Matatizo ya nchi hii chanzo ni ndugu Nyerere

Matatizo ya nchi hii chanzo ni ndugu Nyerere

Nyerere yeye si ndio aliwajaza ujinga wa Tanzania? We unafikiri kama jomo kenyata angekuwa kama Nyerere nchi yao angefikia pale?
Twambie Kenyatta alifanyaje hata Wakenya wakawa na akili na Nyerere alifanya nini hata Watanzania tukawa wajinga? Fafanua hi tafadhari
 
Upumbavu wa nyet
Kama tatizo alikuwa Nyerere, toka alivyoondoka tumefanya nini cha maana,

Hauwezi kubaki kumlalamikia babu na baba yako kwa maisha magumu wakati unayo nafaasi ya kuyabadili.

Katiba tulishaambiwa na kakijitabu tu sasa tunashindwajwe kukabadilisha kasomeke tunavyotaka..., hili nalo tuendelee kusubiri Nyerere afufuke aje atubadilishie.......!

Ukweli ni kwamba, ccm ndiyo imetufikisha hapa, wanalinda maslahi ya chama kwa kutumia vyombo vya dola na rasilimali za taifa, wako tayari kwa lolote kuhakikisha wanaendelea kubaki madarakani.

Nyerere apambane na yake, haya ya kwetu tupambane nayo wenyewe kwa kumtoa mkoloni wa kijani na kuupa thamani ya kweli unaostahili uchaguzi na kuipa nguvu kura ya mwana nchi mmoja mmoja kubadili kwa kuitoa madarakani na kuiweka madarakani serikali anayoitaka.
Rere na Ccm yake
 
FB_IMG_1751970101179.jpg
 
Mzee nyerere alipenda sana chama kuliko taifa
Hiyo ilikuwa tatizo kubwa sana mzee alitaka alivyoviasisis yeye vidumu milele na hakutaka kuwa mtu wabadiliko pindi mambo yanavoenda kombo na aliamini ana akili sana za kuipeleka Tanzania mbele na hakuna mwingine mwenye uwezo huo na ndiyo maana aligombana na watu kama Oscar Kambona, na wengine wengi tu.
Haya mambo ya uchawa aliyaanzisha yeye mambo ya zidumu fikra za mwenyekiti ikawa kutwaa usiku na mchana ni kumsifia yeye tu.
Enzi hizo chama kimeshika hatamu mwenyekiti wa ccm ambaye ukute hata kusoma na kuandika ni shida tawi la shirika/kampuni letsay Taneco alikuwa na nguvu kuliko meneja wa Tanesco huu ulikuwa ujinga wa kiwango cha sgr.
 
Maendeleo ya china ya leo muasisi wake ni Mao ambaye Nyerere alijinasibu kama ni rafiki yk
Yake je Nyerere hakumuona Rafiki yake anachofanya?
Nyerere aliiacha mashirika ya umma yote yakiwa very strong. Hi kampuni ya ujenzi iliojenga daraja la Kigamboni na la Busisi ni mali ya serikali, Nyerere pia aliiacha kampuni ya ujenzi ikiwa very strong inaitwa MECCO, ile mitaa ya Mwanza na Mbeya inayoitwa kwa jina hilo inatokana na kampuni ya mwalimu Nyerere; Nyerere aliendelea kuiamini Tanesco, bwawa la Mtera it was him and his regime ndio walitengeneza, hadi anatoka madarakani hakukuwahi kua na mgao wa umeme though mwaka 1984 nchi yetu ilikumbwa na baa kubwa la njaa kwasababu ya ukame, na tulikula sana unga wa "Yanga" miaka hiyo but still umeme haukua unakatika, sawa na alichokifanya baba wa taifa la China, reli ya Tazara was one of the best project which Nyerere did it, waliomtangulia walifanya bidii kubwa sana hivo vitu vife, it was JPM akaja na mkakati wa maana kufanya kama alivofanya Nyerere.
Hadi Nyerere anaondoka madarakani, vifaa vyote vya kilimo vilikua vinatengenezwa Tanzania, UFI cha Ubungo, ZZK cha Mbeya, hadi plau za ng'ombe vilikua vinatengenezwa bongo, Almasi ya Mwadui, ilikua inakatwa Tanzania hapa hapa kule mkoani Iringa, madawa yote ya kilimo na mbolea was made in Tanzania, elimu yetu ilikua na thamani hasa enzi za yule mzee, sema shule zilikua chache; nakukumbusha tu, ukumbi wa Nkuruma pale Mlimani kukiwa na mjadara, Radio Tanzania (RTD ) sasa TBC taifa ilikua inakwenda pale, ukisikiliza hoja za wasomi wale, unaona kabisa wale ni wasomi, tofauti na sasa, huioni tofauti ya PhD holder na standard 7, chukua mtu kama Mwijaku, sikuwahi kuamini kama nae ni degree holders hadi nilivomsikia RC wa Njombe bwana Mtaka kwamba yule jamaa ni classmates wake. Kwa ufupi, Nyerere ali copy vingi sana from China, waliomfata ndio kipengere, walihakikisha vyote vinakufa. Sitashangaa nikisikia neno MECCO hukua unalijua, it was Mwananchi Engineering and Contraction Company Limited.
Eliza swali lingine
 
Tuseme tu ukweli matatizo ya nchi hii wa kulaumiwa ni nyerere yeye ndiyo chanzo cha sisi kufika hapa kutokana na ubishi wake na udikiteta wake wa kutokubali kuambiwa ukweli na ukionekana unataka kumuambia ukweli anakuweka detention( korokoroni? Ndiyo maana alitofautiana na Ndugu Kambona kutokana kutoambilika kwake

Ukabila,ufisadi,uoga,udini, udikiteta,katiba mbovu yeye ndiyo chanzo lazima tuuseme ukweli aisee lakini yeye angekubali kukosolewa na hakika tusingefika aisee.Mtu amekaa madarakani miaka 24 ila nchi ilikuwa inasuasua tu na Sera zake ujamaa baada ya kuona mambo magumu akaamua ung'atuke ili amuachie msala mwenzio ila na yeye mwenzake alijitahidi ila na yeye alifeli bila shaka nchi nae ilimshinda japo alijitahidi

Nashangazwa na watu ambao wanampraise nyerere najiuliza amefanya kipi cha maana? Au huu kisa alipewa uhuru ambao hakuupigania? Ona mwenzie jomo kenyata alivyoipambania kenya mpaka leo kenya atleast unanitumia angalau ila sisi ndiyo tupo pale pale Nyerere ndiyo chanzo cha matatizo kwenye nchi hii.

Moderator acheni huu # we dare to talk openly as long as sijamtukana mtu wala kumbalaguza mtu#
Kwa hiyo unataka tuwe tunaandamana Kama wakenya, nenda kaandamane mwenyewe huko barabarani Kama unavotaka
 
Kweli kabisa mie nilishasema tangu zanani. Nyerere ndiye aliyetunga katiba ya uraisi wa kifalme ubaotutesa hadi kesho
 
Siku tukikubali ukweli tutasonga mbele kwa kasi zaidi.
 
Back
Top Bottom