The iron batterfly
JF-Expert Member
- Jul 31, 2018
- 1,952
- 2,527
Hahaha nimekukumbusha home eeh?Duuu nimekumbuka mturaa pale buffalo home sweet hom
Malengo au malenga??Yes moshi watu walikuwa wanasali sana
Na makandokando kama kawa
Mtu unabaki njiapanda tu,manake wale tulokuwa tunawaona kama masaint wakija umbuka kwenye ujangil ama uchawi,mnabaki kinywa wazi to
Kuna story za mtaa wa malengo
Naomba kama kuna memba anazipata atushirikishe kidogo
nomaaaaDah basi tumwache manake nasikia mzee ni hatareee
hahahaha mm ni mpenz mkubwa wa rhumba nazipenda nyimbo zakeMkuu hii jina yako luambo makiadi inanikumbusha mbali sana.
Enzi hizo kwenye klabu za mbege lazima jamaa asikike sana
Duuuh asee utakuta majirani hatujuani kwa hizi fake IDs.Long time sana.
Umenikumbusha na ghulam bus
Naam alwatani. Watoto hawajaweza jenga heshima aliyoacha mzee.
Na umenikumbusha kwa Kipanga mkuu
Uko wapi saivi mkuu?
au yusuph bakari zono unamkumbuka mkuu.Mkuu sasa niko dar
Home ilikuwa ni pale karibu na msikiti wa maanswari kwa sasa
Ila kwa sasa pamebadilika sana pia nakumbuka kulikuwa na tajiri mmoja anatengeneza ma skania nishasahau jina lake
au yusuph bakari zono unamkumbuka mkuu.
MAMA DIVOSION NDIO ANA GUEST NYINGI DAR STREET
msikiti wa answar wapi upo navuta kumbukumbu.Daaaah apana mkuu ila nakumbuka muonekano wake tuu alikuwa mkubwa mrefu mweusi nadhani ni mtu wa kenya yule
moshi nimekulia na kusoma elimu yangu yote kuondoa chuo kikuu ila ki umri ni mdogo sana japo najua jua mambo kidogo


karibia na ccm wilaya au mawenzi hospital?Mkuu sasa niko dar
Home ilikuwa ni pale karibu na msikiti wa maanswari kwa sasa
Ila kwa sasa pamebadilika sana pia nakumbuka kulikuwa na tajiri mmoja anatengeneza ma skania nishasahau jina lake
kwaya ipi ndugu, mimi nilikuwa cesilia ya wakina fide uisoMimi nimeimba kwaya kristu mfalme,sauti ya pili
Nilikuwa nadamka pamoja na familia yangu daily kuwahi misa pale kanisani hata za katikati ya wiki,then after misa naenda shuleni
Nimekulia kanisani,ila nilizungukwa na watu unaona kabisa hawa wanaigiza
But all in all moshi is the best and itaendelea kuwa the best
Kuna story za wazee wa kanisa kukamatwa ugoni,wengine kushikwa uchawi,yalaaa
It's time ama?nasubir michango yenu wadau
Hilo gorofa nalifahamu sana kwa gorofa palikuwa panaitwa kwa Mwacha wakati panajengwa bimkubwa alikuwa anawauzia mafundi msosi so tulikuwa tunaingiamo. Ukienda mbele kidodgo ndio pakiitwa pensheniLabda ya yule mzee Mwacha? Yule mzee aliyekuwa na watoto wake kina Ben Mwacha the late.
msikiti wa answar wapi upo navuta kumbukumbu.
karibia na ccm wilaya au mawenzi hospital?
Moshi panabadilika sana tu,kama ulitoka 2010 sio sawa na sasa,Kwa mfano kuna hadi ghorofa kumi zimejengwa katika ya mji,Laami kila mtaa,manispaa inautaratibu wa kuweka lami ya km 5 kila mwaka kama sikosei,na ilianza tangu 2010 kama sijakosea sina uhakika sana ko panabadilika sana,vichochoro vyote vya pale twn pana lami.