Matajiri wa Moshi miaka ya 90 hadi 2000's

Matajiri wa Moshi miaka ya 90 hadi 2000's

No
Ni wakala mkuu wa voda mpesa kanda ya kaskazn pia ana mahoteli makubwa sana moshi; arusha
Vp kuhusu stori za Mombasa store zinazosema hapajawahi kuonekana gari ikileta mzigo lakini dawa hazijawahi isha.
Za kweli hizi??
 
Vp kuhusu stori za Mombasa store zinazosema hapajawahi kuonekana gari ikileta mzigo lakini dawa hazijawahi isha.
Za kweli hizi??
Ni kitu cha kweli kabisa mkuu mi nimeishi moshi miaka 15 nikiwa timamu sijawah ona
 
Ni kitu cha kweli kabisa mkuu mi nimeishi moshi miaka 15 nikiwa timamu sijawah ona
Hii inanikumbusha stori moja ya mbibi mtu mzima na nyumbani kwake hapajawahi onekana majani/pumba/molases zikiletwa lakini anakamua maziwa kwa Ng'ombe wake na kuuzia wananchi
 
Hilo gorofa nalifahamu sana kwa gorofa palikuwa panaitwa kwa Mwacha wakati panajengwa bimkubwa alikuwa anawauzia mafundi msosi so tulikuwa tunaingiamo. Ukienda mbele kidodgo ndio pakiitwa pensheni
Ok, I thought so. Ndivyo kumbukumbu zangu zilivyonipa.
 
Back
Top Bottom