Matatizo ya nchi hii chanzo ni ndugu Nyerere

Tuseme tu ukweli matatizo ya nchi hii wa kulaumiwa ni nyerere yeye ndiyo chanzo cha sisi kufika hapa kutokana na ubishi wake na udikiteta wake wa kutokubali kuambiwa ukweli na ukionekana unataka kumuambia ukweli anakuweka detention( korokoroni? Ndiyo maana alitofautiana na Ndugu Kambona kutokana kutoambilika kwake

Ukabila,ufisadi,uoga,udini, udikiteta,katiba mbovu yeye ndiyo chanzo lazima tuuseme ukweli aisee lakini yeye angekubali kukosolewa na hakika tusingefika aisee.Mtu amekaa madarakani miaka 24 ila nchi ilikuwa inasuasua tu na Sera zake ujamaa baada ya kuona mambo magumu akaamua ung'atuke ili amuachie msala mwenzio ila na yeye mwenzake alijitahidi ila na yeye alifeli bila shaka nchi nae ilimshinda japo alijitahidi

Nashangazwa na watu ambao wanampraise nyerere najiuliza amefanya kipi cha maana? Au huu kisa alipewa uhuru ambao hakuupigania? Ona mwenzie jomo kenyata alivyoipambania kenya mpaka leo kenya atleast unanitumia angalau ila sisi ndiyo tupo pale pale Nyerere ndiyo chanzo cha matatizo kwenye nchi hii.

Moderator acheni huu # we dare to talk openly as long as sijamtukana mtu wala kumbalaguza mtu#
Unamjua Mwl. Nyerere au umekutana nae barabarani tu ndio unakuja unaropoka?
 
1985 wakati anataka kungatuka au hata 1992 wakati wa vyama vingi angehakikisha anatupatia KATIBA bora.
Sasa haya mambo yote ni matokeo ya kutuachia chaka aka CCM ambalo linameza watu kila uchao kisa tu kuwakosoa.
 
Wa TZ tuache kulumbana sisi kwa sisi.
Tuwe kitu kimoja kama ilivyo kuwa wanafanya wababu na Bibi zetu wakati wa kudai Uhuru.

Baada ya lile tukio la jeshi lilokuwa la mkoloni kutaka kufanya uasi, lile tukio ili badili muelekeo wa nchi kabisa, zikaja sera za ujamaa, ambazo zilikuja kukandamiza uchumi wa wananchi na waliokuwa wapigania uhuru kutonufaika kiuchumi labda kulamba teuzi TU 😂 ndio lilokuwa jambo la kuwapoza .
Kwa hiyo Bado wa TZ wana DAI haki Yao ya kumiliki uchumi waliokopwa na sera za ujamaa na kujitemea.

Ila Nyerere Kwenye hotuba zake alikiri kuwa alikosea/amekosea kwa sababu waliokuwa Bado hawana exposure/ maarifa .

Akatupa ushauri tubadili kwenye upumbavu tuweke mema.
 
Tuseme tu ukweli matatizo ya nchi hii wa kulaumiwa ni nyerere yeye ndiyo chanzo cha sisi kufika hapa kutokana na ubishi wake na udikiteta wake wa kutokubali kuambiwa ukweli na ukionekana unataka kumuambia ukweli anakuweka detention( korokoroni? Ndiyo maana alitofautiana na Ndugu Kambona kutokana kutoambilika kwake

Ukabila,ufisadi,uoga,udini, udikiteta,katiba mbovu yeye ndiyo chanzo lazima tuuseme ukweli aisee lakini yeye angekubali kukosolewa na hakika tusingefika aisee.Mtu amekaa madarakani miaka 24 ila nchi ilikuwa inasuasua tu na Sera zake ujamaa baada ya kuona mambo magumu akaamua ung'atuke ili amuachie msala mwenzio ila na yeye mwenzake alijitahidi ila na yeye alifeli bila shaka nchi nae ilimshinda japo alijitahidi

Nashangazwa na watu ambao wanampraise nyerere najiuliza amefanya kipi cha maana? Au huu kisa alipewa uhuru ambao hakuupigania? Ona mwenzie jomo kenyata alivyoipambania kenya mpaka leo kenya atleast unanitumia angalau ila sisi ndiyo tupo pale pale Nyerere ndiyo chanzo cha matatizo kwenye nchi hii.

Moderator acheni huu # we dare to talk openly as long as sijamtukana mtu wala kumbalaguza mtu#
Nakuibia siri, mimi ni JWTZ ngazi ya juu. SISI Tunawasubiri Watanzania mlianzishe. Ndani ya siku tatu tunawaunga mkono. Hatuyapendi yanayofanywa na viongozi wenu. Tunashindwa tuanze vipi. Mkiweza lianzisheni ila kufa kupo na ukombozo mtaupata. Usimwambie mtu. Hii ni siri
 
Yeye alishindwa nini jufa
nya mabadiliko?
Baba yako akishindwa kujenga nyumba Hadi anakufa utaacha kujenga nyumba na kuendelea kumlaumu kwanini hakujenga?
Watoto wako nao watakuja kukulaumu wewe badala ya kunitafutia ya kwao.
 
Tuseme tu ukweli matatizo ya nchi hii wa kulaumiwa ni nyerere yeye ndiyo chanzo cha sisi kufika hapa kutokana na ubishi wake na udikiteta wake wa kutokubali kuambiwa ukweli na ukionekana unataka kumuambia ukweli anakuweka detention( korokoroni? Ndiyo maana alitofautiana na Ndugu Kambona kutokana kutoambilika kwake

Ukabila,ufisadi,uoga,udini, udikiteta,katiba mbovu yeye ndiyo chanzo lazima tuuseme ukweli aisee lakini yeye angekubali kukosolewa na hakika tusingefika aisee.Mtu amekaa madarakani miaka 24 ila nchi ilikuwa inasuasua tu na Sera zake ujamaa baada ya kuona mambo magumu akaamua ung'atuke ili amuachie msala mwenzio ila na yeye mwenzake alijitahidi ila na yeye alifeli bila shaka nchi nae ilimshinda japo alijitahidi

Nashangazwa na watu ambao wanampraise nyerere najiuliza amefanya kipi cha maana? Au huu kisa alipewa uhuru ambao hakuupigania? Ona mwenzie jomo kenyata alivyoipambania kenya mpaka leo kenya atleast unanitumia angalau ila sisi ndiyo tupo pale pale Nyerere ndiyo chanzo cha matatizo kwenye nchi hii.

Moderator acheni huu # we dare to talk openly as long as sijamtukana mtu wala kumbalaguza mtu#
Masheheee ubwabwa huwa wanahubir sana msikitik kumchukia nyerere ....endelea na madrasa kijana
 
Mwandiko unafana sana na wa bwana Bigshow.

Ninachojua mimi, Nyerere angekuwa wa dini nyingine, angefagiliwa na kutetewa sana.
 
Tuseme tu ukweli matatizo ya nchi hii wa kulaumiwa ni nyerere yeye ndiyo chanzo cha sisi kufika hapa kutokana na ubishi wake na udikiteta wake wa kutokubali kuambiwa ukweli na ukionekana unataka kumuambia ukweli anakuweka detention( korokoroni? Ndiyo maana alitofautiana na Ndugu Kambona kutokana kutoambilika kwake

Ukabila,ufisadi,uoga,udini, udikiteta,katiba mbovu yeye ndiyo chanzo lazima tuuseme ukweli aisee lakini yeye angekubali kukosolewa na hakika tusingefika aisee.Mtu amekaa madarakani miaka 24 ila nchi ilikuwa inasuasua tu na Sera zake ujamaa baada ya kuona mambo magumu akaamua ung'atuke ili amuachie msala mwenzio ila na yeye mwenzake alijitahidi ila na yeye alifeli bila shaka nchi nae ilimshinda japo alijitahidi

Nashangazwa na watu ambao wanampraise nyerere najiuliza amefanya kipi cha maana? Au huu kisa alipewa uhuru ambao hakuupigania? Ona mwenzie jomo kenyata alivyoipambania kenya mpaka leo kenya atleast unanitumia angalau ila sisi ndiyo tupo pale pale Nyerere ndiyo chanzo cha matatizo kwenye nchi hii.

Moderator acheni huu # we dare to talk openly as long as sijamtukana mtu wala kumbalaguza mtu#
Hizo lawama zako ni ndogo Sana coz zinaweza kurekebishwa ukilingansha na mazuri ya Nyerere leo hii una Uhuru wa kuishi popote Tz kumiliki ardhi popote nenda sasa Kenya ukajionee ukabila kila sector
 
Tuseme tu ukweli matatizo ya nchi hii wa kulaumiwa ni nyerere yeye ndiyo chanzo cha sisi kufika hapa kutokana na ubishi wake na udikiteta wake wa kutokubali kuambiwa ukweli na ukionekana unataka kumuambia ukweli anakuweka detention( korokoroni? Ndiyo maana alitofautiana na Ndugu Kambona kutokana kutoambilika kwake

Ukabila,ufisadi,uoga,udini, udikiteta,katiba mbovu yeye ndiyo chanzo lazima tuuseme ukweli aisee lakini yeye angekubali kukosolewa na hakika tusingefika aisee.Mtu amekaa madarakani miaka 24 ila nchi ilikuwa inasuasua tu na Sera zake ujamaa baada ya kuona mambo magumu akaamua ung'atuke ili amuachie msala mwenzio ila na yeye mwenzake alijitahidi ila na yeye alifeli bila shaka nchi nae ilimshinda japo alijitahidi

Nashangazwa na watu ambao wanampraise nyerere najiuliza amefanya kipi cha maana? Au huu kisa alipewa uhuru ambao hakuupigania? Ona mwenzie jomo kenyata alivyoipambania kenya mpaka leo kenya atleast unanitumia angalau ila sisi ndiyo tupo pale pale Nyerere ndiyo chanzo cha matatizo kwenye nchi hii.

Moderator acheni huu # we dare to talk openly as long as sijamtukana mtu wala kumbalaguza mtu#
Usijichanganye, chanzo ni baba yako kukuzaa Tanzania.
Muulize baba yako kwa nini asingechukuliwa utumwa ili uzaliwe Marekani?
 
Nimekuelewa vizuri mkuu kwa ufafanuzi,je tuilamu CCM?au hata sisi wananchi tumekuwa kama mazombie?
Kimsingi hapa wa kulaumiwa ni Watanzania, sisiemu inatumia upuuzi wetu kufanya inavyo fanya. Kama tungekua IMARA watawala wangetia akili. Unadhani rais wa Kenya anaweza tena kufanya maamuzi kijinga, never, wananchi wa kule wanaipenda nchi yao na sio chama chao. DP world waliitaka na bandari ya Mombasa but guess what? Wananchi walimwambia Ruto, "Jaribu uone" and the deal was dead
 
Maendeleo ya china ya leo muasisi wake ni Mao ambaye Nyerere alijinasibu kama ni rafiki yk
Tuweke historia kidogo hapa. Sijasoma sehemu, tulikuwepo.
1. Kama kweli Nyerere alikua hashauriki, why aliachia madaraka yeye mwenyewe kwa hiyari yake? Hakulazimishwa. October 1985 aliondoka Ikulu na kumpisha Mwinyi. Leo ni miaka 40 imepita. Tumeshindwa kubadirisha alioyaweka? Stupid
2. Mfumo wa vyama vingi, umeanza rasmi mwaka 1992 baada ya mzee Mwinyi kuunda tume ya jaji Nyalali, tume ilikuja na majibu kwamba, only 20% ya Watanzania ndio walitaka mfumo wa vyama vingi, 80% walitaka kuendelea na mfumo uliokuwepo. Kwanza hadi hapo, kosa la Nyerere liko wapi? It was him alikishauri chama chake kuachana na hao 80% waliotaka ccm kushika HATAMU. Bado tunamlaumu Nyerere? Walau akiwa hai, Police, Jeshi, Mahakama na hata bunge vilikua strong hasa baada ya mfumo wa vyama vingi and it was him alitapendekeza hata mgombea huru asie na chama akubaliwe kugombea, wahafidhina walimgomea hilo, mahakama pia ilimuunga mkono askofu Mtikila na Nyerere but Lumumba sports wamegoma hadi leo. Bado tunamlaumu Nyerere? Nonsense
Nyerere aliiacha nchi ikifuata mfumo wa ujamaa na kujitegemea, Azimio la Arusha pia...., tunavyo hivo vitu? Aliacha pia muungano wenye nchi 1 na serikali 2 but serikali moja ikiwa haina meno; leo hali ikoje? Kama tuliweza kubadiri mambo yake hayo mengi tu, tunashindwa nini kubadiri mengi aliofeli? Sawa sawa na wewe umezaliwa familia masikini, baba yako ni fukara lakini hadi watoto wako wanamlaumu babu yao kwa umasikini wao, huoni kama kunakua na upungufu wa akili kichwani? Miaka 40 bila Nyerere madarakani, miaka 33 bila Nyerere chamani na miaka 26 bila Nyerere duniani but still we blame him. Mleta uzi huna tofauti na viongozi wengi wa Africa wanaolalamikia umasikini wa nchi zao kwasababu ya kutawaliwa na wakoloni, wanasahau kama hata nchi zote za Asia except Japan nazo zilitawaliwa including China, now China ni nchi bora kiuchumi ikishika nafasi ya 2 duniani baada ya USA.
Yake je Nyerere hakumuona Rafiki yake anachofanya?
 
Hii ni
Nyerere kang'atuka madaraki miaka 40 sasa tangu 1985 na amekufa 1999 miaka 26 imepita......mwacheni marehemu apumzike

Watu kama nyie ukifeli maisha unasingizia mzazi
Nchi yeye ndiye anajinasibu kwamba ameleta uhuru lazima tumlaumu yeye acheni upumbavu wenu wa kumpamba
 
Kimsingi hapa wa kulaumiwa ni Watanzania, sisiemu inatumia upuuzi wetu kufanya inavyo fanya. Kama tungekua IMARA watawala wangetia akili. Unadhani rais wa Kenya anaweza tena kufanya maamuzi kijinga, never, wananchi wa kule wanaipenda nchi yao na sio chama chao. DP world waliitaka na bandari ya Mombasa but guess what? Wananchi walimwambia Ruto, "Jaribu uone" and the deal was dead
Nyerere yeye si ndio aliwajaza ujinga wa Tanzania? We unafikiri kama jomo kenyata angekuwa kama Nyerere nchi yao angefikia pale?
 
Back
Top Bottom