Matajiri wa Moshi miaka ya 90 hadi 2000's

Matajiri wa Moshi miaka ya 90 hadi 2000's

lasway yupo na tena biashara zake zinaenda kinoma yule apendag utani kwny kaz zake ukimletea wiz wiz anakupiga bastola za mat*ko kama mia iv pia kuna kina boisaf,, mdgo ake meng mweny salsalnero kina mr price pia yupo Lawrence Mosha aliekuwaga katib wa yang zaman aligombea ubung mosh akakosa
Boisafi anamiliki vitega uchumi gani Moshi!?
 
Kuwa mwindaji wa Tembo kuna dhambi gani hapo?Tembo ni mnyama kama alivyo panya , dikidiki au Sungura .Binadamu ndio mmeamua kuwapandisha chati Tembo,Faru n.k.Mungu alitupa hao wanyama sisi wanadamu tuwatawale ikiwemo na kuwachinja n.k.Ungeeniambia huyo mzee ni Drug dealer hapo ningekubaliana na wewe!
 
Kuna story za jerad alotokewa na mama bikira Maria
Mji ulizizima
Watu wazima walienda kibosho kushuhudia muujiza ule
Bibi yangu alikwenda,na alinihakikishia alimwona mama bikira Maria.
Kuna habari za baba mtakatifu yohane paulo wa pili miaka ya 90 alikuja Tanzania
Nadhan alifika kristu mfalme pale,sina uhakika kwakuwa nilikuwa mdogo
Alituachia baraka watanzania
Babu yangu alinambia alivofika airport aliibusu ardhi ya Tanzania,akimaanisha baraka na amani hivyo haitokaa itokee vita Tanzania.
Stori za Bikra maria zipo kule kibosho na aliko onekana... Kuhusu Baba Mtakatifu Yohane Paul wa pili ilikuwa mwenzi kama huu alipita pia Memorial daaah umenikumbusha mbaliiiiiii.
 
Ni kweli mzee kwetu ukitoka ni lami tu

Nyumbani ni karibu na hotel ya al jezeera au msikiti wa riadha

Pia sio mbali sana na hotel ya buni ramole

Ukipanda juu unakutana na maduka mpangano a.k.a kariakoo

Juu unakuta soko la juu unanyoosha umefika home
Buni Ramole Ossy Hotel ...old man
 
Back
Top Bottom