Matatizo ya nchi hii chanzo ni ndugu Nyerere

Nyerere siyo baba wa Taifa mm nakataa han

Nyerere siyo baba wa Taifa mm nakataa hana hizo sifa
Muanzishaji wa kitu fulani huitwa baba wa hicho kitu. Aliyepelekea nchi hii kuitwa Tanzania ni nani?, ni dhahiri ni NYERERE.
KATIBA ilirekebishwa na kuwekwa vizuri kabisa( Isipokuwa unatakiwa uwe mzalendo, na siyo kumkomoa mtu). Si kuna VOTE ya OF NO CONFIDENCE ambayo wabunge wanaweza kuipiga kama watakuwa WAZALENDO?, ambapo na wabunge nao wataondoka madarakani.
KIFUPI: Kama wananchi wanaweza kuhongwa kwa kupewa ELFU KUMI na wakamchagua kiongozi kwasababu ya hiyo ELFU KUMI. HUYO MWANANCHI HAPASWI KUFANYA MAAMUZI MAKUBWA SANA, kwasababu itakuwa ni hatari kwa NCHI.
Ndiyo maana Marekani maamuzi ya mwisho katika uchaguzi hayafanywi na wananchi Isipokuwa ELECTORAL COLLEGE. Sisi tunayo nafasi ya VOTE OF NO CONFIDENCE( Tatizo kubwa hatuna uchungu wa maslahi ya nchi, ila tuna uchungu wa kurudi URAIANI).
KUMBUKA kuwa demokrasia kupita kiasi ndiyo iliyopelekea USHOGA kupata USHINDI katika baadhi ya nchi za ULAYA na AMERICA YA KUSINI. KWAHIYO, NYERERE alikuwa anaona mbali sana.
 
Tuweke historia kidogo hapa. Sijasoma sehemu, tulikuwepo.
1. Kama kweli Nyerere alikua hashauriki, why aliachia madaraka yeye mwenyewe kwa hiyari yake? Hakulazimishwa. October 1985 aliondoka Ikulu na kumpisha Mwinyi. Leo ni miaka 40 imepita. Tumeshindwa kubadirisha alioyaweka? Stupid
2. Mfumo wa vyama vingi, umeanza rasmi mwaka 1992 baada ya mzee Mwinyi kuunda tume ya jaji Nyalali, tume ilikuja na majibu kwamba, only 20% ya Watanzania ndio walitaka mfumo wa vyama vingi, 80% walitaka kuendelea na mfumo uliokuwepo. Kwanza hadi hapo, kosa la Nyerere liko wapi? It was him alikishauri chama chake kuachana na hao 80% waliotaka ccm kushika HATAMU. Bado tunamlaumu Nyerere? Walau akiwa hai, Police, Jeshi, Mahakama na hata bunge vilikua strong hasa baada ya mfumo wa vyama vingi and it was him alitapendekeza hata mgombea huru asie na chama akubaliwe kugombea, wahafidhina walimgomea hilo, mahakama pia ilimuunga mkono askofu Mtikila na Nyerere but Lumumba sports wamegoma hadi leo. Bado tunamlaumu Nyerere? Nonsense
Nyerere aliiacha nchi ikifuata mfumo wa ujamaa na kujitegemea, Azimio la Arusha pia...., tunavyo hivo vitu? Aliacha pia muungano wenye nchi 1 na serikali 2 but serikali moja ikiwa haina meno; leo hali ikoje? Kama tuliweza kubadiri mambo yake hayo mengi tu, tunashindwa nini kubadiri mengi aliofeli? Sawa sawa na wewe umezaliwa familia masikini, baba yako ni fukara lakini hadi watoto wako wanamlaumu babu yao kwa umasikini wao, huoni kama kunakua na upungufu wa akili kichwani? Miaka 40 bila Nyerere madarakani, miaka 33 bila Nyerere chamani na miaka 26 bila Nyerere duniani but still we blame him. Mleta uzi huna tofauti na viongozi wengi wa Africa wanaolalamikia umasikini wa nchi zao kwasababu ya kutawaliwa na wakoloni, wanasahau kama hata nchi zote za Asia except Japan nazo zilitawaliwa including China, now China ni nchi bora kiuchumi ikishika nafasi ya 2 duniani baada ya USA.
Nimekuelewa vizuri mkuu kwa ufafanuzi,je tuilamu CCM?au hata sisi wananchi tumekuwa kama mazombie?
 
Duh! Ila Gen Z mna mihemko Sana. Shida mnadhani nchi ilianza mwaka 2000.
 
Nyerere amekufa miaka 20 sasa mnaendelea kumshambulia marehemu jiulize nyie mmefanya nini mpaka Sasa hakuna binadamu aliyekamilika
 
Shamte katawala miezi miwili na sasa ni miaka 61 tangu apinduliwe. Bado anasemwa.
 
Naungana na wewe mkuu,kama kweli angekuwa na mapenzi mema na Tanzania baada ya kuanzishwa mfumo wa vyama vingi angehakikisha katiba mpya inapatikana
Wanufaika wa hii katiba mbovu wanamtukuza na kumuabudu waendelee kupiga pesa za walala hoi
 
Tatizo ni chanzo cha tatizo au tatizo ni kuendelea kuacha tatizo liendelee kuwa tatizo?
Watu alio waplant aliwaacha na mentality kama zake na ndio hao hao ambao Leo hii Wana maamuzi makubwa ktk taifa ,
 
Tuseme tu ukweli matatizo ya nchi hii wa kulaumiwa ni nyerere yeye ndiyo chanzo cha sisi kufika hapa kutokana na ubishi wake na udikiteta wake wa kutokubali kuambiwa ukweli na ukionekana unataka kumuambia ukweli anakuweka detention( korokoroni? Ndiyo maana alitofautiana na Ndugu Kambona kutokana kutoambilika kwake

Ukabila,ufisadi,uoga,udini, udikiteta,katiba mbovu yeye ndiyo chanzo lazima tuuseme ukweli aisee lakini yeye angekubali kukosolewa na hakika tusingefika aisee.Mtu amekaa madarakani miaka 24 ila nchi ilikuwa inasuasua tu na Sera zake ujamaa baada ya kuona mambo magumu akaamua ung'atuke ili amuachie msala mwenzio ila na yeye mwenzake alijitahidi ila na yeye alifeli bila shaka nchi nae ilimshinda japo alijitahidi

Nashangazwa na watu ambao wanampraise nyerere najiuliza amefanya kipi cha maana? Au huu kisa alipewa uhuru ambao hakuupigania? Ona mwenzie jomo kenyata alivyoipambania kenya mpaka leo kenya atleast unanitumia angalau ila sisi ndiyo tupo pale pale Nyerere ndiyo chanzo cha matatizo kwenye nchi hii.

Moderator acheni huu # we dare to talk openly as long as sijamtukana mtu wala kumbalaguza mtu#
Ulipoingi,a neno udini tu nikajua wewe ni kijana wa Mohamed Said
 
Mtu uyu alikuwa mzuri sana mdomoni muasisi wa wabongo kuwa waswahili waswahili sana.
 
Tuseme tu ukweli matatizo ya nchi hii wa kulaumiwa ni nyerere yeye ndiyo chanzo cha sisi kufika hapa kutokana na ubishi wake na udikiteta wake wa kutokubali kuambiwa ukweli na ukionekana unataka kumuambia ukweli anakuweka detention( korokoroni? Ndiyo maana alitofautiana na Ndugu Kambona kutokana kutoambilika kwake

Ukabila,ufisadi,uoga,udini, udikiteta,katiba mbovu yeye ndiyo chanzo lazima tuuseme ukweli aisee lakini yeye angekubali kukosolewa na hakika tusingefika aisee.Mtu amekaa madarakani miaka 24 ila nchi ilikuwa inasuasua tu na Sera zake ujamaa baada ya kuona mambo magumu akaamua ung'atuke ili amuachie msala mwenzio ila na yeye mwenzake alijitahidi ila na yeye alifeli bila shaka nchi nae ilimshinda japo alijitahidi

Nashangazwa na watu ambao wanampraise nyerere najiuliza amefanya kipi cha maana? Au huu kisa alipewa uhuru ambao hakuupigania? Ona mwenzie jomo kenyata alivyoipambania kenya mpaka leo kenya atleast unanitumia angalau ila sisi ndiyo tupo pale pale Nyerere ndiyo chanzo

Tuseme tu ukweli matatizo ya nchi hii wa kulaumiwa ni nyerere yeye ndiyo chanzo cha sisi kufika hapa kutokana na ubishi wake na udikiteta wake wa kutokubali kuambiwa ukweli na ukionekana unataka kumuambia ukweli anakuweka detention( korokoroni? Ndiyo maana alitofautiana na Ndugu Kambona kutokana kutoambilika kwake

Ukabila,ufisadi,uoga,udini, udikiteta,katiba mbovu yeye ndiyo chanzo lazima tuuseme ukweli aisee lakini yeye angekubali kukosolewa na hakika tusingefika aisee.Mtu amekaa madarakani miaka 24 ila nchi ilikuwa inasuasua tu na Sera zake ujamaa baada ya kuona mambo magumu akaamua ung'atuke ili amuachie msala mwenzio ila na yeye mwenzake alijitahidi ila na yeye alifeli bila shaka nchi nae ilimshinda japo alijitahidi

Nashangazwa na watu ambao wanampraise nyerere najiuliza amefanya kipi cha maana? Au huu kisa alipewa uhuru ambao hakuupigania? Ona mwenzie jomo kenyata alivyoipambania kenya mpaka leo kenya atleast unanitumia angalau ila sisi ndiyo tupo pale pale Nyerere ndiyo chanzo cha matatizo kwenye nchi hii.

Moderator acheni huu # we dare to talk openly as long as sijamtukana mtu wala kumbalaguza mtu#
Acheni visingizio vya kimaku
 
Nilidhani una hoja kumbe ujinga mtupu wa kujifananisha na Kenya. Huyo Kenyatta aliyejimilikisha uchumi wa Kenya yeye na familia yake hana cha kuigwa. Alijipambania yeye binafsi na kabila lake. Familia ya Kenyatta inamiliki karibu nusu ya ardhi ya Kenya. Umeandika ushenzi.
 
Back
Top Bottom