The iron batterfly
JF-Expert Member
- Jul 31, 2018
- 1,952
- 2,527
- Thread starter
- #241
Nimeolewa na muhayaShemeji yako kiaje umeoa mdogo wake au dadake,
And he is my friend
Nimeolewa na muhayaShemeji yako kiaje umeoa mdogo wake au dadake,
Nikimaanisha najua hana mume,Nimeolewa na muhaya
And he is my friend
Unawajua balaa kuna jamaa mmoja alikua anaitwa Mustapha enzi hizo anaki dutsun alikua muhuni anafujo balaa akaenda mbuguni kipindi kile akaja akafagaJohn lekule,harun,john mtaliano,na wale hawakuwa matajiri lakini wote majambazi akina mzungu wa kwamtei.
Hahahah tunakujaMkitoka Moshi mje Arusha. Tutawapa kuanzia akina Alex Massawe mpaka akina Sunda. Madon wa A - City
Nilisikia ni Mwanae na Mustapha marehem kama unamkumbukatd nasikia mchongo wa mwanae ulimuua.
Hahahah wezi wa magari nairoberyHivi jonh lekule wa majengo yupo wapi sk hizi?
Mambo ya magari yanayopotea nairobi na kuonekana moshi...!
Nan hana mume sasa?Nikimaanisha najua hana mume,
Hahahah matajiri wa mbuguniUnawajua balaa kuna jamaa mmoja alikua anaitwa Mustapha enzi hizo anaki dutsun alikua muhuni anafujo balaa akaenda mbuguni kipindi kile akaja akafaga
HahahahaMji ulizizima
Hawa jamaa ilikuwa kitu cha kawaida kuona paroko anawatembelea nyumban
Pesa hii! !!
Mushisa Store
Moshi Drapers
Mama Daruweshi
Halafu kuna mama alikua na guest nying sana mitaa ya Dar city nimemsahau
So far so good, I don't see anything wrong.Hamna sema kama naogopa hivi
Watu wanafunguka sana
mnajua tuko kwenye kukaza mikanda
Huyu wakati Njiwa hardware anakuja juu, yeye Kisinani akawa anasema hajali njiwa wala kunguru!🙂Kisinane - shanti town hiyo!
Alikuja kuwauzia wakenya kile kiwanda cha bia. Something happened akawauzia mitambo.Daaa uyuu mzee aseee,mzee kibo breweries enzi hizo
Weka na Govinda kabisa.Pablo Gaviria Escobar.
Siyo kweli.Jf ina wachaga wengi sana sasa nimeelewa. Nitaanzisha group la chagga jf