Matajiri wa Moshi miaka ya 90 hadi 2000's

Matajiri wa Moshi miaka ya 90 hadi 2000's

Yes.
Lasway wa bureau
Na lasway huyo
lasway yupo na tena biashara zake zinaenda kinoma yule apendag utani kwny kaz zake ukimletea wiz wiz anakupiga bastola za mat*ko kama mia iv pia kuna kina boisaf,, mdgo ake meng mweny salsalnero kina mr price pia yupo Lawrence Mosha aliekuwaga katib wa yang zaman aligombea ubung mosh akakosa
 
Write your reply...makampuni ya mabasi tz karibu 40% ni ya wachaga,karibia mikoa yote tz basi la mchaga lipo
kidia one
Machame safari exp
ngorika exp
dar exp
meridian exp
lim Safari
ibra line
Osaka
princes muro
lucky star
happy nation
hai exp
ester exp
mtei exp
kimambo exp
MarAngu exp
arusha exp
tilisho exp
pia mmiliki wa precision air n mchaga,Michael ngaleku shirima
 
Ndio inasikitisha sana
Vijana wameharibika wale
Dada yao kaishia kuzalishwa na muuza vijit yani tabu tupu
Wakati walikuwa na option ya kusoma shule bora na kutusua
Ogopa Mali za wizi zinaaribu family yote. Ukiangalia family za mapolisi/Traffic police, asilimia watoto wao ni ganja na umalaya. Laana za wazazi wao kuwalisha watoto Mali za dhuruma na wizi.
Nenda pale mitaa ya kurasini kwy kota za police watoto wao wamepinda baraaa
Nenda na pale Mabatini mwanza uone family za police, yaani zilivyo na laaana
 
Hahahah mkuu mmeanza kupiga ramli juu yangu
Mie team chasaka,tumewastudy na tumefuzu
Sasa tunaenda sawa
Ogopa sana chasaka akijua mbinu zako
Na tumegoma kurud makwetu
Tumebak wa hapahapa tu
Ulidhani nimekufananisha na huyo mtoto wa bosco? why would you think that? Au kwasababu nimesema "tomboy"?😎
 
Habari za mida wana jf

Kipindi nakuwa moshi town pale wenyewe wanapaita mji wa wagumu, kulikuwa na matajiri wanajulikana na kusifika sana.
Walikuwa maarufu sana hadi makanisani.Ukienda kanisani ukimwona hata mke wake unabaki waooo
Walikuwa hadi na siti zao kristu mfalme pale.waliishi uzungun,wengine njia ya old moshi.

Kuna siku tumeenda nyumbani kwa rafiki yetu mmoja tulikuwa tunasomanaye mafundisho kanisan maeneo ya uzunguni kule,huo mjumba looh tulibak mdomo wazi.Na ilikuwa first time naona swimming pool nyumban.

Anyway zama zimepita, wengi wameaga dunia,wengine wapo ila umaarufu sio kama zamani.Nilikuwa natoka familia ya kikapuku kabisa so nilitaman siku moja at least na sisi family yetu iweze kuwa na jina kama family zile ama hata visenti tu.

Kuna mzee mmoja alikuwa maarufu sana hapo moshi town,alikuwa na maduka,garages,mabar,mabasi na biashara kibao.Alikuwa anaheshimika kama mfanyabiashara mkubwa moshi.Na wengi tuliamini hivyo.Bwana weeh siku moja katika harakati zake,akapatwa na majanga kwenye mbuga za Kenya, akapigwa risasi akafa,wenzie walifanikiwa kukimbia.Ikaja fahamika mzee alikuwa mwindaji haramu kwenye mbuga ya tsavo,alikuwa anawinda tembo na kuuza pembe na ndio ulikuwa siri ya utajiri wake.

Alirudishwa moshi akaenda zikwa kwao migombani ,after wards Mali zile zikayeyuka kama barafu. Since then nikajifunza kutokutamani cha mtu kwani hujui kakipataje. Utajiri una siri kubwa so vijana wenzangu tufanye kazi.Usiamini story za nilianza na kushona viatu stend,huwa hawasemi ukweli.
mosh raha sana alaf pia kwenye masuala ya IT nadhan wachaga weng ndio wapo kwnye hiyo platfom Kuna lile gorofa refu linajengwa pale karibu na nmb mandelaa naskia ni la mchaga flan pia
 
Yes washaendelea kwel
Saivi tunaongelea ishu za about 20 years ago na ushee, kwa wengine ni story hizi tu hahaha
Mshapiga sana
Tulien na wengine wale
You're mistaken. Toka Enzi za mwalimu wachagga wanashikiwa chini. Hata alama za ufaulu kwa kanda ile zilikuwa zikiwekwa juu ili kuweka balance nk. Nakumbuka kulikuwepo na viwanda kama Tannaries kile cha ngozi, Kibo paper, Kilimanjaro Machine Tools, Motex nk. Nadhani serikali ya ccm ndiyo maana haipendwi kabisa ile maeneo. Utashikiaje watu chini kifala hivyo. Tatizo kuna ambao huwezi kuwashikia chini.
 
Back
Top Bottom