Matajiri wa Moshi miaka ya 90 hadi 2000's

Matajiri wa Moshi miaka ya 90 hadi 2000's

lucas Tarimo
Vïcent lasway

mawalla
Mberesero
mremi wa dar exp

Bosco Chuwa

Panjwani.

Hari singh
Rajinder

Mchuku wa Mangi.
Nilisoma O-level na kijana wa Vicent Lasway. Dogo alikuwa na tambo sana na alituchukulia mademu zetu sana kisa pesa za babayake. Ila tulimvizia weekend usiku kitaa tukampa kichapo cha mbwa koko wakiwa na wenzake wametoka mjini kuelekea camp (Umbwe sec)
 
Islam garage watoto wake wako ar kwasasa ni mabilionea
Mzee Mberesero ana watoto wawili wenye majina ya Francis,maana kama sikosei yule aliekuwa anasimamia Ngorika akafariki mwaka juzi alikuwa anaitwa Francis au sio huyo?
 
Nilisoma O-level na kijana wa Vicent Lasway. Dogo alikuwa na tambo sana na alituchukulia mademu zetu sana kisa pesa za babayake. Ila tulimvizia weekend usiku kitaa tukampa kichapo cha mbwa koko wakiwa na wenzake wametoka mjini kuelekea camp (Umbwe sec)
Hahahahaha kwa hiyo mlivyozidiwa kwenye kubandua mademu hasira zenu mkahamishia kwenye kipigo kufuta machozi sio?
 
Y
Halafu watanzania tuache ukabila
Mie na wazee wangu si wachaga,maisha tu yalimfikisha mzee huko akajenga na tukazaliwa,moshi town kuna makabila mengi sana
Labda huko migomban,ila kwa pale mjini asilimia kubwa ni wakuja
So sio kila anayeiongelea moshi ni mchagga
Sote ni watanzania na tuna haki ya kuishi popote Tanzania, madhali huvunji sheria za nchi
Hii thread ni maalumu kwa wana moshi ,whether mchagga ama chasaka .Wengine tumezaliwa pale town ,tukakua tukasoma and our childhood memories ziko pale,so tujiue ili tusiikumbuke moshi?It's Gods plan.Naomba mjadala na uendelee.ukabila pembeni.we both Tabzanians apart from our tribal differences.

Exactly! Machasaka tupo wengi...!! 😂😂
 
Ila mimi nawaheshimu sana hawa majangili waliofanya ujangili ukawatoa heshima iende kwao,heshima pia iende kwa majambazi sugu yaliyofanya ujambazi kwenye bank kubwa na mwisho yakatoboa,sisapiti ujangili ila na heshimu harakati zao za kutafuta pesa kwa njia yeyote

ila nawalaani wanaowageuza wenzao mandondocha ili wapate utajiri,kuua mama zao,kupewa masharti ya ajabu ajabu sikubaliani nao kabisa,kwani utajiri wao hawa ufaidi kama majangili yaliyotoboa,Mtu ameenda kenya kuiba pembe za tembo wa kenya ili alete mali Tanzania wakati Tanzania wapo huyo sio wa kumbeza hata mara moja hana utofauti na wazungu na waarabu wanaokuja kuchukua mali Afrika na kupeleka kwa heshima ziende kwa hao madon wa aina hiyo,bila kuwasahau wale wote walio rithi mali na kuziendeleza na heshima kwao,waliopata fursa serikalini na wakaitumia fursa hiyo kiuwekezaji na mimi kwangu sawa tu,Heshima kubwa kwa wale wana apollo waliokuja kutoboa
 
Back
Top Bottom