Matamko ya (baadhi) waislam (Dar na Mwanza)

Matamko ya (baadhi) waislam (Dar na Mwanza)

Status
Not open for further replies.
Usisahau za wale WAZUNGU waliomegewa Loliondo na ambao wanaondoka na wanyama wetu kuwapeleka ULAYA! Au wale WAZUNGU ambao wanawinda wanyama wetu na A.K. 47! Na yule pilot MKRISTU aliyekamatwa red-handed akisafirisha dhahabu nje ya nchi lakini MKATOLIKI mwenzake ALI Hassan Mwinyi akamwachia akidai mama yake alimlilia sana! Na yule MKRISTU aliyesaini mikataba ya madini HOTELINI ambamo amewapa carte blanche waheshimiwa hao kukomba madini yetu. Juhudi zako za kuonyesha kuwa WAKRISTU NA WAZUNGU peke yao ndio wanaohujumu taifa letu ni lazima ziungwe mkono na wale wote wanaolitakia mema taifa letu.

Amandla.....

Mkuu ndo maana nakwambia "hawa jamaa" hawajui kujenga hoja! Wanalamikia BAKWATA..kwamba iko useless kwa sababu iliundwa na serikali...leo wanataka serikali hiyo hiyo iwaundie mahakama ya kadhi....akili iko wapi..wamesahahu kwamba anayemlipa mpiga zumari ndo huchagua wimbo...yaani mnataka serikali itumie hela za walipa kodi..harafu muwe independent? kuingiliwa na kufanyiwa maamuzi ndo gharama ya vitu vya bure! Hata sisi tukipokea misaada ya nje..ndo hao hao..wanatufanyia maamuzi...Its normal...kama hutaki epuka vitu vya bure....Na ndo maana wenye akili wanapinga hii biashara ya OIC..maana tunajua athari ya vitu vya bure..kesho hatujakawia kuvalishwa kanzu wote humu nchini....ndo maana tunasema..anzisheni..hiyo misaada mpewe huku huko misikitini....its simple....hivi vitu vina madhara nyinyi hamjui tuu...Free things? Ogopa!

Hivi kuna Muislamu umeshasoma Mufti Act ya Zenji? Kudadadeki..yaani hata Mufti mkuu ni chaguo la mkuu wa nchi....sasa sijui ikitokea Masanja akawa Presida wa Zenji..itakuwaje..mtakubali awachagulie Mufti wakati siyo "mwenzenu"?. leo mnasema mnanyanyaswa..ila walioshika mikoba yote muhimu ya taifa letu ni " wenzenu" I am sorry to say..mimi juzi niliangalia Morogoro Muslim University (Fundi ndo jina halisi hilo?)..haki ya nani..ukiangalia qualifications za walimu..you wonder whether these dudes are really serious with education......Its scary....Mpaka wenzetu mtakapoacha kuchanganya mambo ya dunia na yale ya kule mbinguni..you are in this predicament for a long time to come! Waarabu siko hizi nao wao wako busy wanajifunza mandarin na lugha nyingine..waweze ku-compete kwa hizo opportunities..sisi bado tunaona fahari wanetu kuzungumza kiarabu..well, It might be a good thing..but not good enough to liberate you guys...MI NAWAAMBIA MAADAMU SISI NI WAMOJA..TUPIGANE HAWA MAFISADI WAACHA KUTUIBIA..TUIENDELEZE NCHI YETU..NA WOTE TUFAIDIKE..SASA KAMA MNAONA KWAMBA ITS US VS. THEM..BASI ENDELEENI..ILA MJUE HALI NGUMU NI KWETU SOTE..NDO MAANA TUNAHANGAIKA KUITAFUTA ELIMU DUNIA..

Ushauri wangu kwa hawa ndugu zangu...YOU CANT HAVE IT BOTH WAYS....MNATAKA..SERIKALI IWAPE YAKE YA DUNIA....KWAMBA MNANYANYASIKA..YET YOU DONT WANT TO PAY THE PRICE..

BE CAREFUL WITH WHAT YOU WISH FOR....YOU MIGHT GET IT!
 
Ndugu yangu, nakuomba upunguze kusoma ma-conspiracy theory ya ajabu ajabu, yatakupeleka pasipo marejesho. Wazungu ni wezi, ndiyo. Waarabu ni wezi, ndiyo. Miafrika tunachezewa na hawa watu kutokana na ujinga, upumbavu, tamaa, ubinafsi wetu. Dini ni kigezo tu. Msingi wa kutenganisha dini/imani na mambo yetu kama binadamu au jamii/taifa ni muhimu zaidi. Ukisoma signature yangu nimeashiria hili. Angalia sasa thread ifuatayo: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/104941-atcl-sued-for-breach-of-contract.html .... unafikiri wazungu wametumia kanisa hapa kuiba, au ni ubinafsi na tamaa ya mitanzania myenzetu??!!

Sasa na wewe unataka kutupeleka kwenye kujadili mila anzisha basi thread inayohusu mila tuijadil.
Elewa tu kwamaba hata hao wzungu na waarabu walikuwa na mila zao kabla kuja dini hizi.Miongoni mwa mila za waarabu kabla ya uislam ni pamoja na kuabudu masanamu,kuzika watoto wao wa kike wakiwa wadogo eti kuogopa aibu,mwenye nguvu ndo alikuwa na haki na machafu mengine mengi tu.Hata wazungu ukristu sio asili yao.Yesu hakuwa mzungu,nao walikuwa na mila za hovyo kabla ya ukristu kuwafikia. hakuna ubaya kama kinapatikana kitu kizuri hata sisi weuai tukakifuata kama kina manufaa.Sisi pia tulikuwa tunavaa ngozui za wanyama na magome ya miti kbla ya wageni,tulikuwa pia na mila nyingine chafu kama vile kukeketa wanawake nk.Heubu usiturudishe nyuma ngoja tusonge mbele.
 
Sina la Kusema, bali naamini MUNGU ALIYE HAI, MUNGU MWENYE UPENDO KAMILI, MUNGU MTAKATIFU MWENYE USHINDI ATASIMAMA, Ukweli utakuja kuonekana wapi na Ushindi wapi.

TUMUACHIE MUNGU, YEYE ATAONYESHA.

MUNGU MKUU ATASIMAMA!
 
Mahakama ya Kadhi ni sehemu ya ibaada ya kislamu hivyo serikari haiwezi ku play a role hapo, mzee wewe mbona unakuwa kihiyo hivyo, huwezi linganisha MOU na mahakama ya kadhi na MOU, unadhalilisha uislamu ndugu, kwa nini waislamu wasifuate taratibu za dini ya kislamu na kuanzisha KADHI, Kama waislamu wanataka MOU ya kutoa social services kwa jamii hilo halina ubishi na hakuna mtu atakaepinga, lakini sio swala kadhi, that will never happen.

Kama Nyinyi ni waislamu wa kweli kwa nini mnasema Mahakama ya kadhi itashughulikia maswala ya mirathi na ndoa tu? kwa nini msifuate jinsi quraan tukufu inavyosema yaani sheria law! mwizi wa kislamu akikamatwa anakatwa mkono, mzinifu wa kislamu akikamatwa apigwe mawe! mbona hivyo vipengele mnavikwepa wa ndugu, Tuache unafki wa kujifanya nyinyi ndo mnaujua sana uislamu kuliko watu wote, nyinyi ni wanafiki tu ambao ni wa kupuuzwa

Endeleeni kutupuuza, lakini sisi hatutaacha kudai, na nakuhakikishia tutapata tunachodai..kwa njia yeyote ile, maaskofu wachukie, wewe uchukie..we don't care

Lini?, any time..this mission is not time bound..it is a continous mission.
 
Usijidanganye. Hatutawapuuza aslani. Kila mkileta upuuzi tutawaandama. Hilo mkae mkijua. Hatuwezi kukubali wapuuzi wachache mtuchafulie nchi.

Amandla....
 
Topical,

..hivi CCM ilitoa tamko gani kuhusu mauaji ya Pemba na Mwembechai?

..kwanini leo Mashekhe na Maimamu wanasimama upande mmoja na CCM chama ambacho serikali yake imehusika na mauaji ya Waislamu?

..Mashekhe wanadai walikwenda kwa Spika Msekwa na kumuomba aitishe uchunguzi wa bunge kuhusu mauaji ya Waislamu. Inasemekana Msekwa alikataa akidai bunge halina fedha. leo hii Msekwa ni makamu mwenyekiti wa CCM na Waislamu wamekikumbatia chama hicho!!!

..je, CCM wameshawaomba radhi Waislamu?
 
waliowaletea hizi dini wenyewe wako kimya wanawaza maendeleo,nyinyi mnawaza kubaguana, kama sio akili mbovu ni nini?
miafirika bwana tuko hovyo!

Hapo umenena mkuu. Nafikiri huu ni wakati wa kuacha kufuata mfumo wa pembe tatu: Nyumbani----------------Kazini/Ofisini................Msikitini/Kanisani, tuanze kufuata mfumo wa pembe mbili: Nyumbani..................Kazini. Full stop, ilmradi kila mtu na Bible au Q'uruan yake mkononi, kusali/kuswali usiku saa 4 baada ya kazi za kutafuta fedha.
 
Nani alikwambia jiwe usafishwa kwa maji likatakata? ukidhani natania chukua maji lita milioni 4 safisha jiwe uone kama litatakata! Ndivyo walivyo wahadhili wa kiislamu awe wa chekechea au chuo kikubwa (sio kikuu) hawasaidiwi kwa elimu ya darasani. Ndio sababu tuna wakina Kikwete kwenye game!

Na hao maaskofu pamoja na usomi wao mbona wameshindwa hadi leo kuwatofautishia waumini wao baina ya binaadamu na mungu. Mnadanganywa mungu binaadamu, aliyezaliwa na mtu (yaani ana mama sasa sijui mkuu kicheo ni nani huyo mungu au mama yake), akavishwa nepi, akajinyea, akachambwa, akalala usingizi ( ina maana wakati kalala mungu huyu hajui linaloendelea duniani, aaahh nimesahau labda akilala mungu mwenzie "mungu baba" anachukua zamu ya kuangalia mambo yote yanakwenda sawa). Yaani hadithi hizi kwa msomi haziingii akilini, lakini wenyewe mnajiita wasomi, ndiyo huku? Lakini cha kustaajabisha ni kwamba hao mnaowaita mazoba waliokwenda madrasa jambo hili wameweza kulingamua na kutofautisha baina ya binaadamu na yule anayestahiki kuitwa MUNGU.
 
haya ya maprof wa mum ni kipimo sahihi dhidi ya elimu akhera na madhara yake kwa ndugu zetu hawa wazee wa kanzu na barakhashee! ni bomu linalosubiri kulipuka punde wataanza kujitoa muhanga wana eneo gani Tanganyika wanakoweza kudai ni kwao mpaka wajitenge mbumbumbu nyinyi wa fikra na uelewa ulio sahii!

Hili la kujitenda inaonesha limewauma kweli. Sasa mnatakaje tuendelee kuwa wote? Sisi tunakuleteeni mahakama ya kadhi, tutajiunga OIC, hijab full nondo kwa maana yake halisi, na elimu akhera sasa ndiyo tutaingurumisha hasa (kila utakaembonyeza anakutemea cheche), yaani mpaka hewa hii tunayovuta inukie uislam. Hamtaki?
 
Kwa hoja hizi mnazotaka kutumia sidhani kama itawezekana, waambie hao viongozi wenu mkae chini mbuni mbinu nyingine itakayowatoa na si hii wanayotaka kuitumia.
 
Waislam mwanza leo wameunga mkono tamko la diamond jubilee.

----------------------

Waislam jijini Mwanza leo wakiwa wamekutana katika viwanja vya shule ya msingi Mbugani ndani ya wilaya ya Nyamagana.

Kongamano hilo lilihudhuliwa na mamia ya Waislam kutoka maeneo mbalimbali ikiwa ni pamoja na mikoa jirani na jiji la Mwanza.

Kongamano hilo lilihutubiwa na wahadhiri maarufu ambao ni pamoja na Ustadh Ilunga Hassan kapungu pamoja na Mohammed Issa kutoka shinyanga.Mada ya kwanza ilitolewa na Ustadh Ilunga ambayo ilihusu historia ya uislam kabla ya uhuru na baada ya uhuru ambapo mada hiyo ilielezea kwa mapana madhila yaliyowakuta waislam pamoja na mfumo kristo katika serikali.

Aidha mada ya pili ilielezea kuhusu katiba,ambapo Ustadh Mohammed Issa aliwataka waislam kuingia katika mjadala wa katiba badala ya kupuuzia na kusema hayo ni ya siasa.Mwisho Ustadh Kabeke alisoma tamko kwa niaba ya waislam wote na madhehebu yote.

Pia suala la madai ya shule ya Msingi ya Mbugani yaliibuka tena,na hilo limetokana na uandikishwaji wa wanafunzi wapya.Shule hiyo iliyojengwa na waislam enzi za uhai wa EAMWAS na kutaifishwa na serikali ya awamu ya kwanza.Madai haya si mapya kwani shule hiyo ilikua kwenye mchakato wa kurudishwa lakini chakushangaza wanafunzi wapya wameandikishwa.

Swali lilikuwa ni kwanini wakristo shule zao zote zimerudishwa na za waislam zimeendelea kushikiliwa na serikali.

Kwapamoja Waislam waliunga mkono tamko kwa kauli moja.
 
Go brothers/sisters go, tuendelee kuwaelimisha waislamu wote waelewe kwanza, action will follow.
 
Njaa. Utakuta hapo kila shehe kanunuliwa yeboyebo.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom