Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 24,717
- 44,115
Brasto MakundiHizi BM ni za nanii??
Brasto MakundiHizi BM ni za nanii??
Safari walikuwa wana mtindo mmoja wa kihuni kwa wakuja waliopeleka mali paleWazee mmemsahau Mzee Hugo Kisima wa Hugo Hotel na Safari Jewelleries Sonara Kuuubwa
Hahaha kitobooooUmenikumbusha boda ya kitobo mkuu. Askari wa himo wamepata tabu sana
Yeee Mekumeku kumbe wew ni mhenga kbs
Ile mutu ambae mama yake inasema haijasaa mutoto bali imesaa pesaa??Sunda
Aise yule Mzungu wa morovian yupo,Mvimwa kwa ma brother,Ng'ambo kwa kujiachia nitakuja siku moja nikalale Lupita islandWamekuja pale mwaka 2014 mwanzoni
Blasto MakundiHizi BM ni za nanii??
Na wanasema konda akichukua nauli siku hiyo anajua mzee.Hahahahaa huyo Mzee ni noma matukio yake si ya mchezo,hasa kutoa ofa ya bure ya gari zake kila Ijumaa
Kumbee mkuu.B Makundi
Yupo hapo moro
Mkuu hii jina yako luambo makiadi inanikumbusha mbali sana.aisee kumbe hadi bm ya mchaga,tupo juu idara zote
Halafu wanaomjua wanakumbuka alivyokuwa tuu mtu wa kawaida town pale.Patrice ulomi chaga moja hiyo panone and company limited
Mkuu hii jina nilikuwa najaribu kuikumbuka nikachemka kabisaa.mkuu umepata kumsikia cocomiti.
Nakumba mwaka 2010 nilikua nafanya kazi jirani na alipokua akifanya biashar ya spear za scania pale tabata dampo sijui kama sasa hivi bado yupo, nilikua na mzee mmoja former wa sub scania akaniambia jamaa gari zake zilikamatwa Congo akiwa anapeleka mafuta ambayo ni biashara aliyokua akiifanya pia. Kipindi hicho ndipo walikua wanafanya msako wa wanaochakachua mafuta, inasemekana hiyo biashara ndiyo iliyomwinua pia.Halafu wanaomjua wanakumbuka alivyokuwa tuu mtu wa kawaida town pale.
Northern tuna wakina Rockerfella wetu aisee
Ni kweli ila mbona wa kwetu hawaui majangili hivo? Manake tumemalizia tembo zetu na majangil ila sio wengi waliouawa
Wakenya wana roho katili sana
Walikuwa hawawakamati wao ni kuwalamba shaba tu
Aliyebahatika kukamatwa na kuwekwa gerezan Mungu wake ni mkubwa sana
Wengi walimalizwa on the spot
Sema ni mtu poa sanaNakumba mwaka 2010 nilikua nafanya kazi jirani na alipokua akifanya biashar ya spear za scania pale tabata dampo sijui kama sasa hivi bado yupo, nilikua na mzee mmoja former wa sub scania akaniambia jamaa gari zake zilikamatwa Congo akiwa anapeleka mafuta ambayo ni biashara aliyokua akiifanya pia. Kipindi hicho ndipo walikua wanafanya msako wa wanaochakachua mafuta, inasemekana hiyo biashara ndiyo iliyomwinua pia.
Moshi kulikuwa na viwanda ya kutosha.Kweli moshi ilichangamka sana
Reli ya tanga moshi iliubust mji sana pia
Saivi naambiwa kumekuwa doro sana
Wengine husema walianzia kuuza karanga au kuloweka ulezi! Aaah wapi, walikuwa wana yao gizani.Huyo ni exception
That's y nimetolea mfano hai wa mo town
Kwa chama gani??Mie sirudi huko
Ingawa tuna mji hapo town
Nikirud naenda gombea ubunge niirejeshe moshi ya enzi hizo
Sana, ila aliibuka gafla akawashangaza sana watu pale waliokua wanapiga mzigo pamoja kina marehemu frank Lema.Sema ni mtu poa sana