Matajiri wa Moshi miaka ya 90 hadi 2000's

Matajiri wa Moshi miaka ya 90 hadi 2000's

Disco la Kilimanjaro hotel lilinoga hasa pale DJ maarufu wa enzi hizo DJ Kalikali alipoweka kambi kwa muda maeneo hayo

Kwanza shughuli za kiuchumi zilikua nyingi sana

Kulikua na viwanda vya kila aina kama magunia, ngozi, fenicha, bia, makampuni makubwa ya mafuta kama BPShell, ESSO,

Mashule lukuki hasa ya sekondari.

From January to December mji ulikua busy

Ilikua ni shangwe tupu
Kweli moshi ilichangamka sana
Reli ya tanga moshi iliubust mji sana pia
Saivi naambiwa kumekuwa doro sana
 
Kweli moshi ilichangamka sana
Reli ya tanga moshi iliubust mji sana pia
Saivi naambiwa kumekuwa doro sana
Huwa napita mara chache kama transit nikiwa na safari zangu naiona Moshi imebadilika

Japo mji umekua lakini ule uchangamfu wake wa miaka ile haupo tena

Yaelekea mzunguko wa pesa pia ni mgumu. Baadhi ya machalii angu wa huko wamechoka na maisha yamewapiga hasa

Wengi wa wanaofanya vizuri ni wale waliotoka nje ya mji huo na kutafiuta maisha kwengine

Unajua Moshi watu waliamka longtime na fursa nyingi za biashara kwa pale mjini zipo saturated. Watu walishawahi almost everything
 
Yes moshi imeganda
Uchangamfu hakuna kabisa
Tatizo vijana wote tulozaliwa na kukulia pale tumekimbia ikiwemo mimi nawe
Unategemea mji kukuwa kwel?
Vijana wengi wamekimbia mji
Wamebak wazee kwa asilimia kubwa
 
Ni kweli ila mbona wa kwetu hawaui majangili hivo? Manake tumemalizia tembo zetu na majangil ila sio wengi waliouawa
Wakenya wana roho katili sana
Walikuwa hawawakamati wao ni kuwalamba shaba tu
Aliyebahatika kukamatwa na kuwekwa gerezan Mungu wake ni mkubwa sana
Wengi walimalizwa on the spot
mkuu mimi nakaa mahenge morogoro ni mkoa wenye majangili hatari,nazungumza na wewe huku nikikumbuka kilichomtokea kaka yangu hayupo duniani,usichezee game na usichezee jangili hawachekeani hawa.alikamatwa jamaa mmoja na askari wanyama pori akiwa anavua tu samaki.wakamchumia ndizi mbichi kama hamsini na kumlazimisha ale samaki na ndizi zile.mpaka nazungumza na wewe hapa ni taahira toka siku ile.sasa yupo na miaka kama hamsini na alifanywa hivyo akiwa kwenye forty.askari pori sio watu wa mchezo".KIPEPEO WA CHUMA."
 
Jamen pole sana
Ila unaona kuna utu flan
Siyo kama wakenya wanaua on the spot
Wabongo wanakuadhibu usijerudia tena
Bt wakenya wanahakikisha unapotea milele
 
HALAFU MKATILI NA MGONI ALIFANYA KANISA LA KWAKE.
Liligeuka kama duka lake
Yani alikuwa kama lusekelo ama gwajima
Ilikuwa Mali binafsi ya amani
Kumbe hakujua alikuwa anachunguzwa
Uchunguzi ulipokamilika akatupwa huko
Saiv nasikia kazeeka kachoka hana hata kitu maskin
 
the iron butterfly,kakangu mwenyewe hakuwa mtu wa maana ni hatari mno majangili halafu wachawi sana.
 
Back
Top Bottom