Matamko ya (baadhi) waislam (Dar na Mwanza)

Matamko ya (baadhi) waislam (Dar na Mwanza)

Status
Not open for further replies.
:kev:

Islam IS NOT a RELIGION, but a complete civilization with a detailed political system, religion and a legal code – the Sharia(Political Islam // Articles // Sharia Law for Non-Muslims Chapter 2 May 31, 2010)

Jitahidini mwaya, mnaweza kufanikiwa kwenye lengo lenu, influencing your complete political system and religious legal code

Yes one day yes, for the betterment of the entire society..we have to gone for Islamic solutions (note becoming muslims)

One of the islamic solutions includes:-
1. Interest free banking- these will benefit all even non-believers
and many more
 
The problem ya haya matamko wanaoathirika ni wale ambao hawajui watayarishaji wa haya matamko wanapata fedha na kufaidika kupitia wao.

Haiwezekani mtu mzima na akili zako ukae upoteze muda kwenye makongamaono yasiyo kuingizia fedha! kuna tatizo!!

watakaoumia kwenye haya matamko ni watoa matamko wenyewe! iko siku itakuwa ngumu kula maneno uliyoyasema.

shida ni zetu sote, na hii ni nchi yetu sote
 
Imekuwa fasheni sasa kila mtu anakuja na tamko hadi yamepoteza maana yake kama kutoa matamko mmeona ni fasheni endeleeni.

Tunaendelea wala hatukuombi ruhusa, whether unataka au hutaki..who care? what/who are you?
 
kinachofuatia sasa ni vikundi vya waislamu wenye itikadi kali kuanza kuua watu. Mafisadi wameamua kuiharibu nchi kwa style hii.
Tukemee udini kwa nguvu zote
 
The problem ya haya matamko wanaoathirika ni wale ambao hawajui watayarishaji wa haya matamko wanapata fedha na kufaidika kupitia wao.

Haiwezekani mtu mzima na akili zako ukae upoteze muda kwenye makongamaono yasiyo kuingizia fedha! kuna tatizo!!

watakaoumia kwenye haya matamko ni watoa matamko wenyewe! iko siku itakuwa ngumu kula maneno uliyoyasema.

shida ni zetu sote, na hii ni nchi yetu sote

Very low for you, unafikiri watu hushiriki kwenye mambo kwa ajili ya fedha..

Hiyo ni least incentive for me to do things.
 
Wazee wa ubwabwa na pilau ndiyo zao hizo. Hawana jipya. Tumewazoea. Wakati wao wanalalamika, sisi tunasonga mbele kama kawa.
 
Tunaendelea wala hatukuombi ruhusa, whether unataka au hutaki..who care? what/who are you?
Imesaidia nini toka muanze kutoa matamko ulishasikia serikali inafanya kazi kwa matamko.
 
Wazee wa ubwabwa na pilau ndiyo zao hizo. Hawana jipya. Tumewazoea. Wakati wao wanalalamika, sisi tunasonga mbele kama kawa.

Sasa si mnyamaze mbona kiroho juu mkisikia tamko tu, ngoja action ndio muharo utawatoka, subiri utajua ni wazee wa pilau au la
 
Mimi nakerwa sana na hii tabia ya kikundi kidogo cha watu kusema wale wanayo taka sema kisha kusingizia eti ni tamko la dini fulani, na mbaya zaidi wengine pia hukurupuka na kujibu kwa ujumla wake. maaskofu wa Arusha walivyotoa tamko kwanza hawakusema lile ni tamko la maaskofu wote nchini, maana tamko ili liwe la maaskofu wote ni lazima litolewe na baraza la maaskofu Tanzania. Sasa kinachosikitisha zadi ni hiki kikundi kidogo cha mashehe wa Dar nao kukurupuka na kujibu hoja, na basi wangejibu kama wanajibu Maaskofu wa AR, wao wametoa tamko la kujibu wakristo kwa ujumla wao, mbaya zaidi suala hili linazidi kuchochewa na vyombo vya habari tukiwemo JF. kwa jinsi nalivyosoma maoni ya wachangiaji, ni kama tunaelekea kule kulke walikotaka mshehe tuelekee, yaani kuufanya mgogoro wa AR, kuwa ni wa kidini. Mimi nafikiri tuache kujadili kwa kusema waislamu hivi waislam vile , wameskosa hiki wako hivi au vile, au kusema Wakristo ni bora, wanahiki na kile wana hivi wamefanikiwa au vile. Ni bora tuwajadili hao wachache waliotoa matamko, na mimi ningefikiri ingelikuwa bora zaidi kama tungewapuuza, maana kama tunawapa coverage kubwa hivi ni kuwapa wote Maaskofu na Mashehe waliotoa matamko, umuhimu ambao hawastahili kwa jambo hili. Sisi ni wamoja licha ya tofauti zetu nyingi tu baina ya dini zetu na hata baina ya sisi kwa sisi wa dini na imani moja!
 
Imesaidia nini toka muanze kutoa matamko ulishasikia serikali inafanya kazi kwa matamko.

Ndg yangu Quinine kwa nini usiwaache tu hao wazee wa ubwabwa. Inawezekana kwa kutoa tamko, wanapata amani, wanatulia na wanaendelea na ubwabwa wao. Acha waendelee na staili hiyo.
 
this is wastage of time and JF Server Space nawashauri Mods waunganishe hii na yale matamko yaliyotoka Dar..., comment za kule zinapply tena hapa..... Jamani we can use our time more constructively kuliko kujadili vitu ambavyo haviwezi kutekelezeka..., watu mtatukanana na kuvunjiana heshima mwisho wa siku, vitu vinavyotakiwa ni impractical...
:closed_2:
 
Ndg yangu Quinine kwa nini usiwaache tu hao wazee wa ubwabwa. Inawezekana kwa kutoa tamko, wanapata amani, wanatulia na wanaendelea na ubwabwa wao. Acha waendelee na staili hiyo.

Ukitaka uwapate waislamu wenzangu wewe weka ubwabwa na pilau! watatoa matamko bila kukoma.
 
......
Swali lilikuwa ni kwanini wakristo shule zao zote zimerudishwa na za waislam zimeendelea kushikiliwa na serikali.
Kwapamoja Waislam waliunga mkono tamko kwa kauli moja.
Hawa wana hakika kuwa shule zote za wakristo zimerudishwa?
 
Hayo matamko mbona hayana suluhisho? Huku wanatoa matamko ya kusifia serikali wakati huohuo wanatoa matamko ya kuonewa hawa watu wana akili timamu kweli? toa tamko ambali linakuwa na msimamo unaoeleweka siyo unalalamika unaonewa ukiambiwa tuitoe CCM madarakani hamtaki. Kweli ukikosa elimu ni sawa na mfu, elezeni mnataka nini mueleweke siyo kutupigia makelele yasiyo na kichwa wala miguu. Kama hamuitaki CCM na serikali ya semeni siyo mnaogopa kwa vile mnajua viongozi wake wakuu ni waislamu mnabaki mnatoa matamko ambayo hamjui mnataka nini.
 
Hawa wana hakika kuwa shule zote za wakristo zimerudishwa?

waulize ni njia gani zilizotumika kurudisha shule. Ili urudishiwe shule yako serikali imeweka mashart lazima ujenge shule nyingine ambayo wale wanafunzi wataenda kusoma ndio wanakupa shule yako.
Mbona shule za wakristu nyingi tu hazijarudi. mfano Tosamaganga sec, Iringa girls, pugu Boyz, Chuo cha ualimu Morogoro(Kigurunyembe TT).
Duh mbona wakristu wangerudishiwa shule zote ingekua tatizo hapa nchini
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom