka 26 bila Nyerere duniani but still we blame him. Mleta uzi huna tofauti na viongozi wengi wa Africa wanaolalamikia umasikini wa nchi zao kwasababu ya kutawaliwa na wakoloni, wanasahau kama hata nchi zote za Asia except Japan nazo zilitawaliwa including China, now China ni nchi bora kiuchumi ikishika nafasi ya 2 duniani baada ya USA.
Kaka umeandika maneno yenye mantiki nzito sana yaan hii comment yako ni shule tosha, ila kwa kiwango cha uelewa wa mleta mada hawezi kuona hoja nzito kwenye hii comment yako, maana anaonekana tu ni mbumbu ambaye hana elimu yoyote ya historia au uraia.

Na kama sijakosea huyu mleta ni kobazi na wote tunajua jinsi gani hawa jamaa wanavyorithishana chuki za kijinga dhidi ya mwalimu Nyerere, yaan mara nyingi wakianza kumlaumu Nyerere wanakuja ni hoja nyepesi sana zinazoonesha akili na fikra duni walizonazo sababu ya kutokuwa na elimu ya kidunia.

Ona kama huyu mpuuzi eti anasema Nyerere ndio chanzo cha matatizo ya nchi hii sababu tu alikataa kushauriwa na akina Oscar Kambona, yaan kwanza hajui hatahao washauri wa Nyerere walikuwa wana na hulka gani mpaka Nyerere akawa anawapotezea.

Kwa tafsiri nyingine anaamini kama Nyerere angekubaliana na washauri wake kipindi kile ambao wengi walikuwa ni wachumia tumbo tu na walafi basi tungepata maendeleo kwa haraka na haya matatizo tuliyonayo leo hii yasingekuwepo... ni akili hiyo?

Halafu alivyokuwa mpumbavvu anajaribu kujustify failure ya viongozi waliomfuata Nyerere kwa mapungufu ya awamu ya nyerere... yaan baada ya Nyerere kung'atuka wamekuja maraisi watano ila akilini mwake anaamini tatizo ni nyerere tu basi, yaan hata suala la katiba anamlaumu Nyerere? Huyu ni mzima kweli

Huyu mleta ana upumbavu wa kuzaliwa nao, badala ya kumlaumu Nyerere awalaumu wazazi wake kwa kumnyima elimu sahihi.
 
Shida ni DINI ndugu yangu. Muislam yeyote msaidie hata kupata kazi, hawezi kukushukuru hata siku 1 kwasababu wewe sio Muislam mwenzie. Fikiria Nyerere asingechukua shule za hadi za kanisa lake, Waislamu haw wangesoma wapi? Au put this way, say shule kama Tosamaganga, ile ya Dodoma, Mkwawa, nk zingekua zinamilikiwa na Waislamu halafu Nyerere Mkristo akazichukua ziwe mali ya umma, si angesomewa albadiri na masheikh wote Tanzania? Kama sio Nyerere hata kuondoa udini bongo, unadhani kuna muislam angekuja kushika urais wa nchi hi kweli? Dini inafundisha chuki kwa wengine, sio ajabu kabisa kumlaumu Nyerere kwa makosa yanayofanywa na wengine
 
Hawa v

Hawa vijana sijui wamepatwa na nini siku hizi. Vimekalia kukurupuka tu hoja za kijinga kabisa.
Mzee wa watu aliwaachia viwanda vya kutosha meishia kuviua na kuuza kwa bei ya hasara. Alizuia uchimbaji wa madini kama dhahabu kwa sababu allitaka watanzania waelimike kwanza na wachimbe wenyewe. Leo mmegawa hovyo kwa mikataba ya kinyonyaji bado umlaumu Nyerere?
Kwamba wachina walipo leo ni sawa na enzi za Mao? Leo bila aibu mnahongana mapikipiki kisa uchaguzi halafu unamlaumu Nyerere.!!
Ajabu sana. Tena Nyerere aliwakatalia wachimba madini kwa mikataba ya 50%, wao wamekuja kutoa kwa 3%, imagine
 
Shida ni DINI ndugu yangu. Muislam yeyote msaidie hata kupata kazi, hawezi kukushukuru hata siku 1 kwasababu wewe sio Muislam mwenzie. Fikiria Nyerere asingechukua shule za hadi za kanisa lake, Waislamu haw wangesoma wapi? Au put this way, say shule kama Tosamaganga, ile ya Dodoma, Mkwawa, nk zingekua zinamilikiwa na Waislamu halafu Nyerere Mkristo akazichukua ziwe mali ya umma, si angesomewa albadiri na masheikh wote Tanzania? Kama sio Nyerere hata kuondoa udini bongo, unadhani kuna muislam angekuja kushika urais wa nchi hi kweli? Dini inafundisha chuki kwa wengine, sio ajabu kabisa kumlaumu Nyerere kwa makosa yanayofanywa na wengine
Kwahiyo kila anayempinga Nyerere ni muislamu Tu?
 
Kaka umeandika maneno yenye mantiki nzito sana yaan hii comment yako ni shule tosha, ila kwa kiwango cha uelewa wa mleta mada hawezi kuona hoja nzito kwenye hii comment yako, maana anaonekana tu ni mbumbu ambaye hana elimu yoyote ya historia au uraia.

Na kama sijakosea huyu mleta ni kobazi na wote tunajua jinsi gani hawa jamaa wanavyorithishana chuki za kijinga dhidi ya mwalimu Nyerere, yaan mara nyingi wakianza kumlaumu Nyerere wanakuja ni hoja nyepesi sana zinazoonesha akili na fikra duni walizonazo sababu ya kutokuwa na elimu ya kidunia.

Ona kama huyu mpuuzi eti anasema Nyerere ndio chanzo cha matatizo ya nchi hii sababu tu alikataa kushauriwa na akina Oscar Kambona, yaan kwanza hajui hatahao washauri wa Nyerere walikuwa wana na hulka gani mpaka Nyerere akawa anawapotezea.

Kwa tafsiri nyingine anaamini kama Nyerere angekubaliana na washauri wake kipindi kile ambao wengi walikuwa ni wachumia tumbo tu na walafi basi tungepata maendeleo kwa haraka na haya matatizo tuliyonayo leo hii yasingekuwepo... ni akili hiyo?

Halafu alivyokuwa mpumbavvu anajaribu kujustify failure ya viongozi waliomfuata Nyerere kwa mapungufu ya awamu ya nyerere... yaan baada ya Nyerere kung'atuka wamekuja maraisi watano ila akilini mwake anaamini tatizo ni nyerere tu basi, yaan hata suala la katiba anamlaumu Nyerere? Huyu ni mzima kweli

Huyu mleta ana upumbavu wa kuzaliwa nao, badala ya kumlaumu Nyerere awalaumu wazazi wake kwa kumnyima elimu sahihi.
hahahaha kwahiyo kila anayempinga Nyerere ni muislamu? Come down basi we mzanaki wa Rwamkoma wewe, halafu mimi nipo huku butiama nawatumbua majipu wazanaki wenzio huku
 
Tuseme tu ukweli matatizo ya nchi hii wa kulaumiwa ni nyerere yeye ndiyo chanzo cha sisi kufika hapa kutokana na ubishi wake na udikiteta wake wa kutokubali kuambiwa ukweli na ukionekana unataka kumuambia ukweli anakuweka detention( korokoroni? Ndiyo maana alitofautiana na Ndugu Kambona kutokana kutoambilika kwake

Ukabila,ufisadi,uoga,udini, udikiteta,katiba mbovu yeye ndiyo chanzo lazima tuuseme ukweli aisee lakini yeye angekubali kukosolewa na hakika tusingefika aisee.Mtu amekaa madarakani miaka 24 ila nchi ilikuwa inasuasua tu na Sera zake ujamaa baada ya kuona mambo magumu akaamua ung'atuke ili amuachie msala mwenzio ila na yeye mwenzake alijitahidi ila na yeye alifeli bila shaka nchi nae ilimshinda japo alijitahidi

Nashangazwa na watu ambao wanampraise nyerere najiuliza amefanya kipi cha maana? Au huu kisa alipewa uhuru ambao hakuupigania? Ona mwenzie jomo kenyata alivyoipambania kenya mpaka leo kenya atleast unanitumia angalau ila sisi ndiyo tupo pale pale Nyerere ndiyo chanzo cha matatizo kwenye nchi hii.

Moderator acheni huu # we dare to talk openly as long as sijamtukana mtu wala kumbalaguza mtu#
Kabla ya kusoma vitabu mbali mbali nje ya darasani nilimuona Nyerere baba wa taifa.
Ukisoma vitabu tofauti na vya darasani Nyerere mjanja kama Kikwete
 
Tuseme tu ukweli matatizo ya nchi hii wa kulaumiwa ni nyerere yeye ndiyo chanzo cha sisi kufika hapa kutokana na ubishi wake na udikiteta wake wa kutokubali kuambiwa ukweli na ukionekana unataka kumuambia ukweli anakuweka detention( korokoroni? Ndiyo maana alitofautiana na Ndugu Kambona kutokana kutoambilika kwake

Ukabila,ufisadi,uoga,udini, udikiteta,katiba mbovu yeye ndiyo chanzo lazima tuuseme ukweli aisee lakini yeye angekubali kukosolewa na hakika tusingefika aisee.Mtu amekaa madarakani miaka 24 ila nchi ilikuwa inasuasua tu na Sera zake ujamaa baada ya kuona mambo magumu akaamua ung'atuke ili amuachie msala mwenzio ila na yeye mwenzake alijitahidi ila na yeye alifeli bila shaka nchi nae ilimshinda japo alijitahidi

Nashangazwa na watu ambao wanampraise nyerere najiuliza amefanya kipi cha maana? Au huu kisa alipewa uhuru ambao hakuupigania? Ona mwenzie jomo kenyata alivyoipambania kenya mpaka leo kenya atleast unanitumia angalau ila sisi ndiyo tupo pale pale Nyerere ndiyo chanzo cha matatizo kwenye nchi hii.

Moderator acheni huu # we dare to talk openly as long as sijamtukana mtu wala kumbalaguza mtu#
Kwa mfano wewe ulimshauri nini akakataa?
 
Back
Top Bottom