Midumare Ngatuni Iwato
JF-Expert Member
- Jul 13, 2016
- 1,653
- 2,052
Kwao Rombo Mkuu nimekaa kwenye nyumba yake wakati na nasoma Mkuu secondary alishafariki...kinaboAlikuja kuwauzia wakenya kile kiwanda cha bia. Something happened akawauzia mitambo.
Kwao Rombo Mkuu nimekaa kwenye nyumba yake wakati na nasoma Mkuu secondary alishafariki...kinaboAlikuja kuwauzia wakenya kile kiwanda cha bia. Something happened akawauzia mitambo.
Niliishi majengo miaka ya 90 mkuuMkuu wewe utakuwa mkazi wa majeng - kwa mtei bila shaka
Utajiri ni utajiri tue alama hazifutiki. Magari yanawezakufa ila nyumba bado zitakuwepoHabari za mida wana jf
Kipindi nakuwa moshi town pale wenyewe wanapaita mji wa wagumu, kulikuwa na matajiri wanajulikana na kusifika sana.
Walikuwa maarufu sana hadi makanisani.Ukienda kanisani ukimwona hata mke wake unabaki waooo
Walikuwa hadi na siti zao kristu mfalme pale.waliishi uzungun,wengine njia ya old moshi.
Kuna siku tumeenda nyumbani kwa rafiki yetu mmoja tulikuwa tunasomanaye mafundisho kanisan maeneo ya uzunguni kule,huo mjumba looh tulibak mdomo wazi.Na ilikuwa first time naona swimming pool nyumban.
Anyway zama zimepita, wengi wameaga dunia,wengine wapo ila umaarufu sio kama zamani.Nilikuwa natoka familia ya kikapuku kabisa so nilitaman siku moja at least na sisi family yetu iweze kuwa na jina kama family zile ama hata visenti tu.
Kuna mzee mmoja alikuwa maarufu sana hapo moshi town,alikuwa na maduka,garages,mabar,mabasi na biashara kibao.Alikuwa anaheshimika kama mfanyabiashara mkubwa moshi.Na wengi tuliamini hivyo.Bwana weeh siku moja katika harakati zake,akapatwa na majanga kwenye mbuga za Kenya, akapigwa risasi akafa,wenzie walifanikiwa kukimbia.Ikaja fahamika mzee alikuwa mwindaji haramu kwenye mbuga ya tsavo,alikuwa anawinda tembo na kuuza pembe na ndio ulikuwa siri ya utajiri wake.
Alirudishwa moshi akaenda zikwa kwao migombani ,after wards Mali zile zikayeyuka kama barafu. Since then nikajifunza kutokutamani cha mtu kwani hujui kakipataje. Utajiri una siri kubwa so vijana wenzangu tufanye kazi.Usiamini story za nilianza na kushona viatu stend,huwa hawasemi ukweli.
Hapana ni tofautiiiiiBabu Sambeke ni billionaire Msuya.
Babu Sambeke alikua habari nyingine asee,tokea enzi za kili mafia namskia he nakua mtu mzima,kiufupi km umeishi Moshi hujamskia uyu mzee basi ww hukua MoshiLate babu sambeke ni mmoja wa watu wa awali kabisa kumiliki pikipiki za mwendokasi moshi mjini!
Nawafahamu hao Kisinane mkuu. Actually nadhani amekuwa underestimated. Huyu alikuwa na pesa kabla hata ya hao kina Mengi.Kwao Rombo Mkuu nimekaa kwenye nyumba yake wakati na nasoma Mkuu secondary alishafariki...kinabo
He was a son of Moshi indeed!Babu Sambeke alikua habari nyingine asee,tokea enzi za kili mafia namskia he nakua mtu mzima,kiufupi km umeishi Moshi hujamskia uyu mzee basi ww hukua Moshi
Nikimkumbuka Lekule nakumbuka ile issue ya ile V8 iliyoibiwa Ikulu ya Kenya ikapatikana Moshi hapa juzi katiHivi jonh lekule wa majengo yupo wapi sk hizi?
Mambo ya magari yanayopotea nairobi na kuonekana moshi...!
Salinero hotel,by the way kwa Matajiri wa Moshi huwez acha kumtaja Benjamin MengiNawafahamu hao Kisinane mkuu. Actually nadhani amekuwa underestimated. Huyu alikuwa na pesa kabla hata ya hao kina Mengi.
BTW Reginald Mengi pia ana mdogo wake anaitwa Benjamin Mengi nayeye pia ana miradi kadhaa na ana pesa. Hata kule Shanty town ana hotel moja siyo mbaya pametulia kiaina.
Kabisa mkuuHe was a son of Moshi indeed!
Nikweli kbsa Ana Dada yake mmoja mtu mzima TasaNawafahamu hao Kisinane mkuu. Actually nadhani amekuwa underestimated. Huyu alikuwa na pesa kabla hata ya hao kina Mengi.
BTW Reginald Mengi pia ana mdogo wake anaitwa Benjamin Mengi nayeye pia ana miradi kadhaa na ana pesa. Hata kule Shanty town ana hotel moja siyo mbaya pametulia kiaina.
Nasoma hizi habari zakwetu za zamani mpaka napatwa na huzuni nikikumbuka mambo mema yakwetuNikimkumbuka Lekule nakumbuka ile issue ya ile V8 iliyoibiwa Ikulu ya Kenya ikapatikana Moshi hapa juzi kati
Mkuu kuna lile ghorofa pale Rau upande wa kushoto mbele ya Chuo Kikuu cha Ushirika ukitokea YMCA ambalo hakuna kiumbe anaeweza kuishi pale,hivi status yake mpaka sasa lipoje maana kuna kipindi nilisikia Mama Anna Mkapa alitaka kulinunua. Hilo ghorofa lilikuwa la Mkibosho fulani hivi.Kabisa mkuu
John Lekule ni Kiboriloni. Sina taarifa zake kwasasa. Ila umenikumbushia kina the late James Salakana. Enzi za magari ya ujanja.Hivi jonh lekule wa majengo yupo wapi sk hizi?
Mambo ya magari yanayopotea nairobi na kuonekana moshi...!
Sambeke ananikumbusha group yake ya wakina Michael Casmiri Mushi wa Uru Ongoma walivyokuwa wanapiga watu puu mamilioni ya hela miaka ya 80s na 90s pale Kariakoo Mnadani kwa kuuziwa nyumba,viwanja fake na magari kwenye karatasi. Bila kusahau nyoka wake wakina Golo wa KCMC.He was a son of Moshi indeed!
Huyu mama yuko vizuri sana. Kweli penye nia pana njia. Na ukifanya kazi kwa bidii utafanikiwa tu. Almuradi uwe na malengo. Malengo ni namba moja! Wengi tu waliotajwa humu wamepambana sana tu pamoja na kwamba watu wengine wansema kuna waliopata kwa njia za kishirikina. Wengi tu ni mifano hai ya kupambana. Na kama siyo utaratibu wa kawaida wa serikali kuanzia mwalimu Nyerere wa kuwashikia chini wachagga, ingekuwa habari nyingine. Ni kweli walibinywa sana na serikali na ni kweli wengi walitajirika sana especially kipindi cha Mwinyi kwa biashara za magendo toka Kenya. Kwasababu ya ujamaa wetu, bidhaa nyigine kama sabuni tu ilikuwa anasa kubwa! Bia je?Mama Mauly na Mauly Tours...mashombe wale!
Recently kabla ya kupata ajali. Alikuwa anakopesha watu pesa, lakini collateral ilikuwa tittle ya kiwanja ama nyumba.(Hii biashara walianza na Alex Massawe na walikuwa very close). Kwa taarifa ni kwamba wengi sana walishindwa kulipa. Na kwahiyo wakapoteza nyumba zao na viwanja vyao. Sometimes magari. Recently kabla ya ajali pia alikuwa mtu wa karibu sana na Vincent Laswai mwenye Kibo Palace besti yake Uhuru Kenyatta!Sambeke ananikumbusha group yake ya wakina Michael Casmiri Mushi wa Uru Ongoma walivyokuwa wanapiga watu puu mamilioni ya hela miaka ya 80s na 90s pale Kariakoo Mnadani kwa kuuziwa nyumba,viwanja fake na magari kwenye karatasi. Bila kusahau nyoka wake wakina Golo wa KCMC.