Matamko ya (baadhi) waislam (Dar na Mwanza)

Matamko ya (baadhi) waislam (Dar na Mwanza)

Status
Not open for further replies.
Mfa Maji haishi kutapatapa, hivyo CCM wanazidi kupotea, BAKWATA pia ni asasi ya CCM jamani tusipotoshwe na hilo
 
ila ss CCM itawatumia kwa kivuli chenu kama mti jua likishazama na giza kuingia bac itakata huo mti na kuufanya kuni ya kuokea moto ili ajikinge na baridi la usiku... na hapo ndipo mtakapo kuwa wa kwanza kuwarushia mawe...
Hili nalo neno baada ya mti kuungua na kuwa mkaa CCM itatumia huo mkaa kuwakaanga hao hao kwa kuwaambia wasiendeleze udini ikawa jioni ikawa usiku miaka mitano ya Kikwete imekwisha Kikwete hana sauti tena.
 
One Question,ndugu zangu waislamu,majirani,marafiki zangu kuna siku watoto walipelekwa shule wakarudishwa nyumbani wasisome kisa wao ni waislamu??????Kikwete amekuwa mbunge,waziri na sasa rais wa Tanzania nimetembelea jimbo alilokuwa anaongoza hali ni mbaya hivi kweli adui yenu ni ukristo??????

My take:kuna kitu mnatafuta lakini mnatafuta pakutokea wazee
 
Jiulize mbona shule ya msingi umesoma na waislam wengi Sekondari wakati ule kidato cha kwanza "wanachaguliwa" walikuwa wanachaguliwa waislam wangapi? ilhali wakristo walikuwa na fursa kwenye shule zao za seminari nyingine zilikuwa chini ya East African Muslim Welfare Society chini ya Aga Khan shule hizo moja wapo ni Tambaza, Azania na shule ya msingi Lumumba hizi ni kwa uchache tu.
 
Mkuu ndio maana bidhaa za kutoka ulaya lazima zije na menu ya know how, hivi hujiulizi kwa nini mpaka leo kikwete na makamba hakuna anayeitwa alhaji? na sifa ya kuitwa alhaji ni kwenda kuhiji macca basi, je watu hawa hawana nauli ya kwenda kuhiji?

Sijakuelewa unataka kusema nini kuhusu JK na Makamba!

Kwani masharti ya kwenda Hija huko Macca kwenye LILE JIWE JEUSI(Black stone) yanasemaje?
Je,wewe mwenyewe ulishaenda??Mimi ndo huwa nasema kuwa dini yenu haina KANUNI maalumu. Ukienda KUHIJI SAWA USIPOENDA vilevile sawa. Kulingana na kanuni za dini yenu sio lazima kwenda HIJJA. Kwa hiyo huwezi kuwahukumu JK na Makamba kwasababu hawajaenda hijja.

Kuna Waislamu wengi tu ninaowafahamu ambao walishakwenda Macca kuhiji wakiwemo kina Sheikh Yahya.Lakini huko kwenda kwao Macca hakujawabadilisha chochote, BADO NI VIGAGULA WANAOTUMIA MAJINI KUROGA NA UCHAWI KAMA SHEIKH YAHYA ALIVYODAI KUWA KAMWEKEA KIKWETE ULINZI WA JINI LISILOOONEKANA. Tumeshaona kina ALHAJI wakiwasomea watu AL-BADRI ili wafe au kudhurika!!!!

Ukiichunguza sana hii DINI YA UISLAMU hakika ni dini ya mapepo na majini perce!. Ndo maana kwenye Kuruan kuna kipengele kinachosema eti ALLA(Mungu wa Waislamu) KAUMBA MAJINI NA WANA ADAMU ILI WAMWABUDU!!!!Hivi MAJINI ambayo asili yake ni mashetani yanaweza kumwabudu Mungu wa kweli????Hapa ndipo penye AKILI ZENYE HEKIMA ZINAZOWEZA KUPAMBANUA ukweli kuhusiana na hii imani ya Waislamu.

Tumeshasikia kina AL-HAJI wakisoma FATWA na KUTAKA VICHWA VYA WATU kama MWANDISHI WA VITABU Salmin Rushdie JAMAA ALIYEUPONDA UISLAMU NA KUSEMA KWENYE KURUANI KUMEJAA AYA ZA SHETANI. Which is very true to the dot. Maana kama unasema ALLA KAUMBA MAJINI(MASHETANI) NA WANADAMU ILI WAMWABUDU BASI NA AYA ZA MAJINI(MASHETANI) ZITAKUWEMO KWENYE KURUANI!

WAISLAMU WANAPOSOMA AL-BADIR WANANUKUU AYA ZA KURUANI. MTU ANASOMEWA AYA MPAKA ANAKUWA KICHAA AU ANAKUFA!!!SASA HAPA UKIJIULIZA, HIZI AYA ZA AL-BADRI NI ZA MUNGU YUPI ANAYERUHUSU MAANDIKO YAKE MATAKATIFU YATUMIKE KUDHURU WATU WAKE???

Kweli UISLAMU ni DINI ya wababaishaji. SIJUI HUWA WATU WANASHAWISHIKA NA NINI MPAKA WANASLIMISHWA. DINI IMEJAA MAUZA UZA TUPU. DINI ZINGINE BANA TAABU KWELIKWELI.
 
Sijakuelewa unataka kusema nini kuhusu JK na Makamba!

Kwani masharti ya kwenda Hija huko Macca kwenye LILE JIWE JEUSI(Black stone) yanasemaje?
Je,wewe mwenyewe ulishaenda??Mimi ndo huwa nasema kuwa dini yenu haina KANUNI maalumu. Ukienda KUHIJI SAWA USIPOENDA vilevile sawa. Kulingana na kanuni za dini yenu sio lazima kwenda HIJJA. Kwa hiyo huwezi kuwahukumu JK na Makamba kwasababu hawajaenda hijja.

Kuna Waislamu wengi tu ninaowafahamu ambao walishakwenda Macca kuhiji wakiwemo kina Sheikh Yahya.Lakini huko kwenda kwao Macca hakujawabadilisha chochote, BADO NI VIGAGULA WANAOTUMIA MAJINI KUROGA NA UCHAWI KAMA SHEIKH YAHYA ALIVYODAI KUWA KAMWEKEA KIKWETE ULINZI WA JINI LISILOOONEKANA. Tumeshaona kina ALHAJI wakiwasomea watu AL-BADRI ili wafe au kudhurika!!!!

Ukiichunguza sana hii DINI YA UISLAMU hakika ni dini ya mapepo na majini perce!. Ndo maana kwenye Kuruan kuna kipengele kinachosema eti ALLA(Mungu wa Waislamu) KAUMBA MAJINI NA WANA ADAMU ILI WAMWABUDU!!!!Hivi MAJINI ambayo asili yake ni mashetani yanaweza kumwabudu Mungu wa kweli????Hapa ndipo penye AKILI ZENYE HEKIMA ZINAZOWEZA KUPAMBANUA ukweli kuhusiana na hii imani ya Waislamu.

Tumeshasikia kina AL-HAJI wakisoma FATWA na KUTAKA VICHWA VYA WATU kama Salmin Rushdie JAMAA ALIYEUPONDA UISLAMU NA KUSEMA KWENY KURUANI KUMEJAA AYA ZA SHETANI. Which is very to true to the dot. Maana kama unasema ALLA KAUMBA MAJINI(SHETANI) NA WANADAMU ILI WAMWABUDU BASI NA AYA ZA MAJINI(MASHETANI) ZITAKUWEMO KWENYE KURUANI!

WAISLAMU WANAPOSOMA ALBADIR WANANUKUU AYA ZA KURUANI. HAPA MTU ANASOMEWA AYA MPAKA ANAKUWA KICHAA AU ANAKUFA!!!SASA HAPA UKIJIULIZA HIZI AYA ZA AL-BADRI NI ZA MUNGU YUPI ANAYERUHUSU MAANDIKO YAKE MATAKATIFU YADHURU WATU WAKE???

Kweli UISLAMU ni DINI ya wababaishaji. SIJUI HUWA WATU WANASHAWISHIKA NA NINI MPAKA WANASLIMISHWA. DINI IMEJAA MAUZA UZA TUPU. DINI ZINGINE BANA MATATIZO KWELIKWELI.

Wewe kabila gani? pengine itakuwa vizuri tukikufahamisha jini ni nini na shetani ni nini kwa kilugha. Hayo ni majina mawili yenye maana tofauti mkuu. kama huelewi bi bora uulize usiropoke tu utaonekana mjinga.

Ama neno 'Shetani', katika lugha ya kiarabu maana yake ni 'Kila anayeasi na kupinga au kuzuwia au kushawishi viumbe wasiifuate njia ya MwenyeziMungu', awe Jinni au Mwanadamu.
MwenyeziMungu Anasema:
"Na nama hii tumemfanyia kila Nabii maadui (nao ni) mashetani katika watu na (mashetani katika) majini. Baadhi yao wanawafunulia wenziwao maneno ya kupambapamba ili kuwadanganya."
Al An am 112

Ameitwa JINNI kwa sababu ya kutokuonekana kwake na watu, na hii ni kwa sababu kila kisichoonekana kwa jicho la binadamu katika lugha ya kiarabu jina lake hutokana (hutoholewa) na herufi mbili hizi; (Jiym) na (Nuun).
 
Wewe kabila gani? pengine itakuwa vizuri tukikufahamisha jini ni nini na shetani ni nini kwa kilugha. Hayo ni majina mawili yenye maana tofauti mkuu. kama huelewi bi bora uulize usiropoke tu utaonekana mjinga.

Mimi sio mwislamu, lakini huyo bwana ni mwehu amekurupuka hata mantiki ya swali langu haelewi, sasa ndio nimeani kwanini darasa linakuwa na wanafunzi 50 halafu wanafaulu 10 tu, shida yenyewe ndio hii. mambo ya majini au uchawi yana dini tangu lini? ni watu wa aina zote kutoka dini zote na makabila yote, wanashiriki mambo ya ulonzi.
Hoja ya kwenda macca ni nguzo muhimu ya uislamu kwa wale wenye uwezo wa kifedha za kuwapeleka huko kukamilisha ibada yao. ndio maana najuwa JK na Makamba uwezo huo wanao kwa nini hawaendi kuhiji? sasa jitu badala ya kujibu hoja linapayuka kama bata. AM A CHRISTIAN BUT I RESPECT MUSLIMS FAITH.
 
Hivi tukijiunga OIC miisada tutapewa kama nchi au watapewa waislam peke yao?? Maana kama ni misaada tu bila udini kwa nini inakuwa ni big deal kwa wenzetu??
 
Nakufananisha na one of true great thinkers humu JF jamaa naitwa M.M Mwanakijiji lakini kwa mbaliiii usipate bichwa ukashindwa kupita mlangoni. Jamaa yupo fair sana na ana reason out. Sifa yake nyingine kuu hachangii kama hana cha kusema tofauti na wengi wetu humu ndani yeye atavamia na kuchangia nje ya topic. Nimekugongea ji senks kuonyesha msisitizo.
 
Hivi tukijiunga OIC miisada tutapewa kama nchi au watapewa waislam peke yao?? Maana kama ni misaada tu bila udini kwa nini inakuwa ni big deal kwa wenzetu??

refer to Uganda misaada inaenda kwa watu wote na sio waislam peke yao. Tatizo nadhani wanalo vifuani mwao bora waweke wazi ilitujue jinsi ya kuliface kuliko kulificha kwenye vifua vyao.
 
waliowaletea hizi dini wenyewe wako kimya wanawaza maendeleo,nyinyi mnawaza kubaguana, kama sio akili mbovu ni nini?
miafirika bwana tuko hovyo!
Nimekusoma sana mtu mzima na ndio maana sisi waafrika wenzetu wakikimbia sisi tuna tembea,tujiulize ni mtu gani mweusi aliwahi kuwa walau nabii au mtume wa Mungu?
angalia Yesu alitokea pande za Misri
Mtume Mohamed alitokea maka,je sehemu hizo ni weusi au weupe?
Tazama teknolojia zinaanzia kwa wazungu kisha tuna fuata sisi(weusi)
Tutumie sana maarifa kutanzua hii migogoro na serikali kama inavyo sema haina dini ingawa waliomo ndani yake wana dini,isijihusihusishe na mambo haya.
Naamini kama itendelea tunakoenda ni kwenye vita za kidini.
Wanajf tuelimisha juu ya hili tusije angamia.
 
Mohammed Shossi
Senior Member

Join Date
Mon Jan 2011

Posts
213
Thanks
6
Thanked 61 Times in 27 PostsRep Power
21

Inaonekana umejiunga mwezi huu Monday. Mwezi huu umeshakuwa na Monday 2 tu. Kasi yako ya kupost inanipa mashaka si bure!
 
Exactly, tegemeo lao la mwisho ambalo litawafanya waanze kurusha mawe ni pale ahadi ya kuanzishwa Mahakama ya kadhi na OIC itakapoyeyuka wait and see.

Msitake kuwasemea WAISLAM mbona wakirtu wengi tu wapo CCM? WASLAM wote sio CCM, naona nyie CHADEMA mmeishajitenga kabisa na WAISLAM hamuwataki sababu mnae MPADRI wenu.
 
Mungu wa Israel akuangazie na Moto wa Roho Mt ukuongoze kwa kuunguza na kuchoma mawazo machafu na na yote yenye hila yaliyojaa ndani ya mioyo yenu yenye hila chafu.

Mwisho aliyekutuma na apotelee kuzimu moto wa Mungu umuwakie.

Na iwe hivyo kama ulivyosema!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
refer to Uganda misaada inaenda kwa watu wote na sio waislam peke yao. Tatizo nadhani wanalo vifuani mwao bora waweke wazi ilitujue jinsi ya kuliface kuliko kulificha kwenye vifua vyao.

Hili tatizo la kudhania kuwa kila kitu kitatatuliwa na misaada ndo linaendeleza umaskini kwa sisi waafrika, na ndio alilonalo hata JK. Zanzibar ni nchi ya kiislam na haijakumbana na hizo dhuluma mnazosema zzimefanywa na wakristo lakini haina utajiri wa kutisha kujitenganisha na nchi nyingine za ukanda huu wa africa, sanasana wao wapemba wanalaumu waunguja kama ndio chanzo cha umaskini wao. Mimi nimependa kitu kimoja katika tamko la Masheikh, tugawane hii nchi ili kila mtu awe na kwao aendeshe maisha kivyake badala ya watu kushinda vijiweni kutwa nzima hawafanyi kazi halafu wanasingizia watu wengine ndo chanzo cha matatizo yao.
 
Hivi kwani waliotoa hilo tamko siyo waislamu wa BAKWATA?? Na ka ni kweli waislamu wameisusia Bakwata kwa NINI BADO SHEIKH Mkuu ana nguvu katika Uislam Tanzania??
 
Msitake kuwasemea WAISLAM mbona wakirtu wengi tu wapo CCM? WASLAM wote sio CCM, naona nyie CHADEMA mmeishajitenga kabisa na WAISLAM hamuwataki sababu mnae MPADRI wenu.

Umeona? Kumbe ni kweli Waislam wengi mko CCM
 
kwa hili tamko la waislamu........mi nasema shetani ndo walikuwapamoja nae wakati wanaandika waraka huu........hapo hakuna mtume wa mtoto wa bin issa.......upuuza mtupu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom