Matajiri wa Moshi miaka ya 90 hadi 2000's

Matajiri wa Moshi miaka ya 90 hadi 2000's

Off the keyboard nilikuwa naongea na mtu kama anamjua Ernest Massawe.

Akawa anachanganya na Alex Massawe na huyo Ernest Massawe. Nikamwambia E Massawe ni ACCA member long time kitambo.

Akanipa stori hiyo ya kuleta kontena lakini nikawa mbishi kumwambia Alex Massawe hajasoma.
Stori yenyewe kwa ufupi ni kwamba jamaa alienda Uk akawapanga wazungu. Akachukua zaga za kontena mbili.
Kazipakia kwenye meli hadi bandari ya salama (kuzitoa bandarini ilikuwa kitu rahisi kabisa)
Yaani akili ya hivyo sijui kwanini sikuwa nayo,huyh jamaa nj genius wa hayo mavitu aise
 
Pale njia panda ya Chuo cha Ushirika,CCP na Shanti opposite na Shule ya JK Nyerere?Mimi sizungumzii Mimi nazungumzia njia ya Rau ukitokea YMCA kupitia Keys Hotel na St Mary Goreth
Ndiyo lile lipo upande wa kulia kama unaenda Rau. Limepakwa rangi nyeupe Mkuu??
 
Wachache hupewa vyote mkuu.

Na hiyo kwa A. Massawe ilikuwa ni push factor na ndo mana alitoboa
Mwenzake yuko jela ila ye wapi,Akili kama hiyo sijui zinatoka wapi? Yaani ukipewa shavu kama la babu wa loliondo mbona kutoboa ni chapi,
 
Mashat
Wengine wanasema washawahi muona akipekua pia
nguo zake hazikuwahi kuwa mpya au nzuri,lazima zichanike au kushonwashonwa sana.ni kama mzee mmoja mwenye nyumba nyingi akiitwa SIMBA yeye inasemwa alikuwa halali ndani,majengo kwa mtei njia panda ya langoni.
 
Yote kwa yote wote tutambue kwamba watu wenye uwezo wapo.ila utajiri wowote una siri iliyokuu.
 
Back
Top Bottom