Bado hujani confince chochote, wala huajsoma tamko..umekurupuka
sorry to say this, usilazimishe watu wote waelewe ulivyoelewa wewe yawezekana wewe hujaelewa?
Bado hujani confince chochote, wala huajsoma tamko..umekurupuka
sorry to say this, usilazimishe watu wote waelewe ulivyoelewa wewe yawezekana wewe hujaelewa?
KUTUMIKA KAMA GOGO LA CHOONI KUBAYA SANA.
Waislamu fungueni macho you are being used!!!!!
Ndugu zetu hawa hawabebeki hata kwa guta!!
Kwani walilazimika kutoa tamko? Wahindi walitoa tamko? Rasta walitoa tamko? mabudhist walitoa tamko? Mabaha'i walitoa tamko? Mbona hamuwasemi? Mnataka kutuambia kuwa roho zenu zingesuuzwa tu pale ambapo Kadinali Pengo angetoa tamko? Hauoni kuwa huku ni kujidhalilisha kuwa bila kupata barka ya huyo mnayeona amewazidi hamtulii! Itakuwa vyema ukiweza kutuambia hao maaskofu ( ututajie majina) walitoa karipio gani kwa CUF! Badala ya kuwalaumu CCM Zanzibar ( ambayo imejaa waislamu wenzenu), nyinyi mmebakia kuwaandama wakristu ambao idadi yao huko Zanzibar ni kiduchu mno!Waislam wanalilia mfumo kristo Masheikh wanasema Maaskofu walinyamaza kimya mauaji ya Mwembechai na kutoa karipio kwa CUF walipouwawa waandamanaji kupinga matokeo na kudai katiba mpya 2001.
Usichanganye ukristu na dhehebu. Usichanganye kutengwa na kufutwa ukristu. Katika madhehebu mengi (pamoja na wakatoliki) hakuna mtu anayefutwa ukristu bali kuna kutengwa. Mtu anayetengwa anabakia kuwa mkristu na anaweza kurudishwa kundini anapotubu matendo yale yaliyomfanya atengwe. Mara nyingi mtu anatengwa kwa sababu vitendo vyake ( au maneno yake) vinatishia umoja wa jumuia anako -abudia. Kwa mfano, kwa wakatoliki, mtu akijulikana ametoa mimba anaweza kutengwa hadi hapo atakapotubu. Mtu akitengwa jumuia inafahamishwa kuwa fulani na fulani wamepetengwa na hawaruhusiwi kupokea sakramenti ingawa bado ni wakatoliki. Waluteri wanaweza kumtenga mtu kwa jumuia anakoabudu kupiga kura ya kumtenga.Wasema kwakuwa mgombea wao Padri Slaa ameanguka wamekuwa wakali kama pilipili wamefikia hadi kuwafuta uumini baadhi ya waumini wa kikristo Sumbawanga kwakuwa walienda kinyume na matakwa ya kanisa kwenye uchaguzi wa mwaka jana. Habari kubwa kwangu kumbe wenzetu mnaweza kupokonywa ukristo kwa barua?
Yale yale ya kutegemea ankal aje awakwamue kutokana na matatizo yenu. Nitajie nchi moja ambayo imeendelea kutokana na kuwa mwanachama wa O.I.C. Pakistan? Sudan? Kwani waislamu mnaishi kwenye visiwa ambako hamna uwezo wa kuhudhuria shule zilizopo? Au ambako mnakatazwa kufanya biashara. Badala ya kubaki kulalamika, mngetiana hima kutumia nafasi ambazo zipo. Mbona wakina Bakhresa wameweza? Au nao ni wakatoliki?Kisha wakasema "TAMKO LA WAISLAMU DHIDI YA KAULI ZA MAASKOFU Waislamu wameiomba serikali kujiunga na OIC kama njia mojawapo itakayowezesha nchi yetu kupata misaada itakayotumika kuinua hali za Waislamu ambao wameachwa nyuma sana katika elimu na uchumi.
Makanisa yote? Wewe unajua kuna madhehebu mangapi Tanzania mpaka utoe statement kama hiyo? Halafu unaingia kichwani kwa hao usiowajua na kutaka kuwasemea. Hii ni demokrasia na kila raia ( mkristu, muislamu, mhindu, mfuasi wa imani za asili, rasta n.k.) ana haki ya kupinga kwa sauti kubwa kitendo chochote asichokubaliana nacho. Ni wajibu wenu kuja na arguments za kuonyesha udhaifu wa hoja zao. Kufyata mkia na kulalamikia chumbani hakusaidii hoja yenu. Mnatakiwa mje na hoja zilizoenda shule na si hiyo ya kutaka kulinganisha O.I.C. na Vatican.Makanisa yote kwa kauli moja yamepinga kwa nguvu zao zote pendekezo hilo. Sababu ya kupinga kwao ni kuwa mkakati uliopo ni kuhakikisha kuwa Waislamu wanadhoofishwa katika kila hali, na ni makosa makubwa kuwaimarisha kiuchumi au kielimu maadui hao.
Tangu lini BERNARD Membe amekuwa Rais wa nchi hii? Au POLYCARP Pengo? Kama msimamo wa serikali ulibadilika wa kulaumiwa ni kiongozi wa serikali ambaye alikuwa na bado ni JAKAYA Mrisho Kikwete., Muislamu mwenzenu. Au nae ni mkatoliki wa siri? Ndiyo maana Membe alipoenda kumkumbushia alichoambiwa na Polycarp kuhusu mpango wao dhidi ya waislamu akaafik mara moja maana jina lake halisi ni JACOB na sio JAKAYA! Kweli hamna aibu.Serikali ilipofanya utafiti wake wa kina ikajiridhisha kuwa kujiunga na OIC kuna manufaa na hakuna madhara yoyote. Na Mh. Bernard Membe alitamka hilo Bungeni. Mara akaitwa na Askofu Mkuu wa Jimbo la Dar es Salaam, Muadhama Polycarp Cardinali Pengo na kukumbushwa mkakati wa kuwadhoofisha Waislamu. Msimamo wa serikali ukabadilika.
Mbona mnashindwa kila wakati kuthibitisha huo ubaguzi? Leo Rais ni muislamu, Makamu wake ni Muislamu, Jaji Mkuu ni Muislamu. Waziri wa ulinzi ni Muislamu, Waziri wa Mambo ya Ndani ni Muislamu. Mkuu wa Polisi ni muislamu. Mkuu wa Uslama wa taifa ni muislamu. Waziri wa Fedha ni Muislamu. Mmepewa Chuo Kikuu bure na rais Mkristu. Lakini bado mnadai kuwa mnabaguliwa. Sijui mkipendelewa ndio itakuwa vipi!Lakini propaganda za kuwazuga Waislamu zinasema Watanzania wote ni kitu kimoja na nchi hii haina ubaguzi!"
@fundo mchundo.una matatizo ya msingi.ishu nikwamba tuliwafukuza wakoloni wote wazungu na waarabu ili tujitawale.lakin wazungu waliendelea na wanaendelea kutuibia kwa mgongo wa kanisa hata wewe unajua lakin hutaki kukubali tu.
wewe mjinga mlala hoi Mahakama ya kadhi iliwekwa kwenye ilani wakati wa uongozi wa Mkristo mwenzenu Mkapa, na akaachiwa Kikwete ku implement ulitegemea nini hapo?Kwani Rais Kikwete ni MKATOLIKI?Makamba ni MLUTHERANI?Hivi sio hawa waliowaahidi mahakama ya Kadhi?Unapoandika "HAMTAKI" ni kama Kikwete au Makamba sio Waislam wenzenu.Tuondoleeni upuuzi wenu hapa.Kama mna malalamiko,mkalieni kooni ustaadh mwenzenu Kikwete.Mnajifanya kama hamjui kuwa JAMBAZI HANA DINI
Waislam wanalilia mfumo kristo Masheikh wanasema Maaskofu walinyamaza kimya mauaji ya Mwembechai na kutoa karipio kwa CUF walipouwawa waandamanaji kupinga matokeo na kudai katiba mpya 2001. Wasema kwakuwa mgombea wao Padri Slaa ameanguka wamekuwa wakali kama pilipili wamefikia hadi kuwafuta uumini baadhi ya waumini wa kikristo Sumbawanga kwakuwa walienda kinyume na matakwa ya kanisa kwenye uchaguzi wa mwaka jana. Habari kubwa kwangu kumbe wenzetu mnaweza kupokonywa ukristo kwa barua? Kisha wakasema "TAMKO LA WAISLAMU DHIDI YA KAULI ZA MAASKOFU Waislamu wameiomba serikali kujiunga na OIC kama njia mojawapo itakayowezesha nchi yetu kupata misaada itakayotumika kuinua hali za Waislamu ambao wameachwa nyuma sana katika elimu na uchumi. Makanisa yote kwa kauli moja yamepinga kwa nguvu zao zote pendekezo hilo. Sababu ya kupinga kwao ni kuwa mkakati uliopo ni kuhakikisha kuwa Waislamu wanadhoofishwa katika kila hali, na ni makosa makubwa kuwaimarisha kiuchumi au kielimu maadui hao. Serikali ilipofanya utafiti wake wa kina ikajiridhisha kuwa kujiunga na OIC kuna manufaa na hakuna madhara yoyote. Na Mh. Bernard Membe alitamka hilo Bungeni. Mara akaitwa na Askofu Mkuu wa Jimbo la Dar es Salaam, Muadhama Polycarp Cardinali Pengo na kukumbushwa mkakati wa kuwadhoofisha Waislamu. Msimamo wa serikali ukabadilika. Lakini propaganda za kuwazuga Waislamu zinasema Watanzania wote ni kitu kimoja na nchi hii haina ubaguzi!"
wewe mjinga mlala hoi Mahakama ya kadhi iliwekwa kwenye ilani wakati wa uongozi wa Mkristo mwenzenu Mkapa, na akaachiwa Kikwete ku implement ulitegemea nini hapo?
siku zenu zinahesabika!
We kweli shule imepanda?
MOU ni makubaliano baina ya serikali na makanisa ambapo serikali inachota pesa hazina zinaenda kusaidi taasisi za kanisa kama hospitali na vuyo.Sasa pesa zikishatoka hazina maana yake ni kwamba mlipa kodi yeyeote bila kujali dini yake kodi yake ipo hapo.Hatukatai kanais kuwa na taasisi zake lakini waendesha wenyewe bila kuchota pesa zetu hazina.
Nionavyo mimi nakuona wewe ni mtu unaelewa tunachodai ila kwakuwa unaangalia kwa jicho faida mnayopata wakristo katika upendeleo wa keki ya taifa umeamua kuwa mute (kuwa kipofu kwa makusudi), in summary tunadai haya:-
1. Kwakuwa kanisa lina mkataba na serikali wa kupewa remmittance in millions kutoka serikalini kwa ajili ya ku-finance hospitali per bed increment kila mwaka na kwakuwa waislamu hatukulalamika wakati wote tunaomba maaskofu waache kulalamika kuhusu process ya mahakama ya kadhi kwani ni mazungumzo yetu na serikali na wale viongozi wa serikali Hasa Pinda aache double standard kulishulikia hilo
2. Kwakuwa imeshapita miaka mingi na MoU imewafaidisha wakristo na kupendelea kwa kutoa pesa za umma kwenye taasisi zake ..hizo remmitance ziachwe, au zitolewe pia remmitance of the same scale kwa taasisi za kiislamu au zifutwe zote kama maaskofu wanakasirika pesa kwenda kwa taasisi za kiislamu (is this not just?) is this too much christians? au mmezoea kuchota pesa za serikali? ufisadi?
3. Kwakuwa nchi imeongozwa kwa muda mrefu kwa mgawanyiko wa kidini katika nafasi mbalimbali tunaomba swala hilo liwepo katika katiba, mgawanyiko uzingatie dini na qualifications ila kusiwe na ubaguzi wa kidini
Nguzo hata huoni aibu inachosema kwamba Kadhi iliwekwa na Mkapa ambaye ni mkristo akaachiwa Kikwete ambaye ni mwislam kuitekeleza lakini ameshindwa sasa hapo mchawi nani? Mkristo Mkapa au Mwislam Kikwetewewe mjinga mlala hoi Mahakama ya kadhi iliwekwa kwenye ilani wakati wa uongozi wa Mkristo mwenzenu Mkapa, na akaachiwa Kikwete ku implement ulitegemea nini hapo?
siku zenu zinahesabika!
Mkuu, tafadhali naomba utaje sehemu kama mbili hata tano hivi ambapo wazungu kupitia kanisa wanaliibia Taifa letu...
Vuta subira kidogo ninamalizia kuscann document inayoonesha namna makanisa yalivyo na viwanja vya ndege maeneo yenye rasilimali zetu za taifa nchi nzima na huruka na madini na mali nyinginezo za taifa bila kukaguliwa hii ni tangia ukoloni,uhuru hadi leo.Hakuna Tra wala uhamiaji huko.Zamani nilikuwa nawa-admire wazungu kuwa wanapenda dini yao na wako tayari kuitumikia hadi maeneo ya ndani kabisa ya nchi nilipokuwa nikiwaona huko kumbe maskini wako kwa ajili ya kutuibia kwa jina la kanisa.Tumeumizwa sana na watu hawa.Hapa simaanishi kuwa ukristu unaruhusu wizi wa aina hii lakini hii ni tamaa ya mwanadamu akiongozwa na shetani.Tamaa hiyo hiyo waliyoitumia kututawala na kuuwa babu zetu wengi huku wameshika bunuki mkono wa kulia na biblia mkono wa kushoto wakisema ukipigwa shavu la kulia geuza na la kushoto.Ukristu hauruhusu haya lakini wao wamefanya tena kwa jina la ukristu huo huo.
Wazungu hao hao bado ni kikwazo kikubwa cha maendeleo yetu,si ndo hao hao tunawapigia kelele hapa kwamba wanatupunja kwa mrahaba wa asilimia 3 wanapochimba madini yetu? Si ndo hao hao wanaotuingiza mkenge na mikataba mibovu wakishirikian na akina Sultani mangungu wetu wa zama hizi?Ukizungumzia ndege mbovu ya Rais,Rada,buzwagi nk ni wazungu wanaohusika.Wakti wanafanya hayo nchi zote za ulaya hasa magharibi bendera zao zina alama ya msalaba kama ishara ya mkombozi wao Yesu lakini hawatuonei huruma.We unataka ushahidi gani zaidi ya huo? Lakini subiri nilete ushahid mwingine.
Kaa chini fikiria kwa makini, je kabla ya kuja warabu na wazungu babu zetu walikuwa wana abudu nini, kwanini waje waseme hicho mnachoabudu si kweli, acha fuata cha kwetu {Uislamu au Ukristo}, wakati walikuwa wanaishi kwa kufuata mila na tamaduni zao kiasili, hii si haki kabisa, maaskofu na masheikh ni wanaoendeleza utumwa huu wa kidini na hawasemi ukweli kwa waumini wao, kibaya zaidi dinin hizi zilikuja kuchukua mababu zetu na kuwafanya watumwa katika nchi zao {Angalia Bagamyo-bandari ya zamani kuna nini-minyororo}.Jamani watu weusi tujitmabue asili yetu na tuthamini mila zetu, mtu anaona fahari kuitwa stephen badala ya masanja,ahmed badala ya matumla, kabila langu ndiyo dini yangu
Usisahau za wale WAZUNGU waliomegewa Loliondo na ambao wanaondoka na wanyama wetu kuwapeleka ULAYA! Au wale WAZUNGU ambao wanawinda wanyama wetu na A.K. 47! Na yule pilot MKRISTU aliyekamatwa red-handed akisafirisha dhahabu nje ya nchi lakini MKATOLIKI mwenzake ALI Hassan Mwinyi akamwachia akidai mama yake alimlilia sana! Na yule MKRISTU aliyesaini mikataba ya madini HOTELINI ambamo amewapa carte blanche waheshimiwa hao kukomba madini yetu. Juhudi zako za kuonyesha kuwa WAKRISTU NA WAZUNGU peke yao ndio wanaohujumu taifa letu ni lazima ziungwe mkono na wale wote wanaolitakia mema taifa letu.
Amandla.....
Vuta subira kidogo ninamalizia kuscann document inayoonesha namna makanisa yalivyo na viwanja vya ndege maeneo yenye rasilimali zetu za taifa nchi nzima na huruka na madini na mali nyinginezo za taifa bila kukaguliwa hii ni tangia ukoloni,uhuru hadi leo.Hakuna Tra wala uhamiaji huko.Zamani nilikuwa nawa-admire wazungu kuwa wanapenda dini yao na wako tayari kuitumikia hadi maeneo ya ndani kabisa ya nchi nilipokuwa nikiwaona huko kumbe maskini wako kwa ajili ya kutuibia kwa jina la kanisa.Tumeumizwa sana na watu hawa.Hapa simaanishi kuwa ukristu unaruhusu wizi wa aina hii lakini hii ni tamaa ya mwanadamu akiongozwa na shetani.Tamaa hiyo hiyo waliyoitumia kututawala na kuuwa babu zetu wengi huku wameshika bunuki mkono wa kulia na biblia mkono wa kushoto wakisema ukipigwa shavu la kulia geuza na la kushoto.Ukristu hauruhusu haya lakini wao wamefanya tena kwa jina la ukristu huo huo.
Wazungu hao hao bado ni kikwazo kikubwa cha maendeleo yetu,si ndo hao hao tunawapigia kelele hapa kwamba wanatupunja kwa mrahaba wa asilimia 3 wanapochimba madini yetu? Si ndo hao hao wanaotuingiza mkenge na mikataba mibovu wakishirikian na akina Sultani mangungu wetu wa zama hizi?Ukizungumzia ndege mbovu ya Rais,Rada,buzwagi nk ni wazungu wanaohusika.Wakti wanafanya hayo nchi zote za ulaya hasa magharibi bendera zao zina alama ya msalaba kama ishara ya mkombozi wao Yesu lakini hawatuonei huruma.We unataka ushahidi gani zaidi ya huo? Lakini subiri nilete ushahid mwingine.