Matajiri wa Moshi miaka ya 90 hadi 2000's

Matajiri wa Moshi miaka ya 90 hadi 2000's

Write your reply...makampuni ya mabasi tz karibu 40% ni ya wachaga,karibia mikoa yote tz basi la mchaga lipo
kidia one
Machame safari exp
ngorika exp
dar exp
meridian exp
lim Safari
ibra line
Osaka
princes muro
lucky star
happy nation
hai exp
ester exp
mtei exp
kimambo exp
MarAngu exp
arusha exp
tilisho exp
pia mmiliki wa precision air n mchaga,Michael ngaleku shirima

Bahati mbaya bahari ya hindi iko mbali.
Ingeshachafuliwa na Yatchs kibao
 
Mshapiga sana
Tulien na wengine wale
Tatizo wanaotaka kuanza kula sa hivi wanawashika Northerners mikono ili wale wao.

Mfano kuna zimba mmoja juzi kati akaunti imesoma TZS 13 bil. Watu wakafreeze account akawa anaruhusiwa kutoa 600k/mwezi. Mwenyewe akawa anacheka tuu 'hela yangu mwenyewe halafu wananipangia matumizi'.

Jamaa baada ya kufanya uchunguzi wao wakamwachia atumie fedha yake vizuri.

Watu wamekogeshwa pesa kuachia mijengo mjini kati
 
Ulidhani nimekufananisha na huyo mtoto wa bosco? why would you think that? Au kwasababu nimesema "tomboy"?😎
Hapana umenielewa vibaya
Kuna post ulikuwa unabashir nimesoma wapi primary,so katika kujibu nikakutag tu sehemu uliyocomment
Mie sipanic unless uniprovoke
Am like USA sina rafiki wala adui wa kudumu
sorry kama umenielewa vibaya
Btw am proud team chasaka hahahah
 
Mbona unaongea kama LEMTUZ?

I asked you what time is it, you're telling me how to build the clock?!

Kama unajibu, elekeza jibu kwenye post husika ili kuondoa such confusions.

Anyways, no need for sorry, its all good.
 
You're mistaken. Toka Enzi za mwalimu wachagga wanashikiwa chini. Hata alama za ufaulu kwa kanda ile zilikuwa zikiwekwa juu ili kuweka balance nk. Nakumbuka kulikuwepo na viwanda kama Tannaries kile cha ngozi, Kibo paper, Kilimanjaro Machine Tools, Mwatex nk. Nadhani serikali ya ccm ndiyo maana haipendwi kabisa ile maeneo. Utashikiaje watu chini kifala hivyo. Tatizo kuna ambao huwezi kuwashikia chini.
Am one among of them
Hata job wananiita mchaga nacheka nakusema ok ,hujakosea sana coz ni product yao in someways
Ukinizibia ubungo utasikia niko mbezi beach
I learned from the best
 
Tatizo wanaotaka kuanza kula sa hivi wanawashika Northerners mikono ili wale wao.

Mfano kuna zimba mmoja juzi kati akaunti imesoma TZS 13 bil. Watu wakafreeze account akawa anaruhusiwa kutoa 600k/mwezi. Mwenyewe akawa anacheka tuu 'hela yangu mwenyewe halafu wananipangia matumizi'.

Jamaa baada ya kufanya uchunguzi wao wakamwachia atumie fedha yake vizuri.

Watu wamekogeshwa pesa kuachia mijengo mjini kati
Ukiacha hayo hata kwenye elimu wako nyuma sana
Mtu kagraduate hadi barua ya kiinglish hawez andika,wakiandika wanaleta tuwaeditie si uzwazwa huo
halafu kasoma arts,watu tulosoma science tunamweditia barua ya kiinglish
Na tumesoma shule as govt mwanzo mwisho,aibu tupu
 
Mbona unaongea kama LEMTUZ?

I asked you what time is it, you're telling me how to build the clock?!

Kama unajibu, elekeza jibu kwenye post husika ili kuondoa such confusions.

Anyways, no need for sorry, its all good.
No nimejibu ulichoinsuniate
Refer your posts boss
 
lasway yupo na tena biashara zake zinaenda kinoma yule apendag utani kwny kaz zake ukimletea wiz wiz anakupiga bastola za mat*ko kama mia iv pia kuna kina boisaf,, mdgo ake meng mweny salsalnero kina mr price pia yupo Lawrence Mosha aliekuwaga katib wa yang zaman aligombea ubung mosh akakosa
Hivi ile Aventure ni Don yupi?
 
Write your reply...makampuni ya mabasi tz karibu 40% ni ya wachaga,karibia mikoa yote tz basi la mchaga lipo
kidia one
Machame safari exp
ngorika exp
dar exp
meridian exp
lim Safari
ibra line
Osaka
princes muro
lucky star
happy nation
hai exp
ester exp
mtei exp
kimambo exp
MarAngu exp
arusha exp
tilisho exp
pia mmiliki wa precision air n mchaga,Michael ngaleku shirima
Kisbo
 
Back
Top Bottom